Haujui kuwa Presidwaa mwenyewe dealer? Tafuta dataKwani wao Kny ndio wanataka watu wenye manukato ya unga unga? Mmmh
Haujui kuwa Presidwaa mwenyewe dealer? Tafuta dataKwani wao Kny ndio wanataka watu wenye manukato ya unga unga? Mmmh
Du kumbe amehamia bondeni, kwahiyo alimtanguliza yule binti mzuri kule.Ila mwenzie Rostam aliona mbali akalala mbele,Mwaka kahamia sauzi anapiga deal km kawa kaona bongo longolongo.Jamaa ni mzalendo wa kweli ameona tusome namba wote.
mpaka leo Uganda inabembeleza wafanyabiashara wake waliohama kwenda Uingereza na Canada enzi ya Raisi Iddi Amin lakini wapi,.
Tumia buku tano. Buku mbili bakisha.Binafisi nampongeza Rais Magufuli kwa haya anayo fanya toka ameingia Madalakani yuko sahihi kabisa. lazima kuwe na utofauti kati Selikali na matajili Matajili ukiwaacha wakaota mapembe nchi itayumba,hivi sasa ndio tumepata Baba wa Taifa kwa mala nyingine.Wenye Akili timamu tunajuwa anachokifanya huyu Mzee na Matunda yake titayaona Badae Asante Rais wangu.
Mkuu wengi hatujui kinachoendelea. TujuzeHizi habari uchochoro mnazitoa wapi? Hivi unajua kinachoendelea kweli wewe ??
Huo ndo ukweli, wewe ni maskini na ndo maana unawachukia wenye utajiriAnyway ... unapokuwa na mitazamo yako don't speak of majority! afu sioni where to fit ur point! so unataka kusema tunamchukia manji kwa kuwa ni tajiri! damn! yo ain't even know about me!
Ht angekuwa nani lakn kwenye madawa hatuangalii mkuu.
Hata Mabotu , wanaishia kuangaisha familia zaokwa ninavyomfahamu manji, someone must pay something someday kwa hili. ngoja tuendelee kusubiri. ila udictator haujawahi kuwa na mwisho mzuri hasa kwa dictator mwenyewe na watoto wake. tujifunze kwa gadafi na watoto wake na supporters wake wote.
Kwani alilazimishwa kuvuta?Huna ndugu aliyeathirika na hizo dawa ndio maana unaona hela za manji ni muhimu kuliko ndugu yako lakini ungekua na ndugu ukaona amekonda mpaka fuvu la kichwa halafu anaiba mpaka bakuli za plastic home akauze ili apate hela ya kununulia unga kwa huyo mtu wako huenda ungeelewa.
Matajiri wengi utajiri wao si safi! Hivyo hutegemea wanasiasa na mapolisi kuwakingia kifua! Wizi, dhuluma, kukwepa kodi, ujangili, biashara haramu na vitu kama hivyo!Somo kwa ndugu zangu nyie matajiri;
Watu wa sirikali ni watu wa muda mfupi tu kazini; especially politicians; hawa watu ni wezi, corrupt, prostitutes, worse than pigs and dogs. Msiwafanyie mzaa.
Msiwachekee. Wakiomba rushwa wapeni wakimbieni.
Wanunulieni Pombe wanywe hadi walewe wakimbieni. Msiwaonyeshe biashara zenu, wasifieni muwakimbie. Msiwapeleke nyumbani kwenu.
Ukimpa polisi pesa nyingi atafurahi. Lakini akijua unapesa nyingi atakutafutia visa. Hakumbuki wema uliomfanyia. Even the dog remembers the master; siyo mwanasiasa au polisi!
Sifa kubwa urafi, hawajui kutafuta, hawajui kutoa, wenyewe ni wapokeaji tu!
Manji, all these CCM trolls, were in your payroll !! Umeona rangi yao?
Question: Have you seen a rich politician after retirement? No, they end up in early death!! Only presidents and prime ministers live longer because they receive 80 percent of salaries of their successive presidents for their life time!
