alikiba


 1. Two dimension array

  Wimbo mpya wa Ali Kiba 'Hela'

  Habarini zenu. Msanii Ali Kiba anatarajia kudondosha nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la HELA itakayo anguka muda wowote kuanzia sasa Huko mitandao ya kijamii imefulika na kuwa na shauku kubwa juu ya ujio wa ngoma hiyo baada ya kimya cha muda mrefu tangu alipo achia ngoma yake ya mwisho...
 2. Barcelona763

  Alikiba coastal union

  Sio Siri Tena alikiba ni mchezaji mpira wa coastal union nilipopata habari sikuelewa . Lakini nilipomsikiliza Mwenyewe akieleza nia yake kwenye interview ya Azam tv nikatambua kuwa ana uwezo ya kutimiza ndoto yake.tokea leo mimi ni shabiki number moja wa coastal union . Nitanunua jezi lake...
 3. Barcelona763

  Nyimbo bora za Alikiba

  Katika muziki wa bongo fleva, mimi hupenda kusikiliza Alikiba . Nyimbo zake huwa zinamafunzo na zinaonya jamii kwa jumla . Kwa maoni yangu hizi ndio nyimbo zake bora Lofa Mwana Mapenzi yanarun dunia Mac muga Aje Usiniseme Cinderella Maumivu per day Mali yangu Hadithi