Master Jay: Diamond hamfikii Alikiba kwenye uimbaji

Aache uongo, Diamond ana hits nyingi kuliko Alikiba. Ni kwamba haters wa Diamond mnatafuta tu namna ya kumfanya Alikiba kuwa relevant na maneno haya hayajaanza leo.

Nje ya Tanzania hawamjui Diamond kwa drama zake bali kwa muziki wake, Alikiba anaejua kuimba kumzidi Diamond mbona anazidiwa kukubalika hadi nje ya mipaka yetu?

nyimbo alizoshirikishwa Diamond Tanzania na nje ya Tanzania zimefanya vizuri mara elfu ya nyimbo alizoshirikishwa Alikiba. Mafanikio haya pia yanatokana na drama zake?

Diamond kuwa na kipaji cha kuburudisha haimfanyi kuwa na ubora mdogo kwenye utunzi, melodies na uimbaji hadi kufikia level ya kumlinganisha na Alikiba.

Master Jay amemkosea sana heshima Diamond kumlinganisha na Alikiba. Amuombe radhi Diamond kabla hajafa.
Tafuta nyimbo ya kwanza ya Diamond
Tafuta nyimbo ya kwanza ya Alikiba

Kwa kukusaidia

Mondi

View: https://www.youtube.com/watch?v=OYlNTRVsPq8

Kiba

View: https://www.youtube.com/watch?v=j-z9UjGXUp0

Alafu kaa chini washikilize then wape marks zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom