mmh! kuna watu mna maneno kama mmemeza kanda.
yumkini wewe ni mtangazaji wa kipindi cha mipasho ama taarabu khaaa!
eti mshono wa DERA AMA SOLO??
haya ngoja nikuitie wengine wajichekee tu humu amu, @FP, snowhite, cacico, mwaJKaunga, Zion Daughter, Madame B, madame x, Paloma, lara 1 et al.
Asante mwaya, title haikuwa inviting so nilikuwa napita tu asante kwa mwaliko, maana nimejifunza si misemo tu lakini na tabia za watu and they way they react to issues zinazo matter kwao. Hahah, l wonder huyo bidada kama yupo JF.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.