Maskini Wambura...

Maskini Wambura...

Sijui kwanini vijana wa DR SLAA WANAJARIBU KUJIPAMBANISHA NA ZITTO IKIWA DR SLAA MWENYEWE KASHINDWA.
 
dah kwa hiyo tarehe 4, msaliti ndo anapigwa chini? safi sana
 
Kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Duuuuiiiiiiiiiii ningelia nife
 
Pia hiyo ungewatag akina Shonza na Mtela waambie 04/01/2014 kibarua kitaota nyasi
 
Hii imewagusa wengi, bila kumung'unya maneno mwandishi ni ni mmoja wao... WALE UNAODHANI BILA WAO HUWEZI KUISHI WAO BILA WEWE WANAWEZA KUISHI... tafakarini wote mlioguswa.
 
Story zingine bhana!!Sasa wewe umeyajuaje ya kwenye jeneza?
 
:flame:Maeneo ya kuyaangalia
1- Mke na watoto wanne
2- Kifungo cha miaka mitatu hakijaisha- 2012-2015
3- Bwana Mzikaji
Bado nadodosa
 
Naona mwisho umekosea mzikaji alipata msamaha wa raisi na akatoka nje akawahuru na kuendelea na harakati za ukombozi
 
Najaribu kujiuliza ni nani alitoa taarifa hii kwa maana mtorokaji kazikwa na pia mtoroshaji kumbe Naye kafa,halafu kwenye jeneza anafungua na kumkuta mzikaji,sasa huku kaburini palikuwa na ukubwa gani hadi kuweza kugeuka na kumfunua maiti au kulikuwa na mwanga ndani na kama ndio nani akiweka huo mwanga na kwanini asingemuokoa?
Haya hadithi njoo utamu kolea
Happy New Year

Duu umenena mkuu
 
Back
Top Bottom