Maskini Wambura...

Kuna kla 7bu yakuomba kuendelea kuish na wewe utakua katibu Asante kunfrahsha
 
Duuuh! sasa kama wote waliishia kwenye Jeneza, nani alitoa shuhuda ya kilichowakuta hao wawili?
Yericko Nyerere
 
Kuna watu wanategemea au wanawekeza matumaini yao kwa binaadamu wenzao walio na damu na nyama
Hii scenerio inaenda kutokea tarehe nne kwakweli
So sad
 
yericko unataka kupoteza nguvu nying kumwelewesha tofyo. kuna aina flan ya watu wasipokuelewa ushukuru maana ujue kuwa bado unaongea mambo ya maana. wakianza kukuelewa jichunguze ni wap umeanguka maana unakuwa umeanza kuwaza kama wao so unawaza mambo ya hovyo hovyo tu.
 
Taratibu naona MM ( MWANAKIjiji ) anapata mpinzani kwa upande wa hadithi. Siku zote niliaminishwa na mkuu Ritz kuwa wewe ni zuzu ila kumbe sivyo!! Kisa ni kizuri na uzuri wa hiki kisa kila mtu anaweza kukitafathiri jinsi atakavyo ila ujumbe umefika.
 
Last edited by a moderator:
Naona huyu jamaa aliyekuwa anatamani kutoroka jela lakini akaishia kaburini alikuwa hana mbinu mbadala.
Alichotakiwa kufanya kabla hawajaanza kuzika angelipiga teke lile jeneza na kutoka kasi na kuishia zake porini.

Nina hakika hakuna ambaye angelikaa pale kumzuia asitoke kwenye jeneza. Wale maafande na bunduki zao wangetimua mpaka soli ya buti ichomoke. Wafanya mchezo na maiti kufufuka.....!!!!

Lakini basi tena ndo mwisho wake ulipangwa uwe hivo!
 
Najaribu kujiuliza ni nani alitoa taarifa hii kwa maana mtorokaji kazikwa na pia mtoroshaji kumbe Naye kafa,halafu kwenye jeneza anafungua na kumkuta mzikaji,sasa huku kaburini palikuwa na ukubwa gani hadi kuweza kugeuka na kumfunua maiti au kulikuwa na mwanga ndani na kama ndio nani akiweka huo mwanga na kwanini asingemuokoa?
Haya hadithi njoo utamu kolea
Happy New Year
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom