Nandy aendelea kumnyoosha Diamond Platinumz

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Habari njema kwa Team Nandy na habari mbaya kwa team Diamond Platinumz.

Msanii Nandy ameendelea kushika namba moja kwenye Trend za Youtube licha ya staa Diamond platnumz kutoa video ya wimbo wake wa Mapozi aliowashirikisha Jay Melody na Mr Blue.

Wimbo wa "Dah" ambao Nandy amemshirikisha Alikiba bado unaendelea kushika namba moja kwa siku kadhaa huku wimbo wa Diamond Platnumz "Mapozi" ukibaki namba mbili.

Screenshot_20240209-175516.jpg


Ikumbukwe kuwa msanii na chawa maarufu nchini Baba Levo, alimwambia Nandy kuwa akishika namba moja na kumpita Diamond amuite Mbwa.

Screenshot_20240209-175927.jpg


Nini maoni yako?

Written by Mjanja M1 ✍️
 
Kinachoonangaliwa hapo mwisho wa siku ngoma zao zitawaingizia hela kiasi gani kukaa trending sio issue sijajua kwanini wasanii wetu wanaulimbukeni wa trending
 
Imekuaje jamaa wa kujisifia mzee wa bwaga diamond platinumz bado yuko number 2 trending siku ya pili leo.

Ameshindwa kumshusha binti nandy na mfalme.
 
Diamond Platnumz ni mfanyabiashara mkubwa, hata akipotea kimuziki hawezi kurudi Tandale. Hata hivyo mimi namvulia kofia kwa kuweza kukaa kileleni kwa miaka zaidi ya 10 mfululizo kwenye nchi ambayo imejaa wanga, wapiga majungu na watu wa husda.​
 
safari hi mond Kaya vagaa, video ime kuwa sponsored ila still hamna kitu.
Nyie mmejitoa sio na International collabo 😂 😂 ambayo ina hit kondegang hq pekee yake. Mwaka jana D voice kawapa za uso album ipo kapuni, mwaka juzi napo Mbosso Khan Ep ikawapa tena za uso. Ss mmebaki kujipa ukupe msafiri na kiki za watu
 
Diamond Platnumz ni mfanyabiashara mkubwa, hata akipotea kimuziki hawezi kurudi Tandale. Hata hivyo mimi namvulia kofia kwa kuweza kukaa kileleni kwa miaka zaidi ya 10 mfululizo kwenye nchi ambayo imejaa wanha, wapiga majungu na watu wa husda.​
Hey Malcom, jamani nimefurahi kukuona ulipotea sana. Naamini uko vizuri, karibu tena.
 
Mkuu kiba katoa nyimbo mbili moja inaitwa alo pamoja na yalaiti na zote zimeshindwa kufanya vizuri
Kwahiyo kwa kifupi nandy ndio aliyempeleka kiba trending no 1 coz kiba hajawahi kushika namba moja youtube, kifupi sasa hivi nandy yupo juu ya hao wote😂😂😂
 
Kwahiyo kwa kifupi nandy ndio aliyempeleka kiba trending no 1 coz kiba hajawahi kushika namba moja youtube, kifupi sasa hivi nandy yupo juu ya hao wote😂😂😂
mtoa mada amesema Kiba kampiga vijembe mond wakati wimbo si wake ndio nimesema wimbo ni wa Nandy kiba anapata nguvu gani ya kupiga vijembe wakati nyimbo zake mbili zote alizotoa mwaka huu hazijafanya vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom