Maskini akipata makalio hulia mbwata!!!!!!!!!!!

We jibu, wakati unasutwa mie nitakuwa nimetimua mbio za swala

mmh! mie mwali hata kusuta siwez kwanzamdomo wa kichaga huu nitawezea wapi kujibu??
Leo ndo nimeamini kwamba jf kuna watu wana maneno. yaani watu wanafunguka kama mashine!!
 
mtaniwezea wapi mie, nilitoka kwenda kufunga makabarasha nije nikinukishe hapa na nyie mnaojidai mnayaweza sana.

kupambana na visiki, sasa mie hiki cha mpingo unakuja na panga ilihali mwenye shoka kakishindwa.

masikini akipata hujamba-jamba na kuchafua hali ya hewa.
sasa na wewe unataka ukinukishe(ki nini hicho?), si tutakuwa na harufu mchanganyiko hapa JF? acha bana. lara 1 bana, I m sorry I mean nsee a muro, mbula!!!
 
Bibie japo mie mchaga maneno sina lkn nataka nikupe japo machache.

Ungekuwa wa maana wewe ungemilikiwa na huyo THE BOSS, so far huyu mwenye hadhi ya maji ya deki kakuzidi wewe mwenye hadhi maji ya Dawasco. Huna haya wewe wala hujui vibaya. uso umekuparama kama jua la kiama.
unajidai kekiiii kumbe we andazi tu tena lisokandwa na mafuta. unapiga keleleeeeeeeeeeee mwenzio kaulalia saa hizi.

ningekuwa mie ngeshajua kwamba aso sitara hasitiriki na ningeishia kusema mwenye nguvu mpishe. manake itakuwa ajabu wewe nazi kavu kuvunja jiwe.
 
Yaani mpk hapo umeshashindwa , ndiyo maana umekuja kupigia kelele humu jamvini, ungekuwa kweli wewe ni mwanamke mahiri ungemwita na kumwambia live, kwa sababu unamwogopa ndiyo maana unabaki kuweyaweya.
Pia hayo mambo ya kutishiana kuwa wewe matumbi sijui nani yalishapitwa na wakati. kama kweli wewe ulikuwa mzuri boss angevutiwa na wewe, lakini kwa kuwa hukuwa na vigezo vya kumvutia ndiyo maana kamchukua huyo, Na kamwe siku zote wakuja ndiyo analeta maendeleo sehemu, wewe huoni wenye mji wa Dar walivyouza viwanja kwa wakuja na tukabadilisha mji? kuwa mjasiri wa kuweza kumfuata mtu na kumweleza kanayokukwaza, itakusaidia.
Nimekupenda wewe!
 
Bibie japo mie mchaga maneno sina lkn nataka nikupe japo machache.

Ungekuwa wa maana wewe ungemilikiwa na huyo THE BOSS, so far huyu mwenye hadhi ya maji ya deki kakuzidi wewe mwenye hadhi maji ya Dawasco. Huna haya wewe wala hujui vibaya. uso umekuparama kama jua la kiama.
unajidai kekiiii kumbe we andazi tu tena lisokandwa na mafuta. unapiga keleleeeeeeeeeeee mwenzio kaulalia saa hizi.

ningekuwa mie ngeshajua kwamba aso sitara hasitiriki na ningeishia kusema mwenye nguvu mpishe. manake itakuwa ajabu wewe nazi kavu kuvunja jiwe.

Taratibu we mrembo! Masharti na vigezo vizingatiwe!
 
Mlikuwepo kwa ofisi akaja mkampokea akatembea na boss mpaka anazaa nae leo mmepata hasira mnataka kumpeperusha boss sasa mda wote huo simngeharibu ebu acheni hizo kama amewakera mwiteni mumuonye maana ni kweli kuna watu wengine wanakera sana nawashauri hivyo pole sana kwa kupambana na mtu aso fadhila
 
Una pacha wako hapa jf, kuna mrembo unafanana nae sana mwandiko....
 
Weee ulie tu ucheke una mbavuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!

Leo nataka nije na mchambo kwako wewe bi dada, shosti la mujini uliyekuja upofu wa kijijini tukakufunza viunga vya mjini.

