Maskini RFA, ndiyo kwaheri hivyo

Mimi nilikuwa napenda kipindi cha matukio.
Bado kipo......Rebecca Muresi anakitangaza karibia kila siku, leo alikwa wambura mtani. huwa najiuliza kama wale walioko jikoni malipo hakuna, je hawa waandishi wanaoutuma taarifa kutoka mikoani inakuwaje
 
Dam Mbaya alishtuka mapema akawakimbia akaenda Mlimani TV.
Now ni DC nadhani au DED
Yes nakumbuka 1999 hicho kipindi cha udondozi wa magazeti walikuwa wanakiwasilisha Hamisi Dambaya na Egbert Mkoko redio mkoa tulikuwa utaipata kwa AM(Amplitude Modulation)...wakati huo nawasilikiliza kwenye karedio kangu ka Rising kwenye geto lililobandikwa magazeti ukutani yenye picha za Notorious B.I.G , Lil Bow Wow,JLo nk...
 
Bado kipo......Rebecca Muresi anakitangaza karibia kila siku, leo alikwa wambura mtani. huwa najiuliza kama wale walioko jikoni malipo hakuna, je hawa waandishi wanaoutuma taarifa kutoka mikoani inakuwaje
Itakuwa wanalipwa otherwise habari zao wangetuma kwa vyombo vingine.
 
Halafu RFA kwa sasa ana studios 2.
Dar nako ana studio ambayo inarusha matangazo kwa baadhi ya vipindi.
Inasikitisha sana, mimi bado nasikiliza watanzania tuongee magazeti, nayo mara matangazo yakatike, yaani ni shida, radio ilikuwa ya mfano hii jamani kwa vipindi vyake vya kueleimisha
 
Ukiitumikia ccm lazima utakuja lia tuu!!!maanna ni dhulma juu ya haki za watanzania
Aulizwe Manji,Shigongo,MO,Diallo,marehemu Ruge etc list ni kubwa sana
 
Inasikitisha sana... nakumbuka enzi nikiwa kachalii nilivipenda vipindi vya RFA kama vile Sindano 5 za moto by Fred Waa, Show time, Weekend Fever, Search Line, Je wajua? na Michezo.
Ukisikia Neeeeews ..sauti za watangaza news zilikuwa nzuri na makini sana...
God!
Kabisaa.
Walikuwa na kipindi cha 'uliza ujibiwe' cha Baruani Muhuza kwa sasa ni imenaki historia tu.
 
Ww mwenyewe kutumia avatar ako nkikuuliza nyie mabeberu kwa nn mlituibia maliasili zetu? Utajibuje?
Mkuu hapa nazungumzia "gender" .
Ungeliweka hata nyumba, ili mtu kama anataka kushea na wewe ana retrive profile yako.

Lakini hili la mwanaume kuweka picha ya kidosho ama mwanamke kuweka picha ya handsome boy bila kujali ni ya kizungu ama race gani hamtutendei haki!

Katika uchangiaji wengi huwa tunaangalia avatar kwanza, kama ina picha ya mwanamke ama mwanaume basi akili zinaji orient huko.

Samahani mkuu sikuwaza kejeri yoyote maana sina tabia hiyo, isipokuwa nili'komenti' kwa kufuata picha na si profile.
 
Nimekusoma mkuu, usiwe na wasi wasi.
Evrthng is oooookkkk
 
= wanabadilishana
= aliyebadili

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
wewe kibibi sjui kikongwe next time jielekeze kujenga hoja za msingi zinazoeleweka siyo muda wote kukosoa wengine utafikiri we mwenyewe hujawahi kukosea. Huo ni unazi Bibi badilika acha ujinga jenga hoja.
 
Inasikitisha sana... nakumbuka enzi nikiwa kachalii nilivipenda vipindi vya RFA kama vile Sindano 5 za moto by Fred Waa, Show time, Weekend Fever, Search Line, Je wajua? na Michezo.
Ukisikia Neeeeews ..sauti za watangaza news zilikuwa nzuri na makini sana...
God!
Kumbe umekua juzi tu
 
Matiti ya aina hiyo tunayaita mtoto nyoko.Yaani akiwa na mtoto halafu anajisikia kunyonya analivuta na kulirushia nyuma.

Mama anaendelea na kazi huku mtoto akiendelea kunyonya.

Mkuu Dripboy upo,heshima yako?Hahahahaha.

Nipo Kititimo naelekea Serengeti baa,njoo upate ka-bia safari kamoja baridiii!!!
Ana matiti makubwa kama ya maserati mcheza porno yule akimpiga nayo mtoto haamki mazima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom