yaani huu ndo ushauri nilitaka kumpa jamaa, kama ulikuwa kwenye akili yangu,ongezea na hii.. Wanahisi maisha wanayo tayarimademu wa vyuo vya afya huwezi kaa naye in a relationship mkafika popote. Wana stress nyingi zinazowafanya wawe wepesi kuona kama wanazinguliwa pale anapoona humjali vile ye anataka. Labda awe amemaliza chuo. Ni rahisi sana kupitiwa na mshikaji atakayemjali kidogo akiwa na stress zake. In short ni padua kichwa. This is my 5 years experience with female medical students
Fanya kwanza hayaNilimpenda sana huyu binti ila siku isiyo na jina alinimwaga tena kwa mbwembwe. Niliumia sana! almanusura nichanganyikiwe!
Sasa jana mchana nikasema nikimbie Mlimani City kwenda kununua kitu fulani, nikamuazima mwanangu gari lake (Range rover evoque) nikamuachia la kwangu (Hyundai Coupe Sports car).
Sasa wakati napark pale Mlimani nikasikia naitwa, kugeuka nakutana uso kwa uso na huyo bibie!
At first alikua kama ametahayari alivoona nashuka kwenye ile ndinga! Nikasalimiana nae vizuri tu, tukaongozana kuingia Mlimani ndani!
Akaanza kuning'ang'ania, ooh Amicus I missed you, leo sikuachi nakwambia, nikazunguka nae mule ndani, nikawa najiuliza mbona yeye hanunui, alifwata nini M/city? halafu alikua 'restless'. Nikajua kapanic akidhani ule mkoko ni wangu, alizoea kuniona na Hyundai yangu.
Mara ooh naomba tuongozane! wakati hajui naelekea wapi!
Sikuwa mkaidi, nikatoka nae, tukazama kwenye ndinga nikampeleka lunch! akawa analisifia sana gari! wakati tunasubiri msosi akaanza kunisimulia yaliyomsibu huku anabubujikwa na machozi! hadi watu wakawa wanatushangaa! na yeye ameachika almost the same way kama alivyoniacha!
Ananisihi turudiane, sasa naogopa asije akawa ameweweseka na ile range, tukarudiana akaja kuleta wenge tena akijua kwamba ule usafiri si wangu! Uongo haufai, kiukweli me bado nampenda.
Ni kama alikua anatamani kuniuliza kuhusu lile gari ila akawa anashindwa!
Jamani hebu nishaurini mwenzenu, nahisi bado nampenda coz tangu tuachane imepita miezi 6 tu ingawa nilikua nimeshaanza kumsahau. Halafu amezidi kuwa mzuri, amekatika vibaya sana!
Ananisumbua sana kwenye simu wajameni!
Yeye yupo Chuo pale Muhimbili anasomea Udaktari.
Nina uhakika hayumo humu JF coz nilimuuliza jana akasema yeye sio big fan wa mitandao ya kijamii kwasababu mara nyingi anapiga msuli, kwa kifupi shule yake ni ngumu sana.
Jamani nishaurini, kwa wale mtakao-comment naomba muwe serious...nataka kesho asubuhi nimpe jibu.
Hapo kwenye body... MWANANGU ni RAFIKI, na si mtoto kama ulivyoitafsiri weweHivi vistory kama vya form two vile.ww una mtoto mkubwa hadi anamiliki aina ya gari ambayo haijawahi kumilikiwa na binadamu mwingine zaidi yako eti evoque bado huna mwenza.kwa umri uyo dada hadi leo ndo eti anasoma chuo cjui ni matured entry ipi lipita kujiunga na chuo.Pia gari hizo `evoque' siyo za kutisha cku izi kama unavyotaka kutuaminisha
Bei yake si lolote utujie na mbwembwe au ww unatokea ile kabila ya kanda ya ziwa?!Kwa kauli yako tu muachane na mtu muda huo mrefu simply tu unakutana nae jiji la mlimani nanakung`anga`nie eti kisa evoque na wewe unatuletea visa vya shigongo kutushirikisha ,kama ingekuwa kweli hujui huyo hafai?
Fanya kwanza haya
1. Mtafute ukiwa na kihyundai chako, halafu mwambie ile vogue uliazama.. halafu sikiliza matokeo
2. Muulize sababu ilimfanya akumwage, na anadhani ni nini kimebadirika hadi atake kukurudia
By the way....We unadhani yeye ana kitu gani tofauti na mwanzo..?? Hivi huko alikopigwa kibuti, kama mambo yangeendelea kuwa mazuri angekung'ang'ania..?? Huu ubaba huruma huu, sometimes siyoo kabisaaaa
Hahaha, wakati ukimshusha hukumuachia spare tyre ya range jamani? Mchoyo wewe!
Hapo kwenye body... MWANANGU ni RAFIKI, na si mtoto kama ulivyoitafsiri wewe
What a desperate woman...enewei rudiana nae ila jiandae kubwagwa upya baada ya kurudisha hyo range
Na hakufai kabisa huyoo... Yaani yeye badala ya kuchanganyikiwa na wewe, anachanganyikiwa na gari... Sasa kwa jinsi hawa madizaina wa magari walivyo bize na kuyatoa mapya kila mwaka, lazime atakumwaga tena, labda kama utawazuia madizaina waache mambo yaoNaona wengi mmenishauri niachane nae
Akili kumkichwa, akili ya kuambiwa changanya na ya kwako
Let me 'act' like a man...
Ila hata mimi nimeanza kuwa na hisia kwamba hanifai huyu