Maskini akipata makalio hulia mbwata!!!!!!!!!!!

Maskini akipata makalio hulia mbwata!!!!!!!!!!!

Wapenzi wa Taarabu/Mipasho leo tunapata unrecorded and converted to music.
 
ehehehhehhehehh UTAJIBEBA MWAKA HUU!
MIZUNGU MLONIPA MIE MNEGTUMIA NYIE MZAE NAE NYIE!MNGEKUWA MAJIYA CHUPA MNGENYWEWA WARSHANI!
maji ya deki nawasumbua kichwa kutwa kucha hamlali mwaniota!
umatumbini mlikotoka mngekuwa na mana bwana mngemweka ndani nyie!

mshono wangu wa solo wa dera lakini ngomani naingia mie!
ya juu siyatumiii vya chini nimeviacha bwananampa vya kati!
halooooo na bado mwaka huu!
mjipange hasa na ngazi yangu hamuipandi!
MLISHINDWA ADHUHURI MTWAIWEZA INSHAA!?/
waaaapi?

EHEHHEHHEHEHHE NA NTARUDI NA MIMBA YA MAPACHA NDO NIPEWE BED REST MWAKA MZIMA!mtajutraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Nyakanga wangu Lisa na Shostito wa ukwenh'e Mrembo by Nature mi nawaangalia tu.

Unajua Madame B, mambo ya kutishiana siku hizi yameshapitwa na wakati, siku hizi watu wanatishiana na vyeti, una CISA, SISCO, MASTERS 2, PHD 3, hayo ndiyo mambo lakini mambo ya giza yalishaisha, na asijidangaje kujua mbele wenzake wanajua nyuma, haiwezekani uwe wewe tu unayeyajua hayo. Tena anaweza akaenda kuyafanya ili amvurugie mwenzie ndipo atakapobaki anashangaa mapenzi yananonga kuliko mwanzo. Hahahahahaahahahaha! CHEZEA BAHATI YA MTU WEWE!!!!
 
Nimebaki kucheka tuuuuuuuuuuuuu.............
Ila kiukweli kuna mijanajike inajiona utadhani wanatawazia noti.
Ukimuangalia kuanzia juu mpaka chini majangaaaaaaaaaaaaaaaa..........
Waleleeeeeeeeeeeeeeeee................. waambie wasikileeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Ye kaja mjini na Mbio za Mwenge wakati sie ni Born here here!!!!!!!!
Beach zote tumeogelea....Madimbwi yote tumezamia.....Kumbi za Disco zote tumemaliza.....Wanaume wote wametulala
Na bado twadunda tuuuuuuuuuu......
Heheheeeeeeeeeeeee........

Akisafiri mwarabu, aenda Dubai...... nikisafiri mie mzaramo naenda ngomani.
Jamani msinisute
Wanawake tupendane kwani mtu akija mjini leo tatizo ni nini?
 
mie sio nionekane mswahili,
mie ni mswahili kweli kweli.............na hapa natafuta stimu tu, kitaeleweka baadae.
wewe kama huna kazi ya kufanya imba.............

Sio niimbe, nakuimbisha na unaimba

Waswahili wamesema chema chajiuza hawakusema cha mjini cha jiuza

Chako kibaya hata kama unakipaka shombo la "umjini".
 
na bad'ooooooooooo!
HIYO MBONA TRELAAAA!
ujing wa fenesi kuning'inia mtini wa kwako bibi! mie nna werevu wa dafu bibi nje mgumuu ndani laini!
 
Sio niimbe, nakuimbisha na unaimba

Waswahili wamesema chema chajiuza hawakusema cha mjini cha jiuza

Chako kibaya hata kama unakipaka shombo la "umjini".
AIMBE ANA SAUTI!aitoooooe waaaapi!
 
watu mna kazi sana!i see!kha!
sasa wewe kuzaa azae mwenzio wewe watokwa povu!
kwani huyo boss mnashare au ulikuwa unamtaka wewe?
(hapa sasa ni snowhite kule juu nimejaribu kubeba uhusika wa LADY BOSS!)mwe mabinti mna kazi sana i see!
 
  • Thanks
Reactions: ghd
Kama wapenda Taarab sikiliza Pwani FM kila J'tatu hadi Ijumaa na wako prizenta Fathiya Omar aka Mtoto shoo rangi ya jogoo

Sina redio mkuu ndio maana nategea sikio hili la maneno live la bibie nsee a muro, halafu sijui limeisha au ndio album ya kwanza.
 
watu mna kazi sana!i see!kha!
sasa wewe kuzaa azae mwenzio wewe watokwa povu!
kwani huyo boss mnashare au ulikuwa unamtaka wewe?
(hapa sasa ni snowhite kule juu nimejaribu kubeba uhusika wa LADY BOSS!)mwe mabinti mna kazi sana i see!

Kwa povu analotokwa huyu alisogezwa pembeni na hot hot la mujini, anamezea mate.
 
na bad'ooooooooooo!
HIYO MBONA TRELAAAA!
ujing wa fenesi kuning'inia mtini wa kwako bibi! mie nna werevu wa dafu bibi nje mgumuu ndani laini!
Looooooooooooh!!!!! Kumbe siyo mwepesi, bold unatisha.
 
Hapa napunguza upepo tu picha kamili laja.
Embu jiulize swali kwa nini CHIKICHI haioti PWANI inaota bara tu na KIGOMA?Au kwa nini wanasema KIGOMA mwisho wa Reli na si MWANZA? basi ujue kuwa ukijifanya unajua huu wenzio wanaujua ule, so usijidai na mambo ya giza, kila mtu anakwao na wanayo makubwa zaidi ya hayo.
 
ana niiini bibi!
aliishindwa kuula ukiwa mbichi atauweza ukikauka?
 
Ukiweza ibebe ukishindwa itue bibi!

Aliye mtwisha ndiye atakaye mtua, na alipoanzia ndipo atamalizia , halo haloooooooooooo!!!!!! Anachezea Bahati ya Mtu, wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!! amepwerewa pwereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
 
amtwishe naaaani na shogake hendi nae kisimani!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom