Maskini Wambura...

INASISIMUA NA KUTISHA ILA INAFUNDISHA
Katika kijiji cha Matare wilaya ya Mugumu
Serengeti, bwana Wambura alikamatwa kwa kesi
ya kusingiziwa na kuhukumiwa kwenda jela
miaka mitatu. Huku nyuma akiacha mke na
watoto wanne waliokuwa wanasoma. Hukumu
hiyo ilimtesa sana kichwa chake, alitamani kila
mtu anayemhisi kuwa ana makosa aingie katika
moyo wake na kuupata ukweli. Alilia na
umaskini wake, labda angepata wakili mzuri
angeweza kumtetea, kumkosa wakili
kukahalalisha kifungo hicho!! Alikwenda
gerezani huku akiumia sana rohoni. Aliyaanza
maisha mapya kwa shida sana, akawamnyonge
kila mara na mwili ukapoteza afya kiujumla.
Huko gerezani alifanikiwa kupata rafiki
aliyekuwa na cheo ama jukumu la uzikaji wa
wafungwa hasahasa ambao hawakuwa na ndugu
ama ambao ndugu zao huwa hawajitokezi pale
gerezani. Mzikaji alijaribu sana kumtia moyo
Wambura na kumwaminisha kuwa hiyo ilikuwa
hatua tu ya maisha
anapaswa kuizoea na siku moja ukweli
utajulikana tu! Bwana Wambura maneno ya
mzikaji hayakumuingia kabisa.. alizidi
kunyong’onyea. “Siwezi kuvumilia kukaa
gerezani miaka mitatu…..kama unajali kilio
changu nisaidie nitoroke kwa namna yoyote ile
ndugu yangu!!” Wambura alimsihi mzikaji.
SIKU MOJA mzikaji akamwambia Wambura kuwa
msaada umepatikana. Lakini yataka moyo!!
“Nipo tayari kwa lolote ilimradi tu nitoke
humu!!” alijibu kwa msisitizo huku akimtegea
sikio mzikaji. “Msaada pekee wa kukutorosha
humu ndani ni kwa njia ya jeneza… yaani
mfungwa akifa mimi nakuunganisha naye
kwenye jenerza…..” akashusha pumzi kisha
akaendelea “Wewe ukisikia kengele ya msiba,
njoo mara moja kwenye chumba cha maiti,
utakuta tayari sanduku liko katikati ya chumba
linakuwa halijafungwa, funua mfuniko ingia
ndani yake ulale pembeni ya maiti kwani
sanduku huwa kubwa la kutosha kila aina ya
maiti na hata miili miwili inaingia.
Kisha nitakuja na kulipigilia misumari. Baada ya
muda tutalipakia kwenye gari na kutoka kwenda
nje ya gereza makaburini nikiongozana na
baadhi ya wafungwa na maaskari magereza.
Tutakuzika huko lakini baada ya dakika 20 hadi
30 nitarudi kukufukua. Hautaweza kushindwa
kupumua kwa dakika hizo, utatoka ukiwa huru.”
JAPOKUWA wazo lilikuwa zuri lakini lilimtisha
sana Wambura. Hata hivyo akaona afadhali
afanye hivyo
kuliko kukaa gerezani miaka mitatu
bila kosa. Siku moja akasikia kengele ya msiba.
Akafanya kama alivyoelekezwa na mzikaji.
Akaenda na kuingia chumba cha maiti. Kweli
akalikuta sanduku, akiwa na hofu
kuu akaingia na kulala pembeni ya maiti
iliyokuwepo. Mara akasikia mtu ameingia na
kulipigilia msumari sanduku. Muda mfupi
baadaye sanduku likainuliwa na kuwekwa
kwenye gari. Gari likatoka nje ya gereza hadi
makaburini. Sanduku likashushwa
na kuwekwa kaburini na kuanza kufukiwa.
Wambura alijitahidi sana kuvumilia japo hofu
ilizidi kutanda. Alimtegemea sana mzikaji na
alianza kumuona mkombozi wa maisha yake.
Kama alivyoambiwa, akasubiri
dakika kumi, ishirini.. zikapita kimya!! Dakika
thelathini kimya. Joto nalo likazidi kuongezeka.
“Nitavumilia hadi afike…” alijisemea kisha
akajiongezea kauli ya ujasiri.
“Kama nilitakiwa kuishi gerezani miaka mitatu
kivipi dakika kadhaa za hapa kaburini
zinishinde” KWA kuwa alishakaa gerezani kwa
muda kiasi akatamani kujua aliyekufa ni nani…
ni kweli aliogopa kuitazama maiti lakini aliona
kama inatisha zaidi ikiwa
imefunikwa vile kuliko ikiwa wazi. Akaifunua
upande wa usoni… Kwa kuwa kulikuwa na giza
nene alikodoa sana macho kuitazama.
LAHAULA!!! MACHO YAKAKUTANA
NA SURA YA MZIKAJI!!!
MZIKAJI ALIKUWA AMEKUFA NA AMEZIKWA NA
AHADI ZAKE ZA UKOMBOZI!!
________________
FUNZO::
Usimtegemee sana mwanadamu katika maisha
yako, kwanza ni dhambi!! Pili mwanadamu
anakumbana na vikwazo kama unavyokumbana
navyo wewe hadi kumwendea yeye. Hivyo
kumpatia maisha yako ni kuzidi kuyaweka
hatarini zaidi!!
Umeonewa umesingiziwa unanyanyaswa…..
mwachie Mungu afanye maamuzi…
_______________
Haya mzikaji aliyetegemea atamfukua naye ni
maiti…… tazama mateso atakayoyapata hadi
kufa kwake…..Bila shaka atatamani kurudi
gerezani kwa miaka mingine kumi
lakini haitawezekana tena!!!
 
