StarTV wakati wa kampeni kuelekea October 2015 walikuwa wanajaza screen yooote ya tv na watu wa kijani waliokuwa wanapiga push ups. tena walikuwa wanarudiarudia sana hadi kichefuchefu.Kinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzuni kwa kweli, watangazaji wanabadilishana kutwa hao hao.
Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadiri station au kuingia hewani, ni ule mlio wa DW radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu.
Hata jamaa yangu aliye Arusha ananipigia akisema hiki.
RIP RFA.
Kuna :-Watangazaji wamebaki
1. Wambura Mtani
2. Felista Kulujirwa
3. Faustine Staphano
4.
5.
Yaani sijui wapo watano tu.
Aaaah! Nimeikosa hiyo ofa kudadadeki hizi kazi tunazofanya za kifala sanaMatiti ya aina hiyo tunayaita mtoto nyoko.Yaani akiwa na mtoto halafu anajisikia kunyonya analivuta na kulirushia nyuma.
Mama anaendelea na kazi huku mtoto akiendelea kunyonya.
Mkuu Dripboy upo,heshima yako?Hahahahaha.
Nipo Kititimo naelekea Serengeti baa,njoo upate ka-bia safari kamoja baridiii!!!
HaaaaahaaaaaMAMAAA KUMBE ULIKUWA HAUJUI HII NDIO RFA BANA KILA KITU UNAKIPATA HAPA UTAKE USITAKE UTAJIJU
In kile kitoto Voice[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Enzi za R.F.A
Mtangazaji: unaitwa nani
Mwili obare:naitwa Mwili obare kutoka musoma Mara
Mtangazaji: mwili obare
Naaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaammm
Yani jamaa alitika mpaka radio Betri zikaisha.
Daad aisee Wapi Glory Robinson mtoto wa mama sabuni! Huyu mtoto alikuwa na sauti tamu balaa, Hii redio Mungu ahirehemu! Daah Search line...Inasikitisha sana... nakumbuka enzi nikiwa kachalii nilivipenda vipindi vya RFA kama vile Sindano 5 za moto by Fred Waa, Show time, Weekend Fever, Search Line, Je wajua? na Michezo.
Ukisikia Neeeeews ..sauti za watangaza news zilikuwa nzuri na makini sana...
God!
Kinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzuni kwa kweli, watangazaji wanabadilishana kutwa hao hao.
Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadiri station au kuingia hewani, ni ule mlio wa DW radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu.
Hata jamaa yangu aliye Arusha ananipigia akisema hiki.
RIP RFA.
Kinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzuni kwa kweli, watangazaji wanabadilishana kutwa hao hao.
Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadiri station au kuingia hewani, ni ule mlio wa DW radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu.
Hata jamaa yangu aliye Arusha ananipigia akisema hiki.
RIP RFA.
= wanabadilishana
= aliyebadili
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hahahahahaha Mkuu,moneo mwanyokwe kwa kukosa nafasi.Siku nyingine basi ukiwa off,salamu zao huko,nipo Kirima baa sasa.Aaaah! Nimeikosa hiyo ofa kudadadeki hizi kazi tunazofanya za kifala sana
Hivi fred waa sikuhizi yupo wapi? Namkubali sana yule jamaa
Pia kuna kile kipindi cha sitasahau cha fredrick bundala(sky walker)
😂😂 hiyo kirima local sana mkuu si ipo maeneo ya TRA, mazingira kama ya Regency kule ndo yalikuwa mazingira yangu.Hahahahahaha Mkuu,moneo mwanyokwe kwa kukosa nafasi.Siku nyingine basi ukiwa off,salamu zao huko,nipo Kirima baa sasa.
Mwanamme unaejiita "love Nuru", mwenyewe una hamu ya kutiwa mimba.
Hao watakufa nayo4. Michael Noel
5. Alicia Evance
RFA ilikuwa kubwa haswaa...Kiss FM ilikuwa na watangazaji wa kutoka nchi za nje pia...RFA ilikuwa bonge la Brand ndugu yangu.
Ukija KISS FM huku ni Kibepari tu wanabonga.
Leo RFA ya kuwa na watangazaji watano???!!!!
26
Haha...aisee...uko vizuri kwenye ukadiriaji. Ni almost hapo mkuu...