Massage za Wadada Saluni: Zinatutega na tunashawishika

j

sema ukiwa unawaachia tip, huwa wanakumiliki, siku ingine ukija utasikia wanagombana ati huyo mteja wangu, mara ohhh huyo mchumba wangu na wako serious wanachukiana kabisa. akikusanyakusanya tips na keep change alfu tano tano kwa watu ishirini unafikiri home anarudi na per diem ya shilingi ngapi?
Hahaa wanajpa per diem ndefu hao[emoji1] ndo mana maboss wanatumia kigezo cha uzur kuwaweka hapo saluni
 
mshahara wanawapatia hata laki moja haizidi, lakini nywele wanasuka za garama na wanabadilisha nywele i think mara nne kwa mwezi.fikiria, tunawapa tip alfu tano hadi kumi ili siku ingine tukija watufanye vizuri sio kwa kulipua, kwa siku toka asubuhi saa tatu hadi saa tatu usiku unafikiri atakuwa amehudumia watu wachache? hata 50 wanafika, tufanye 20 tu ndio watampa tip alfu tano, hapo ana laki moja tiyari. bado kati ya hao watu 50 si chini ya 10 anawapa namba zao halafu anawapanga siku za off au baada ya saa tatu usiku, akienda kwa mmoja anamwambia fanya haraka mama nyumbani atanifokea kumbe anakuacha aende kwa mwanaume wa pili guest nyingine aliyemwambia at exactly certain time nitakuwa hapo, na hakuna anayedinywa chini ya 30,000. kwa siku hao wanarudi na per diem ndefu sana tu. na ni kila siku.

sema ndio wamejizira, ni mojawapo wa viumbe hatari sana kugonga, magonjwa wengi wameathirika na hawajali chochote, hawana hata mshipa wa aibu ni watu ambao hata kisaikolojia wameshindikana. ndio mana ukifuatilia utakuta mmoja alikuwa baamedi sasa kule amechoka, mwingine utakuta laikuwa changu sasa pale anafanyia mchana usiku anarudi kujiuza mtaani kila mtu ana historia yake....na ni wazuri. more than 70% of them ni wale wa barabarani na walioendelea kidogo ni machangu wa kupitia simu. amini usiamini.
 
Hawa kina dada warembo ni noma sana
Wanajitahidi kutoa Huduma balaa ila Mimi huwa nawaogopa maana si kwa Yale mapapaso jamani

Yani anamaliza kukuosha tu jogoo hiloo
 
huduma hi ni nzuri kwa watu professional, ambao ukiwambia unataka zinaa wanaweza kukushitaki kabisa, wazungu hata baadhi ya wajapan, ila sio wafilipino, wathailand au wachina. wazungu wapo pale kama kazi kabisa na hawataki kutongozwa, ukiwatongoza kama amekuhurumia sana atakutajia dau la pesa afu atakupiga nyeto kwa mkono wake akitumia yale mafuta ya mzeituni, ila hagusanishi tupu yake na yako, katu. kwa wabongo sana, muda wote wamekaa mkao kuona kama utaomba, usipoomba siku ingine ukija anakuhudumia kw akulipua amalize uondoke. hapo ndio wengi wanambukizw amagonjwa sasa.
 
MIMI NAPOENDA KWENYE HZO SALON, SIRUHUSU HATA KDOGO KICHWA CHA CHINI KUFANYA MAAMUZI.. NAMWAMBIA DADA NIFANYIE SCRUB TU.. MENGNE MARA KUINGZWA COTTON BUD KWENYE SIKIO, NO..
 
mshahara wanawapatia hata laki moja haizidi, lakini nywele wanasuka za garama na wanabadilisha nywele i think mara nne kwa mwezi.fikiria, tunawapa tip alfu tano hadi kumi ili siku ingine tukija watufanye vizuri sio kwa kulipua, kwa siku toka asubuhi saa tatu hadi saa tatu usiku unafikiri atakuwa amehudumia watu wachache? hata 50 wanafika, tufanye 20 tu ndio watampa tip alfu tano, hapo ana laki moja tiyari. bado kati ya hao watu 50 si chini ya 10 anawapa namba zao halafu anawapanga siku za off au baada ya saa tatu usiku, akienda kwa mmoja anamwambia fanya haraka mama nyumbani atanifokea kumbe anakuacha aende kwa mwanaume wa pili guest nyingine aliyemwambia at exactly certain time nitakuwa hapo, na hakuna anayedinywa chini ya 30,000. kwa siku hao wanarudi na per diem ndefu sana tu. na ni kila siku.

sema ndio wamejizira, ni mojawapo wa viumbe hatari sana kugonga, magonjwa wengi wameathirika na hawajali chochote, hawana hata mshipa wa aibu ni watu ambao hata kisaikolojia wameshindikana. ndio mana ukifuatilia utakuta mmoja alikuwa baamedi sasa kule amechoka, mwingine utakuta laikuwa changu sasa pale anafanyia mchana usiku anarudi kujiuza mtaani kila mtu ana historia yake....na ni wazuri. more than 70% of them ni wale wa barabarani na walioendelea kidogo ni machangu wa kupitia simu. amini usiamini.
Umenena vyema mkuu ndo mana ukiwatazama ni wajanja wajanja sana,wamejizira,ni sawa na kujiuza bila kujitangaza
Lakini unakuta hao ndo walezi wa familia zao kijijin
 
huduma hi ni nzuri kwa watu professional, ambao ukiwambia unataka zinaa wanaweza kukushitaki kabisa, wazungu hata baadhi ya wajapan, ila sio wafilipino, wathailand au wachina. wazungu wapo pale kama kazi kabisa na hawataki kutongozwa, ukiwatongoza kama amekuhurumia sana atakutajia dau la pesa afu atakupiga nyeto kwa mkono wake akitumia yale mafuta ya mzeituni, ila hagusanishi tupu yake na yako, katu. kwa wabongo sana, muda wote wamekaa mkao kuona kama utaomba, usipoomba siku ingine ukija anakuhudumia kw akulipua amalize uondoke. hapo ndio wengi wanambukizw amagonjwa sasa.
Kwa hiyo na hao wafilipino na waithailand hawana tofaut na wabongo??mbona kama umewatenga na wajapan
 
Back
Top Bottom