Question: Then why ministers, RCs and other politicians don't fight for their benefits to be upgraded like their prime ministers and presidents to follow their currents rates? Greed!!!They live a day in their life; hawaangalii mbali!!
Duniani hakuna nchi iliyoendelea bila kuwa na matajiri, lazima at least a section of the population go up then the rest will follow!!! China did it, East Asian tigers did it!
Pambafu
Tunapenda matajiri lakini sio wa kutuharibia vijana
Nadhani hukusoma vizuri nilichoTunapenda matajiri lakini sio wa kutuharibia vijana wenzetu...... km ni hzo hela zao chafu waende nazo huko huko tutabaki na ufukara wetu!
Fuatilia international news mpaka mali zao kama majumba na mashamba wafanyabiashara wamerudishiwa Uganda na wamerudi kuziuza na kurudi UlayaAcha uongo weweeee
Hivi ndugu zangu watanzania nani ametufundisha hili somo la kuwachukia watu waliotuzidi uwezo wa kifedha(kiuchumi) ?
Amewaharibu sana. Maana ukimchukia mtu unachoambulia ni magonjwa ya moyo.Nyerere
Hii dhana ya kufikirika kuwa matajiri wanachukiwa inakera sana! Yaani wanataka waharibu vijana wetu (baadhi yao) kwa madawa ya kulevya halafu wanatarajia tuwachekee! Wanadharau viongozi wetu kwa kuwaitia vyombo vya habari na kuwakashifu then wanatarajia tuwachekee! Imagine mtuhumiwa anamtisha MKUU wa mkoa na kumpangia ratiba ya kukutana! Hivi mtuhumiwa anadhani alipotakiwa kuripoti ijumaa MKUU wa mkoa hakuwa anajua kuwa kuna alhamis pia kwenye siku za wiki? Halafu anategemea tuchekelee hicho kiburi chake? Hatuwachukii kwa utajiri wao, tunachukia kiburi chao! Hivi wao hawajui kuwa wana kiburi? Hivi hawa na wenyewe wananihesabu majiri miongoni mwa matajri duniani? Yaani ukiwa na pesa kumzidi mwingine unajihesabu kuwa tajiri? Hivi ukimweka huyu Mwenyekiti wa klabu yetu kwenye kundi la kina Trump (bilionea wa kiwango cha dola) halafu wakamwita MASKINI utawashangaa?Watz ni watu wa ajabu kweli..ukiwa tajir wanakuchukia na wanakuombea upatwe na mabaya...wakat wengine ndio umewaajir..kwa mtazamo huu hatuwezi kuendelea kamwe
Hii dhana ya kufikirika kuwa matajiri wanachukiwa inakera sana! Yaani wanataka waharibu vijana wetu (baadhi yao) kwa madawa ya kulevya halafu wanatarajia tuwachekee! Wanadharau viongozi wetu kwa kuwaitia vyombo vya habari na kuwakashifu then wanatarajia tuwachekee! Imagine mtuhumiwa anamtisha MKUU wa mkoa na kumpangia ratiba ya kukutana! Hivi mtuhumiwa anadhani alipotakiwa kuripoti ijumaa MKUU wa mkoa hakuwa anajua kuwa kuna alhamis pia kwenye siku za wiki? Halafu anategemea tuchekelee hicho kiburi chake? Hatuwachukii kwa utajiri wao, tunachukia kiburi chao! Hivi wao hawajui kuwa wana kiburi? Hivi hawa na wenyewe wanajihesabu majiri miongoni mwa matajri duniani? Yaani ukiwa na pesa kumzidi mwingine unajihesabu kuwa tajiri? Hivi ukimweka huyu Mwenyekiti wa klabu yetu kwenye kundi la kina Trump (bilionea wa kiwango cha dola) halafu wakamwita MASKINI utawashangaa?Watz ni watu wa ajabu kweli..ukiwa tajir wanakuchukia na wanakuombea upatwe na mabaya...wakat wengine ndio umewaajir..kwa mtazamo huu hatuwezi kuendelea kamwe