story nzuri. inafundisha!

but nakerwa sana na wanao-quote vitu virefu kama hivi!

wahurumieni wanaotumia device ndogo ndogo!
 
Kweli kabisa....alaaniwe amtegemeaye mwanadamu... Afadhali kuvumilia shida za muda maana ni mapito, na ipo siku yatakwisha...mtegemee Mungu katika shida zako na tukumbuke kumshukuru kwa kila jambo ....don, shukrani!
 
Yeriko, mimi nasubiria hiyo tarehe 4.1.2014, hapo ndipo nitakuelewa, najua siku si nyingi; panapo uzima tutafika na nitakuelewa.

Happy New Year!
 
Katika kijiji cha Matare wilaya ya Mugumu Serengeti, bwana Wambura alikamatwa kwa kesi ya kusingiziwa na kuhukumiwa kwenda jela miaka mitatu. Huku nyuma akiacha mke na watoto wanne waliokuwa wanasoma. Hukumu hiyo ilimtesa sana kichwa chake, alitamani kila mtu anayemhisi kuwa ana makosa aingie katika moyo wake na
kuupata ukweli.

Alilia na umaskini wake, labda angepata wakili mzuri angeweza kumtetea, kumkosa wakili kukahalalisha kifungo hicho!!

Alikwenda gerezani huku akiumia sana rohoni. Aliyaanza maisha mapya kwa shida sana, akawa mnyonge kila mara na mwili ukapoteza afya kiujumla.

Huko gerezani alifanikiwa kupata rafiki aliyekuwa na cheo ama jukumu la uzikaji wa wafungwa hasahasa ambao hawakuwa na ndugu ama ambao ndugu zao huwa hawajitokezi pale gerezani. Mzikaji alijaribu sana kumtia nguvu Wambura na kumwaminisha kuwa hiyo ilikuwa hatua tu ya maisha anapaswa kuizoea na siku moja ukweli utajulikana tu! Bwana Wambura maneno ya mzikaji hayakumuingia kabisa.. alizidi kunyong'onyea. "Siwezi kuvumilia kukaa gerezani miaka mitatu…..kama unajali kilio changu nisaidie nitoroke kwa namna yoyote ile ndugu yangu!!"
Wambura alimsihi mzikaji. SIKU MOJA mzikaji akamwambia Wambura kuwa msaada umepatikana. Lakini yataka moyo!! "Nipo tayari kwa lolote ilimradi tu nitoke humu!!" alijibu kwa msisitizo huku akimtegea sikio mzikaji.

"Msaada pekee wa kukutorosha humu ndani ni kwa njia ya jeneza… yaani mfungwa akifa mimi nakuunganisha naye kwenye jeneza….." akashusha pumzi kisha akaendelea "Wewe ukisikia kengele ya msiba, njoo mara moja kwenye
chumba cha maiti, utakuta tayari sanduku liko katikati ya chumba linakuwa halijafungwa, funua kifuniko ingia ndani yake ulale pembeni ya maiti kwani sanduku huwa kubwa la kutosha kila aina ya maiti na hata miili miwili inaingia.
Kisha nitakuja na kulipigilia misumari. Baada ya muda tutalipakia kwenye gari na kutoka kwenda nje ya gereza makaburini nikiongozana na baadhi ya wafungwa na maaskari magereza. Tutakuzika huko lakini baada ya dakika 20 hadi 30 nitarudi kukufukua. Hautaweza kushindwa kupumua kwa dakika hizo, utatoka ukiwa huru."

