Masikini Manji, hii ndio Bongo!

Masikini Manji, hii ndio Bongo!

hivi nani anadanganya watu kuwa eti Manji yuko selo hadi sasa??
 
Huku mitaani hao mapunda tu bosi afiki kabisa utatolea mzigo huko huko, utampa muuzaji huko huko wakikutana na kihere here ni malipo tu. Hata kama Manji au Gwajima wangekuwa wanahusika moja moja kwa moja na madawa ya kulevya watakuwa watu wajinga sana kama physical assets zao zinatumika kwa namna moja au nyingine.

Kwenye cinema unaweza muona mtu kama al capone, Tony Montana and the likes wanapigana bastola na polisi; lakini kwenye dunia ya ukweli watashikwa watu wengi sana kabla ya kumfikia kigogo na hata pale anapotokea shahidi mmoja wa ndani mara chache sana atahusishwa moja kwa moja sana sana kesi itaishia kuwa ya utajiri wake auna maelezo na kugeuziwa some form of racketeering lakini kumkamata Manji na madawa moja kwa moja ni sawa na kutangwa maji kwenye huko ni kuwafurahisha watu kadhaa tu.
 
Binafisi nampongeza Rais Magufuli kwa haya anayo fanya toka ameingia Madalakani yuko sahihi kabisa. lazima kuwe na utofauti kati Selikali na matajili Matajili ukiwaacha wakaota mapembe nchi itayumba,hivi sasa ndio tumepata Baba wa Taifa kwa mala nyingine.Wenye Akili timamu tunajuwa anachokifanya huyu Mzee na Matunda yake titayaona Badae Asante Rais wangu.
Matajili=MATAJIRI....usituaribie lugha kwa ushabiki
 
Binafisi nampongeza Rais Magufuli kwa haya anayo fanya toka ameingia Madalakani yuko sahihi kabisa. lazima kuwe na utofauti kati Selikali na matajili Matajili ukiwaacha wakaota mapembe nchi itayumba,hivi sasa ndio tumepata Baba wa Taifa kwa mala nyingine.Wenye Akili timamu tunajuwa anachokifanya huyu Mzee na Matunda yake titayaona Badae Asante Rais wangu.
Mwambie akufundishe kwanza kuandika ndo umpongeze vizur.
 
Waende tu, tuzalisha matajiri wengine.
Wewe mwenyewe na ukoo wenu mnashindia ugali na wali, Maskini wakubwa mnakula wanga mwaka mzima eti matajiri wengine, Madhara ya kula wali na ugali mwaka mzima ndio unakuwa na mawazo hayo
 
Kenya wanamtaka ahamishie na uwekezaji wake kule...ingekuwa Mimi chapu ngetua Nairobi chyaa.
Wenzetu wameanza kusajili matajiri waliopo bongo wanaochoshwa nasystem. Mara bahresa,dewji,mengi nk.wengine wanadai watarudi after 9 years...nchi ya viwanda
Maelezo mengine hayana hata kichwa
 
Kuna dhulma tu... yeye ni mhindi ni rahisi kuchafuliwa na isiwe kitu. ..hasa kwa sasa muhimili huu unavo wanyanyapaa waislam na wapinzani...
manji ni sadaka au kafara ya uchumi mbovu na kukosa ajira...ila unga utauzwa na matajiri wapya watazaliwa
Hivi Iddi ni mkristo mbona yupo nje?
 
Back
Top Bottom