Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,697
- 12,445
Producer wa muziki wa Bongofleva Master Jay, amesema kuwa Diamond hawezi kumfikia Alikiba kwenye uimbaji wa muziki.
Akiwa anafanya mahojiano na East Africa Radio Master Jay amesema,
“Alikiba ni muimbaji bora na Diamond ni mburudishaji bora. Watu wabishe vile wanataka ila mimi ndio nimeongea kwenye Mic kabisa. Kuna kuimba na ku-entertain na kwenye muziki lazima ujue kuimba na ku-entertain”.
Nini maoni yako?
Written By Mjanja M1