Maskini Wambura...

Maskini Wambura...

Maumivu ya kufa ukiwa unajiona ni makali kuliko maisha ya gerezani, ama kweli hili ni fundisho tosha.
 
Duh; hata kama story ni fix lakini kuna fundisho kubwa sana; tangu leo nawambia wanafamilia wangu (Mama Tutor B, Kadu, na Akanganyila) wasinitegemee tena mimi kwani nami ni binadamu kama wao.
 
Nilikwishaiona pahala hii stori lakini du ilinitowa jasho!
 
Duh; hata kama story ni fix lakini kuna fundisho kubwa sana; tangu leo nawambia wanafamilia wangu (Mama Tutor B, Kadu, na Akanganyila) wasinitegemee tena mimi kwani nami ni binadamu kama wao.

Mahitaji yao uwatimizie tu
 
Story ni nzuri sana japo uhalisia ni kidogo lakini ina mafundisho mazuri
 
Story iko nzuri na imeeleweka! Ujumbe umefika.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
imeandikwa amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfanya kimbilio lake
 
Back
Top Bottom