JAPOKUWA wazo lilikuwa zuri lakini lilimtisha sana Wambura. Hata hivyo akaona afadhali afanye hivyo kuliko kukaa gerezani miaka mitatu bila kosa. Siku moja akasikia kengele ya msiba. Akafanya kama alivyoelekezwa na mzikaji. Akaenda na kuingia chumba cha maiti. Kweli akalikuta sanduku, akiwa na hofu kuu akaingia na kulala pembeni ya
maiti iliyokuwepo. Mara akasikia mtu ameingia na kulipigilia msumari sanduku. Muda mfupi baadaye sanduku likainuliwa na kuwekwa kwenye gari. Gari ikatoka nje ya gereza hadi makaburini. Sanduku likashushwa na kuwekwa kaburini na kuanza kufukiwa.

Wambura alijitahidi sana kuvumilia japo hofu ilizidi kutanda. Alimtegemea sana mzikaji na alianza kumuona mkombozi wa maisha yake. Kama alivyoambiwa, akasubiri dakika kumi, ishirini.. zikapita kimya!! Dakika thelathini kimya. Joto nalo likazidi kuongezeka. "Nitavumilia hadi afike…" alijisemea kisha akajiongezea kauli ya ujasiri. "Kama nilitakiwa kuishi gerezani miaka mitatu kivipi dakika kadhaa za hapa kaburini" KWA kuwa alishakaa gerezani kwa muda kiasi akatamani kujua aliyekufa ni nani… ni kwewli aliogopa kuitazama maiti lakini aliona kama inatisha zaidi ikiwa
imefunikwa vile kuliko ikiwa wazi. Akaifunua upande wa usoni… Kwa kuwa kulikuwa na giza nene alikodoa sana macho kuitazama.

LAHAULA!!! MACHO YAKAKUTANA NA SURA YA MZIKAJI!!! MZIKAJI ALIKUWA AMEKUFA NA AMEZIKWA NA AHADI ZAKE ZA UKOMBOZI!!

________________
FUNZO::
Usimtegemee sana mwanadamu katika maisha yako, kwanza ni dhambi!! Pili mwanadamu anakumbana na vikwazo kama unavyokumbana navyo wewe hadi kumwendea yeye. Hivyo kumpatia maisha yako ni kuzidi kuyaweka hatarini zaidi!! Umeonewa umesingiziwa unanyanyaswa….. mwachie Mungu afanye maamuzi…
_______________
Haya mzikaji aliyetegemea atamfukua naye ni maiti…… tazama mateso atakayoyapata hadi kufa kwake….. Bila shaka atatamani kurudi
gerezani kwa miaka mingine kumi lakini haitawezekana tena!!!

Sasa hii hadithi wewe uliitoa wapi wakati Wambura naye alikufa.....
 
Kweli kabisa....alaaniwe amtegemeaye mwanadamu... Afadhali kuvumilia shida za muda maana ni mapito, na ipo siku yatakwisha...mtegemee Mungu katika shida zako na tukumbuke kumshukuru kwa kila jambo ....don, shukrani!

shukrN pia mkuu ubarikiwe. heri ya mwaks mpys
 
Bwana asema hivi amelaaniwa mtu yule amtegemeae
mwanadamu amfanyae mwanadamu kuwa kinga yake
na moyoni mwake amemwcha bwana
shairi
1. Yeye atakuwa kama vile fukara nyikani
nae ataona njaa siku zote za maisha yake.
 
Hujafanya kazi sawa, hebu i kopi hii ukaibandike tena:

Usione uvivu kusoma. Kuna ujumbe mzito sana ndani yake...

Katika kijiji cha Matare wilaya ya Mugumu Serengeti, bwana Wambura alikamatwa kwa kesi ya kusingiziwa na kuhukumiwa kwenda jela miaka mitatu.

Huku nyuma akiacha mke na watoto wanne waliokuwa wanasoma. Hukumu hiyo ilimtesa sana kichwa chake, alitamani kila mtu anayemhisi kuwa ana makosa aingie katika moyo wake na kuupata ukweli.

Alilia na umaskini wake, lambda angepata wakili mzuri angeweza kumtetea, kumkosa wakili kukahalalisha kifungo hicho!! Alikwenda gerezani huku akiumia sana rohoni. Aliyaanza maisha mapya kwa shida sana, akawa mnyonge kila mara na mwili ukapoteza afya kiujumla.

