Bado kipo......Rebecca Muresi anakitangaza karibia kila siku, leo alikwa wambura mtani. huwa najiuliza kama wale walioko jikoni malipo hakuna, je hawa waandishi wanaoutuma taarifa kutoka mikoani inakuwajeMimi nilikuwa napenda kipindi cha matukio.
Hana mtaji. Hata You tube Channel za media yake sijui kama anazo. Binafsi nina miaka sijasikiliza radio,labda kwenye gari tu sometimes.Huyu bwana sema kawa rigid. Hatak ku adopt new techniques to cope with the current situation. Sijua anakwama wapi huyu mzee
Yes nakumbuka 1999 hicho kipindi cha udondozi wa magazeti walikuwa wanakiwasilisha Hamisi Dambaya na Egbert Mkoko redio mkoa tulikuwa utaipata kwa AM(Amplitude Modulation)...wakati huo nawasilikiliza kwenye karedio kangu ka Rising kwenye geto lililobandikwa magazeti ukutani yenye picha za Notorious B.I.G , Lil Bow Wow,JLo nk...
Itakuwa wanalipwa otherwise habari zao wangetuma kwa vyombo vingine.Bado kipo......Rebecca Muresi anakitangaza karibia kila siku, leo alikwa wambura mtani. huwa najiuliza kama wale walioko jikoni malipo hakuna, je hawa waandishi wanaoutuma taarifa kutoka mikoani inakuwaje
Hayo ni mawimbi tu ila hayawezi kuzamisha chombo. Bahari itatulia itarud kweny hali yake.
Ofcoz i love it, i like it
Mimi nilikuwa napenda kipindi cha matukio.
Inasikitisha sana, mimi bado nasikiliza watanzania tuongee magazeti, nayo mara matangazo yakatike, yaani ni shida, radio ilikuwa ya mfano hii jamani kwa vipindi vyake vya kueleimisha
Hana mtaji. Hata You tube Channel za media yake sijui kama anazo. Binafsi nina miaka sijasikiliza radio,labda kwenye gari tu sometimes.
Kabisaa.Inasikitisha sana... nakumbuka enzi nikiwa kachalii nilivipenda vipindi vya RFA kama vile Sindano 5 za moto by Fred Waa, Show time, Weekend Fever, Search Line, Je wajua? na Michezo.
Ukisikia Neeeeews ..sauti za watangaza news zilikuwa nzuri na makini sana...
God!
Fred Waa yupo Clouds MediaHivi fred waa sikuhizi yupo wapi? Namkubali sana yule jamaa
Pia kuna kile kipindi cha sitasahau cha fredrick bundala(sky walker)
Mkuu hapa nazungumzia "gender" .[emoji846][emoji846][emoji846]
Ww mwenyewe kutumia avatar ako nkikuuliza nyie mabeberu kwa nn mlituibia maliasili zetu? Utajibuje?
Yeah,nyumbani husikilizi pia ? Maana mie nyumbani sijawasha radio nina miaka.Huwa naskilizia kwenye daladala sometimes
Mkuu hapa nazungumzia "gender" .
Ungeliweka hata nyumba, ili mtu kama anataka kushea na wewe ana retrive profile yako.
Lakini hili la mwanaume kuweka picha ya kidosho ama mwanamke kuweka picha ya handsome boy bila kujali ni ya kizungu ama race gani hamtutendei haki!
Katika uchangiaji wengi huwa tunaangalia avatar kwanza, kama ina picha ya mwanamke ama mwanaume basi akili zinaji orient huko.
Samahani mkuu sikuwaza kejeri yoyote maana sina tabia hiyo, isipokuwa nili'komenti' kwa kufuata picha na si profile.
walishatoa transimiter zao mkuu Morogoro na pwani kiujumlaMkuu mbona hao jamaa hawapatikani baadhi ya maeneo ya mikoa ya pwani?
Yeah,nyumbani husikilizi pia ? Maana mie nyumbani sijawasha radio nina miaka.
walishatoa transimiter zao mkuu Morogoro na pwani kiujumla
wewe kibibi sjui kikongwe next time jielekeze kujenga hoja za msingi zinazoeleweka siyo muda wote kukosoa wengine utafikiri we mwenyewe hujawahi kukosea. Huo ni unazi Bibi badilika acha ujinga jenga hoja.= wanabadilishana
= aliyebadili
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kumbe umekua juzi tuInasikitisha sana... nakumbuka enzi nikiwa kachalii nilivipenda vipindi vya RFA kama vile Sindano 5 za moto by Fred Waa, Show time, Weekend Fever, Search Line, Je wajua? na Michezo.
Ukisikia Neeeeews ..sauti za watangaza news zilikuwa nzuri na makini sana...
God!
Ana matiti makubwa kama ya maserati mcheza porno yule akimpiga nayo mtoto haamki mazima