Mkuu Yeriko, kiukweli nimecheka!,
Ika hiyo ya jeneza la watu wawili, ikibidi ni kulala mzungu wa nne!, na baada ya kupigiliwa misumari, bado mtu akageuza hata mkono kuifunua maiti, na giza la ndani ya sanduku, ndani ya kaburi, bado ukamtambua mtu ni nani!.
Anyway its a good story!.
What is the linkage na hiyo tarehe?!.
Happy New Year!
Pasco.