Tunajua kabisa wewe unatoka na BOSS!! Tumekuchunia manake hapa mjini ya nini kumbania mtu riziki yake.
Tuliotangulia mjini twajua kabisa ya kwamba riziki mafungu 7 ukikosa bara huwez kosa na pwani, na ukikosa wa kutoezea basi hutokosa wa kurumangia. Siye tukakupa mbinu zote za angani na majini, ili umweke sawa BOSS wala hatukuwa na hiyana ya kukuharibia pishi lako, lakini mwenzetu wewe umetutoka kama mti uliopururwa majani.

Hatukuwa na nongwa ulipobebeshwa mimba na Boss. Tulikufariji ulipokata tamaa na kutulilia kwamba unahisi kitumbua kitangia mchanga. tulilia na wewe na kukusaidia hadi ulipojifungua kwa siza.

Sasa hivi tunakushangaa shostito unavyotupandishia vioo, umekuwa mringi, unanata unajiona wewe ndo wewe hapa mjini kumbe si loote si chochote wewe sawa na maji ya deki, hadhi yake kumwagwa uwani. Siku hizi umembadilisha hadi boss uwajibikaji wake, yaani kazini huji ingawa umemaliza martenity leave, kila siku Boss anaturundikia kazi zako kana kwamba salary tunagawana kisa wewe wenzio hata ruhusa hatupewi tunaambiwa kazi ni nyingi.

Kila siku unakisingizo mara ooh!!!!!!!!!!! leo mshono unauma, mara oooh! mshono haujapona vizuri,.................. mara ooh!................... mshono haujafunga wewe mtu mmoja mwali tumechoka.................mshono huo mshono gani nakuuuliza WA DERA AMA WA SOLO?????........................na hicho kibwana chako ndo usipime kinatutumikishaaaaaaaaaa kisa eti unalea unalea kwani wewe wa kwanza kulea????............... oooh! ...............umezaaa............ umezaa almasi wewe.

Mbaya zaid tabia yako ya kusema eti nkhune............ nkhune........... namilikiwa na wakubwa, mkubwa kitu gani kazaa tembo ama nyumba??? unatuona sisi sote mafala kisa kibwana chako hiki na sasa tunakupa kubwa labda wenine hatukutoka umatumbini,,,,,,,,,,,,,lazima mwaka huu ukalie mgongo badala ya ------. Tena uwe makini na kibwana chako tunakipeperusha ofisi lazima kaikimbie mwanga mkubwa wewe............safari hatupewi kisa wewe, pesa zetu za overtime unakula wewe sasa utajua kwanini samaki japo anapenda maji hakai kwenye maji ya moto. Umelikoroga bibie lazima utalinywa, na utaula wa chuya kwa uvivu wa kutwanga.

Habari ndiyo hiyo.

mfate huko huko ofisini kwenu umuambie,otherwise ni kelele tu hapa jukwaani na hatuwezi kukusaidia kwa lolote cuz ujumbe haujafika,au labda unataka kumfikishia ujumbe boss wa humu humu jukwaani.
 
Last edited by a moderator:

ehehehhehhehehh UTAJIBEBA MWAKA HUU!
MIZUNGU MLONIPA MIE MNEGTUMIA NYIE MZAE NAE NYIE!MNGEKUWA MAJIYA CHUPA MNGENYWEWA WARSHANI!
maji ya deki nawasumbua kichwa kutwa kucha hamlali mwaniota!
umatumbini mlikotoka mngekuwa na mana bwana mngemweka ndani nyie!

mshono wangu wa solo wa dera lakini ngomani naingia mie!
ya juu siyatumiii vya chini nimeviacha bwananampa vya kati!
halooooo na bado mwaka huu!
mjipange hasa na ngazi yangu hamuipandi!
MLISHINDWA ADHUHURI MTWAIWEZA INSHAA!?/
waaaapi?

EHEHHEHHEHEHHE NA NTARUDI NA MIMBA YA MAPACHA NDO NIPEWE BED REST MWAKA MZIMA!mtajutraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Ha ha haaa umetisha mamieee......hapa moto umeuwasha imebidi nicheke sana... amu niko huku naendelea kula nondo mwezio.
 
Last edited by a moderator:
Ndo keshapendwa sasa, na ndo anahudumiwa tena....na ndo yashamnyykea vilee....na boss ndo keshafika hivyo...... We tuliza boli angalia ustaarabu mwingine, ya ulimwengu haya ukiyataka yote utayaweza?

Usitake tutembelea nyota ya mwenzio, na bahati yakee usiilalie mlango wazi, liye pewa kapewe...na km unekuwa fungu la kukosaaa...kubalimatokeo yesheee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom