ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,252
- 8,341
Bado kipo......Rebecca Muresi anakitangaza karibia kila siku, leo alikwa wambura mtani. huwa najiuliza kama wale walioko jikoni malipo hakuna, je hawa waandishi wanaoutuma taarifa kutoka mikoani inakuwajeMimi nilikuwa napenda kipindi cha matukio.