Maskini akipata makalio hulia mbwata!!!!!!!!!!!

Heeeeeeiiiiiiyaaaaaaaa kwasababu umenileta huku JF bwana boss simwachi, na ndo kwanza mtaishia kukalia viti vya ofisi 1/30, hakuna cha seminar, mtakuwa kama mawe hapo ofisini........na ndo kwaaaaanza ofisini siji hadi mwezi december mkome vizuri na mikazi.
 
Angekuwa na thamani ya maji ya deki kweli wala usingekuwa na haja ya kuandika hata nukta seuze waraka mzima

Kutumia maneno ya udhalilishaji ni katika kujifariji.

Pole
Santeee!!!!!!!!!!!!
Niliumia zamani sasa na mimi nimeamua LIWALO NA LIWE""!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
amemwaga ungali na mimi namwaga mboga kwani nini bwana mjini sikuja kama yeye, mjini nimeasilika
Hawez kunitia najisi kwa hashuo la pedi.
 
Nimebaki kucheka tuuuuuuuuuuuuu.............
Ila kiukweli kuna mijanajike inajiona utadhani wanatawazia noti.
Ukimuangalia kuanzia juu mpaka chini majangaaaaaaaaaaaaaaaa..........
Waleleeeeeeeeeeeeeeeee................. waambie wasikileeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Ye kaja mjini na Mbio za Mwenge wakati sie ni Born here here!!!!!!!!
Beach zote tumeogelea....Madimbwi yote tumezamia.....Kumbi za Disco zote tumemaliza.....Wanaume wote wametulala
Na bado twadunda tuuuuuuuuuu......
Heheheeeeeeeeeeeee........

Akisafiri mwarabu, aenda Dubai...... nikisafiri mie mzaramo naenda ngomani.
Jamani msinisute
 
Yaani mpk hapo umeshashindwa , ndiyo maana umekuja kupigia kelele humu jamvini, ungekuwa kweli wewe ni mwanamke mahiri ungemwita na kumwambia live, kwa sababu unamwogopa ndiyo maana unabaki kuweyaweya.
Pia hayo mambo ya kutishiana kuwa wewe matumbi sijui nani yalishapitwa na wakati. kama kweli wewe ulikuwa mzuri boss angevutiwa na wewe, lakini kwa kuwa hukuwa na vigezo vya kumvutia ndiyo maana kamchukua huyo, Na kamwe siku zote wakuja ndiyo analeta maendeleo sehemu, wewe huoni wenye mji wa Dar walivyouza viwanja kwa wakuja na tukabadilisha mji? kuwa mjasiri wa kuweza kumfuata mtu na kumweleza kanayokukwaza, itakusaidia.

Amesahau la mjini ni lile sanamu la posta pekee?lile ndo kutwa kuchwa liko mjini, wengine wote wakuja tu
 
Heeeeeeiiiiiiyaaaaaaaa kwasababu umenileta huku JF bwana boss simwachi, na ndo kwanza mtaishia kukalia viti vya ofisi 1/30, hakuna cha seminar, mtakuwa kama mawe hapo ofisini........na ndo kwaaaaanza ofisini siji hadi mwezi december mkome vizuri na mikazi.

siye ama wengine??
FYI huyu kijibwana chako tunakipeperusha hicho na kukuonyesha kwamba sisi nani mapinduzi lazima na utajua tu.
ndipo utakapo jua mdundiko hauchezwi na viatu.
 
Nyakanga wangu Lisa na Shostito wa ukwenh'e Mrembo by Nature mi nawaangalia tu.
 
Last edited by a moderator:
Santeee!!!!!!!!!!!!
Niliumia zamani sasa na mimi nimeamua LIWALO NA LIWE""!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
amemwaga ungali na mimi namwaga mboga kwani nini bwana mjini sikuja kama yeye, mjini nimeasilika
Hawez kunitia najisi kwa hashuo la pedi.

Na unaonekana kulazimisha uonekane wa mjini.

Wamjini kweli hawasemi wala kujitapa mbele za watu kwa kuwa wana maadili tosha ya kujielewa na kuwaelewa wengine

Na wamjini kweli halazimishi kutumia maneno ndivyo sivyo ili tu aonekane Mswahili sana [rejea @ hashuo ]

Wewe unaonekana ni wakuja limbukeni kuliko huyo hasimu wako
 
Amesahau la mjini ni lile sanamu la posta pekee?lile ndo kutwa kuchwa liko mjini, wengine wote wakuja tu
kaulize vizuri mtaa wa msimbazi ilipo klabu ya simba nyumba ile aliish nani kabla ya kuiuzia klabu utaambiwa. mie sikuja mjini nimezaliwa mjini.
 
Nimebaki kucheka tuuuuuuuuuuuuu.............
Ila kiukweli kuna mijanajike inajiona utadhani wanatawazia noti.
Ukimuangalia kuanzia juu mpaka chini majangaaaaaaaaaaaaaaaa..........
Waleleeeeeeeeeeeeeeeee................. waambie wasikileeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Ye kaja mjini na Mbio za Mwenge wakati sie ni Born here here!!!!!!!!
Beach zote tumeogelea....Madimbwi yote tumezamia.....Kumbi za Disco zote tumemaliza.....Wanaume wote wametulala
Na bado twadunda tuuuuuuuuuu......
Heheheeeeeeeeeeeee........

Akisafiri mwarabu, aenda Dubai...... nikisafiri mie mzaramo naenda ngomani.
Jamani msinisute

mwali umenena, kuna watu waringi sana, eti kisa unatoka na boss basi wenzie wote unajiona wa mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kumbe tukikukadiria hata km huna wewe.
 
siye ama wengine??
FYI huyu kijibwana chako tunakipeperusha hicho na kukuonyesha kwamba sisi nani mapinduzi lazima na utajua tu.
ndipo utakapo jua mdundiko hauchezwi na viatu.

Hahahahahahahahahahahahahaha leo kumekucha, alafu boss analalamika siku hizi mnachelewa kufika kazini......mjitahidi muwe mnawahi kwani kazi ninyingi eehh
 
Na unaonekana kulazimisha uonekane wa mjini.

Wamjini kweli hawasemi wala kujitapa mbele za watu kwa kuwa wana maadili tosha ya kujielewa na kuwaelewa wengine

Na wamjini kweli halazimishi kutumia maneno ndivyo sivyo ili tu aonekane Mswahili sana [rejea @ hashuo ]

Wewe unaonekana ni wakuja limbukeni kuliko huyo hasimu wako

mie sio nionekane mswahili,
mie ni mswahili kweli kweli.............na hapa natafuta stimu tu, kitaeleweka baadae.
wewe kama huna kazi ya kufanya imba.............
 
Hahahahahahahahahahahahahaha leo kumekucha, alafu boss analalamika siku hizi mnachelewa kufika kazini......mjitahidi muwe mnawahi kwani kazi ninyingi eehh

hapa nimekuja kupunguza upepo tu picha kamili linakuja. umesahau kwamba hata mbuyu ulianza kama mchicha!!!!
 
Mimi hapa nachochea tu uongee yote ili walau upunguze ya moyoni, ila bidada hafanyi sawa.....amejigeuza boss na yeye bwana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom