Maskini akipata makalio hulia mbwata!!!!!!!!!!!

Maskini akipata makalio hulia mbwata!!!!!!!!!!!

ana niiini bibi!
aliishindwa kuula ukiwa mbichi atauweza ukikauka?

mtaniwezea wapi mie, nilitoka kwenda kufunga makabarasha nije nikinukishe hapa na nyie mnaojidai mnayaweza sana.

kupambana na visiki, sasa mie hiki cha mpingo unakuja na panga ilihali mwenye shoka kakishindwa.
 
hahahahahahaahaaaaaaaaaaaaaaa!!!!! hapo umenimaliza, maana nimecheka kwa nguvu ile mbaya Duh! na alichotegemea kupewa support akakuta amegeukwa , Loh!! mpk kaona jukwaa chungu kaamua kusepa.

Nahisi "alinyang'anywa" akaona aje JF ili alianzishe huku akitegemea kupewa "support"....
haya mambo karibu ofisi zoooote yapo hata kama "bosi" ni kikongwe. Huyu "mlalamikaji" kaja kiwivu-wivu.....

 
mwandishi ni lara 1
acheni wivu
mwenzenu kapata wewe unaleta mbwembwe huku
lwako kwanini haukumchukua wewe huyo mkuu wenu wa kazi.

Hahahaaaaaaaaaaa! Mie nina ALEJI na viumbe wanaitwa mabosi! Mie pia leo mtazamaji!

Natamani nicheke ila nishaambiwa NICHEKE NINA MBAVUUUUUUUUU? Inahuuuuuuu?
 
Heheheyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!! hilo analo na limemganda kisokolokwinyo aliyekosa wa kumpa habari, analolitaka haliwi, halo haloooooooooo!!! akaoge na maji ya magadi achanganye na ya bahari kuondoa nuksi alizonazo.

aaah wappyyy!!!
kisokolokwinyo atakuwa huyo mshenzi mwenzenu aso kuwa na kimo wala sura. na alivyo kuwa mbaya basi kanyimwa kila kitu.
sina haja ya kuogea maji ya bahari kama kuzamishwa nsha zamishwa sana wala sipangi folen ya uroda kama yeye. akisubiria mb000 za kuvizia.
 
Bi mkubwa hapa kunani leo mbona kama ni mwendo wa kuporomosha vitenzi vikurupushi???

mtaniwezea wapi mie, nilitoka kwenda kufunga makabarasha nije nikinukishe hapa na nyie mnaojidai mnayaweza sana.

kupambana na visiki, sasa mie hiki cha mpingo unakuja na panga ilihali mwenye shoka kakishindwa.
 
Nahisi "alinyang'anywa" akaona aje JF ili alianzishe huku akitegemea kupewa "support"....
haya mambo karibu ofisi zoooote yapo hata kama "bosi" ni kikongwe. Huyu "mlalamikaji" kaja kiwivu-wivu.....

nshakwambia mie sipangi folen ya uroda kama huyu laana khum!
mwana mtoka pabaya, aso kuwa na woga kwenye uzima wala umauti!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hahahaaaa....leo siye wa Kitanga inabidi tutulize ball...tuwaachie watimua vumbi wasovaa viatu waumize nyasi

Hahahaaaaaaaaaaa! Mie nina ALEJI na viumbe wanaitwa mabosi! Mie pia leo mtazamaji!

Natamani nicheke ila nishaambiwa NICHEKE NINA MBAVUUUUUUUUU? Inahuuuuuuu?
 
nshakwambia mie sipangi folen ya uroda kama huyu laana khum!
mwana mtoka pabaya, aso kuwa na woga kwenye uzima wala umauti!!!!!!!!!!!!!!!

Halafu inawezekana huyo laana khum, siyo member humu vipi akipewa salaam aingie japo kama "mgeni" ili aone ulivyomnanga???
 
aaah wappyyy!!!
kisokolokwinyo atakuwa huyo mshenzi mwenzenu aso kuwa na kimo wala sura. na alivyo kuwa mbaya basi kanyimwa kila kitu.
sina haja ya kuogea maji ya bahari kama kuzamishwa nsha zamishwa sana wala sipangi folen ya uroda kama yeye. akisubiria mb000 za kuvizia.

Ila boss kampata!!!!!!!!!!!!! ,shosti kubali tu umezidiwa kete!
 
ehehehhehhehehh UTAJIBEBA MWAKA HUU!
MIZUNGU MLONIPA MIE MNEGTUMIA NYIE MZAE NAE NYIE!MNGEKUWA MAJIYA CHUPA MNGENYWEWA WARSHANI!
maji ya deki nawasumbua kichwa kutwa kucha hamlali mwaniota!
umatumbini mlikotoka mngekuwa na mana bwana mngemweka ndani nyie!

mshono wangu wa solo wa dera lakini ngomani naingia mie!
ya juu siyatumiii vya chini nimeviacha bwananampa vya kati!
halooooo na bado mwaka huu!
mjipange hasa na ngazi yangu hamuipandi!
MLISHINDWA ADHUHURI MTWAIWEZA INSHAA!?/
waaaapi?

EHEHHEHHEHEHHE NA NTARUDI NA MIMBA YA MAPACHA NDO NIPEWE BED REST MWAKA MZIMA!mtajutraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

hahahhaahhaha!!!
tusingekufundisha sie si ungevunda weye.

hukujui utokako wala uendako, ulikoamkia siko na hata ulalapo siko vile vile.
WA MBILI HAVAI MOJA kwa taarifa yako. na kama tulikuanzishia basi tunalimaliza.
 
Ila boss kampata!!!!!!!!!!!!! ,shosti kubali tu umezidiwa kete!

mwali asili yangu huwa kidali silali nacho.
kama tulimwanzishia basi tunalimaliza. asitukondeshe mjalaana huyu.
kama fusho basi sasa kaliogea safi.
 
Hizi ni kelele za Jogoo,..kufungua mlango huwezi.....najua mwenzio amekunyang'anya tonge mdomoni.,..ila nisingeweza kuwa na mtu kama wewe kwanza hauna siri,una tabia ngumu , halafu mswahili mno....kila mtu mji huu angejua kinachoendelea,...i just did it for good...sasa mwache mwenzio ajifaidie,nawe tafuta bosi mwingine,kwani sipo peke yangu
 
mwenzangu ngoja aje hapa atunange mpka tukome!
ahahhahahhahahhha leo sijui tumeamkia upande upi! gfsonwin huyo ndo kaniita!
mwali mie niliona hapa patanifanya nionyeshe ile sura yangu ya pili ambayo sipendagi jamani kuionyesha uwiiiiiiiiiii
ngoja kwanza manake si wajua mdomo nyumba ya maneno mwali wangu??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom