Tamatheo
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,298
- 1,562
ahaaaahhahahhahaahahhahhah vipaji vingine tunafutika kabatini i see!
Nina mpango wa kuanzisha kikundi cha mambo ya Pwani, hapa nadhani kama huna sauti ya kuimba basi utakuwa mtunzi mahiri.
ahaaaahhahahhahaahahhahhah vipaji vingine tunafutika kabatini i see!
Heheheyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!! hilo analo na limemganda kisokolokwinyo aliyekosa wa kumpa habari, analolitaka haliwi, halo haloooooooooo!!! akaoge na maji ya magadi achanganye na ya bahari kuondoa nuksi alizonazo.ana niiini bibi!
aliishindwa kuula ukiwa mbichi atauweza ukikauka?
tena ayaoge na ya njia panda!ya kisosini yameganda bibi!Heheheyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!! hilo analo na limemganda kisokolokwinyo aliyekosa wa kumpa habari, analolitaka haliwi, halo haloooooooooo!!! akaoge na maji ya magadi achanganye na ya bahari kuondoa nuksi alizonazo.
Nina mpango wa kuanzisha kikundi cha mambo ya Pwani, hapa nadhani kama huna sauti ya kuimba basi utakuwa mtunzi mahiri.
Samahanini kina dada,jichukulie tu popcorn
wat
ahahahahhahahahaha we acha tu na huyu lisa anavonichokoza hapa mbn ndo leo utagundua mzee yusuph ananizid bendi tu!
Hahahahaha basi endeleeeeeeeeeeeniiiii mbona kama umepotea vile?au upepo umeisha?
ahahahhahhhha tutakufunga kanga na wewe!umefata nini huku?Samahanini kina dada,
Nilikuwa namtafuta mke wangu tulikuwa hapo mada ya jirani mara ghafla kapotea, cjui ndo kaja huku kwenye mipasho?
Na ugali kaacha unaungua huko jikoni!
si ndio hapoooooo!mi nimekuja hapa nashangaa hayupo!
ehehehheh analeta ujanna wa jua kulikimbia giza!ATAHAMA MJI HUU!
uuuuwih jamani mi simo!
Heheheyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!! hilo analo na limemganda kisokolokwinyo aliyekosa wa kumpa habari, analolitaka haliwi, halo haloooooooooo!!! akaoge na maji ya magadi achanganye na ya bahari kuondoa nuksi alizonazo.
Hahahaha watoto wa mjini hawakimbii ati, au ameona umande? si unajua mjini hakuna umande so wakiona umande wanadhani mvua
Usisahau kumuuliza snowhite kuna kundi tunalianzisha na wewe unafaa.....maana looooooooooooh!!!!!!!!!! hata mate hayapiti
Hahahahahahahaa!!! ungejua haya nniandikayo hata sijui yametokea wapi usingesema. Maana aliyeleta mada imebidi aingie Mitini jinsi tulivyomshambulia, watu siku hizi hawatishiani uchawi, wanatishiana vyeti.Usisahau kumuuliza snowhite kuna kundi tunalianzisha na wewe unafaa.....maana looooooooooooh!!!!!!!!!! hata mate hayapiti
Hahahahahahahaa!!! ungejua haya nniandikayo hata sijui yametokea wapi usingesema. Maana aliyeleta mada imebidi aingie Mitini jinsi tulivyomshambulia, watu siku hizi hawatishiani uchawi, wanatishiana vyeti.
namshanga mwili mzima!
anaanzisha ugomvi na mvuvi baharini anaogopa vumba la samaki!??
sisi ni noma!
mkole twaucheza hasa na misungo twaijua kwa maneno!
uuuwih naununua mchambo kwa hela zangu za mkopo wa riba!mwe!
muda wa kufunga ofice umefika atakuwa messenger wa ofice,sasa leo secretary hakuja yeye akamshikia,ndo akazama kwenye netHahahahaha basi endeleeeeeeeeeeeniiiii mbona kama umepotea vile?au upepo umeisha?