Huko gerezani alifanikiwa kupata rafiki aliyekuwa na cheo ama jukumu la uzikaji wa wafungwa hasahasa ambao hawakuwa na ndugu ama ambao ndugu zao huwa hawajitokezi pale gerezani.

Mzikaji alijaribu sana kumtia nguvu Wambura na kumwaminisha kuwa hiyo ilikuwa hatua tu ya maisha anapaswa kuizoea na siku moja ukweli utajulikana tu! Bwana Wambura maneno ya mzikaji hayakumuingia kabisa.. alizidi kunyong’onyea.

“Siwezi kuvumilia kukaa gerezani miaka mitatu…..kama unajali kilio changu nisaidie nitoroke kwa namna yoyote ile ndugu yangu!!” Wambura alimsihi mzikaji.

SIKU MOJA mzikaji akamwambia Wambura kuwa msaada umepatikana. Lakini yataka moyo!! “Nipo tayari kwa lolote ilimradi tu nitoke humu!!” alijibu kwa msisitizo huku akimtegea sikio mzikaji.

“Msaada pekee wa kukutorosha humu ndani ni kwa njia ya jeneza…yaani mfungwa akifa mimi nakuunganisha naye kwenye jeneza…..” akashusha pumzi kishaakaendelea “Wewe ukisikia kengele ya msiba, njoo mara moja kwenye chumba cha maiti, utakuta tayari sanduku liko katikati ya chumba linakuwa halijafungwa, funua kifunioko ingia ndani yake ulale pembeni ya maiti kwani sanduku huwa kubwa la kutosha kila aina ya maiti na hata miili miwili inaingia.

Kisha nitakuja na kulipigilia misumari. Baada ya muda tutalipakia kwenye gari na kutoka kwenda nje ya gereza makaburini nikiongozana na baadhi ya wafungwa na maaskari magereza.

Tutakuzika huko lakini baada ya dakika 20 hadi 30 nitarudi kukufukua. Hautaweza kushindwa kupumua kwa dakika hizo, utatoka ukiwa huru.” JAPOKUWA wazo lilikuwa zuri lakini lilimtisha sana Wambura.

Hata hivyo akaona afadhali afanye hivyo kuliko kukaa gerezani miaka mitatu bila kosa. Siku moja akasikia kengele ya msiba. Akafanya kama alivyoelekezwa na mzikaji.

Akaenda na kuingia chumba cha maiti. Kweli akalikuta sanduku, akiwa na hofu kuu akaingia na kulala pembeni ya maiti iliyokuwepo. Mara akasikia mtu ameingia na kulipigilia msumari sanduku. Muda mfupi baadaye sanduku likainuliwa na kuwekwa kwenye gari.

Gari ikatoka nje ya gereza hadi makaburini. Sanduku likashushwa na kuwekwa kaburini na kuanza kufukiwa. Wambura alijitahidi sana kuvumilia japo hofu ilizidi kutanda. Alimtegemea sana mzikaji na alianza kumuona mkombozi wa maisha yake.

Kama alivyoambiwa, akasubiridakika kumi, ishirini.. zikapita kimya!! Dakika thelathini kimya. Joto nalo likazidi kuongezeka. “Nitavumilia hadi afike…”alijisemea kisha akajiongezea kauliya ujasiri.

“Kama nilitakiwa kuishi gerezani miaka mitatu kivipi dakika kadhaa za hapa kaburini” KWA kuwa alishakaa gerezani kwa muda kiasi akatamani kujua aliyekufa ni nani… ni kwewli aliogopa kuitazama maiti lakini aliona kama inatisha zaidi ikiwa
imefunikwa vile kuliko ikiwa wazi.

Akaifunua upande wa usoni… Kwa kuwa kulikuwa na giza nenealikodoa sana macho kuitazama. LAHAULA!!! MACHO YAKAKUTANA NA SURA YA MZIKAJI!!! MZIKAJI ALIKUWA AMEKUFA NA AMEZIKWA NA AHADI ZAKE ZA UKOMBOZI!!
________________
FUNZO::
Usimtegemee sana mwanadamu katika maisha yako, kwanza ni dhambi!! Pili mwanadamu anakumbana na vikwazo kama unavyokumbana navyo wewe hadi kumwendea yeye.
 
Asante sana, nimebarikiwa sana na hii simulizi, na mbarikiwe nanyi nyote.
 
Back
Top Bottom