Hakuna ubishi, S2kizzy ni producer bora kuzidi mkongwe Master Jay

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,377
20240202_171922.jpg

S2kizzy aka Zombie ni producer mkali kuliko Master Jay.
Zombie ambaye ni Grammy nominated mara kadhaa na kafanya nyimbo ambazo ana international hits kuzidi Master Jay ambaye alikuwa akimiliki studio ya MJ production ambayo alitumia wataalam wa kutengeneza muziki kama Maron linje, Profesa Ludigo, Maundi na wengine kadhaa uku akiweka sign yake kwenye nyimbo aonekane kazitengeneza yeye.

Naandika haya ili kumpa maua yake S2kizzyy ili jamii ijue ukubwa alionao kuzidi mkongwe Master Jay ambaye tunamheshimu licha ya kuwa mzee mwenye mihemko sana anaependa kutrend ambae ana historia mbaya ya kutumia wasanii wa kike kama Shaa akiwarubuni kwa studio time.

Zombie apewe heshima yake sio kila aliyetangulia anamzidi wa sasa lazima tuelezane ukweli.
 
View attachment 2891931

Sawa
 
Zamani ndo kulikua kuna beats dogo.

Ushasikia beat la 'Hakuna Mungu kama wewe'? Master Jay moja hio

Au beat la sogea sogea - ray c (hii nadhan alinyonga majani)

Madogo wa siku hizi hawana creativity.

Hata mziki wa mambele beats zilikua zamani, sikiliza mfano 'Gimme dat' ya wayne na chris.

Ungekua sahihi kumlinganisha master J na kizazi chake then S2kizzy na kizazi chake
 
Master jay beats zake nyepesi sana alafu hujui muziki wewe kabisa unaongea vitu gani beats za kwaya ata mtoto wa darasa la kwanza anapiga ile ni kwaya inaenda na watu wake usiwe mbumbumbu ficha ujinga
 
View attachment 2891931

S2kizzy aka Zombie ni producer mkali kuliko Master Jay.
Zombie ambaye ni Grammy nominated mara kadhaa na kafanya nyimbo ambazo ana international hits kuzidi Master Jay ambaye alikuwa akimiliki studio ya MJ production ambayo alitumia wataalam wa kutengeneza muziki kama Maron linje, Profesa Ludigo, Maundi na wengine kadhaa uku akiweka sign yake kwenye nyimbo aonekane kazitengeneza yeye.

Naandika haya ili kumpa maua yake S2kizzyy ili jamii ijue ukubwa alionao kuzidi mkongwe Master Jay ambaye tunamheshimu licha ya kuwa mzee mwenye mihemko sana anaependa kutrend ambae ana historia mbaya ya kutumia wasanii wa kike kama Shaa akiwarubuni kwa studio time.

Zombie apewe heshima yake sio kila aliyetangulia anamzidi wa sasa lazima tuelezane ukweli.
Tatizo unalinganisha Kizazi cha sasa Cha Automated softwares Na kizazi cha zaman unatumia Only FL studio (Fruits Loops) kutengeneza beats na unatumia softwares za Kuingiza vocal zinazoruhusu only Direct singing ambayo haina marudio..

Na ndo maana zaman ilikuwa lazma ukariri nyumbo yote uende ukaimbe sio siku hizi unaweza ukatunga na kuimba nyimbo na kurudia rudia kila kipande..
Sometimes tujue kulinganisha vitu na kutoa Appreciation kwa ma legend..

Ni sawa ulinganishe mtu aliyetengeneza Daraja mwaka 1961 ulinganishe na aliyetengeneza mwaka huu..
Tujifunze kutoa shukrani....

S2kizz mwepesi sana
 
Aisee kwani una ugomvi na Master J? Kwanini yeye kati ya maprodyuza wote? Halafu, hivi hakukuwa na picha nyingine mpaka uweke hii?
 
Tatizo unalinganisha Kizazi cha sasa Cha Automated softwares Na kizazi cha zaman unatumia Only FL studio (Fruits Loops) kutengeneza beats na unatumia softwares za Kuingiza vocal zinazoruhusu only Direct singing ambayo haina marudio..

Na ndo maana zaman ilikuwa lazma ukariri nyumbo yote uende ukaimbe sio siku hizi unaweza ukatunga na kuimba nyimbo na kurudia rudia kila kipande..
Sometimes tujue kulinganisha vitu na kutoa Appreciation kwa ma legend..

Ni sawa ulinganishe mtu aliyetengeneza Daraja mwaka 1961 ulinganishe na aliyetengeneza mwaka huu..
Tujifunze kutoa shukrani....

S2kizz mwepesi sana
Jamaa anashangaza sana, music production kwa sasa ni rahisi
Unarecord umekaa kwenye kochi hukum Umeshika kikombe chako cha kahawa, producer yupo na laptop tu na bado sound inatoka vizuri
hakuna ulazima tena wa kuingia booth

Mj ilikua ili apate beat na artist aingie kwenye beat ilikua ni vita kubwa, beat tu ishapigwa vyombo vingi sana
 
Vijna wa siku hizi hayo hawayajui wanachojua ni Amapiano nayo pia ni Sampling tu
 
Tatizo unalinganisha Kizazi cha sasa Cha Automated softwares Na kizazi cha zaman unatumia Only FL studio (Fruits Loops) kutengeneza beats na unatumia softwares za Kuingiza vocal zinazoruhusu only Direct singing ambayo haina marudio..

Na ndo maana zaman ilikuwa lazma ukariri nyumbo yote uende ukaimbe sio siku hizi unaweza ukatunga na kuimba nyimbo na kurudia rudia kila kipande..
Sometimes tujue kulinganisha vitu na kutoa Appreciation kwa ma legend..

Ni sawa ulinganishe mtu aliyetengeneza Daraja mwaka 1961 ulinganishe na aliyetengeneza mwaka huu..
Tujifunze kutoa shukrani....

S2kizz mwepesi sana
So point yako ni ipi? Masta jei kamzidi kitu gani zombie kwenye production zaidi ya ukongwe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom