Maskini akipata makalio hulia mbwata!!!!!!!!!!!

Maskini akipata makalio hulia mbwata!!!!!!!!!!!

ye kazaliwa jengo la simba sisi ndo SIMBA WENYEWE! Tamatheo nikija kunangwa hapa usikimbie!
Nimewakubali kwani mwenye hoja pamoja na kujitambulisha kila mara kazaliwa jengo la simba, ameshaingia mtini
 
Last edited by a moderator:
ehehehhehhehehh UTAJIBEBA MWAKA HUU!
MIZUNGU MLONIPA MIE MNEGTUMIA NYIE MZAE NAE NYIE!MNGEKUWA MAJIYA CHUPA MNGENYWEWA WARSHANI!
maji ya deki nawasumbua kichwa kutwa kucha hamlali mwaniota!
umatumbini mlikotoka mngekuwa na mana bwana mngemweka ndani nyie!

mshono wangu wa solo wa dera lakini ngomani naingia mie!
ya juu siyatumiii vya chini nimeviacha bwananampa vya kati!
halooooo na bado mwaka huu!
mjipange hasa na ngazi yangu hamuipandi!
MLISHINDWA ADHUHURI MTWAIWEZA INSHAA!?/
waaaapi?

EHEHHEHHEHEHHE NA NTARUDI NA MIMBA YA MAPACHA NDO NIPEWE BED REST MWAKA MZIMA!mtajutraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Hii ndo ile wanasema...."kuchanya kutali hasi padinde...."
 
mwandishi ni lara 1
acheni wivu
mwenzenu kapata wewe unaleta mbwembwe huku
lwako kwanini haukumchukua wewe huyo mkuu wenu wa kazi.
 
Last edited by a moderator:
muda wa kufunga ofice umefika atakuwa messenger wa ofice,sasa leo secretary hakuja yeye akamshikia,ndo akazama kwenye net

hahahahahahaahaaaaaaaaaaaaaaa!!!!! hapo umenimaliza, maana nimecheka kwa nguvu ile mbaya Duh! na alichotegemea kupewa support akakuta amegeukwa , Loh!! mpk kaona jukwaa chungu kaamua kusepa.
 
ye kazaliwa jengo la simba sisi ndo SIMBA WENYEWE! Tamatheo nikija kunangwa hapa usikimbie!
Hana lolote huyu sisterdu wivu ndio unamtoa makunyanzi, mbona maofisi yetu yana haya mambo ila sisi tunazingatia kilichotufanya tuombe hiyo kazi haya ya boss yuko na nani ni mambo binafsi unless kama ataingia nyumbani kwangu na kumduu wife hapo sasa ajinunulie sehemu mochwari ili asiharibike mapema.
 
mmmmhhh! Maneno maneno kama ndugu wa mume mwenzanko ndo anakula kiulainiiiii....utaisoma number kwenye barabara ya vumbi ha ha ha........!!!!!! JF raha kweli
 
inavyoelekea huyo Boss ni kijana,sasa mleta maada nae alitamani apate bahati ya kuolewa na Boss,maana wadada wa siku hizi wanapenda mteremko kama wa kitonga,sasa Boss nae akapata chaguo lake.bidada muro wivuu umemjaa,wakaka ma BOSS kazi mnayo maana wadada wanavyojitegesha
 
We nawe mpana ka pazia la labour,kupendwa nipendwe mie kunungunika unungunike wewe inahuu,
na bado hata nikirudi kazini nitakuwa natoka saa tano kwenda kunyonyesha mtoto wa boss ,
haloooooooooooooooo mbona unalo mwaka huu bishost ,chezea kupendwa na boss wewe,
elimu ninayo ,uzuri ninao sio kama wewe sura imekuparama kama mbuzi wa hitma,
pumbavu na nusu ,hebu nikaangalie mtoto wa boss mie mana keshaanza kulia !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom