Dharau kwa serikali iliyochaguliwa na watu haikubalikiAlitaka kuonyesha dharau
Ni nature ya waafrika ni inborn character ambayo uwarudi wenyewe sababu ya kukata tamaa ya maisha na laana ya umasikini.sababu ya chuki na roho ya kimasikini matokeo yake tunazid kuwa masikini zaid.Hivi ndugu zangu watanzania nani ametufundisha hili somo la kuwachukia watu waliotuzidi uwezo wa kifedha(kiuchumi) ?
Mteuzi wa Rais ni nani huyo?If that is da case tgen salute to Maguful this had never happon...huwez kutukana mteuzi wa rais mpumbavu kwenye vyombo vya habari hata kama umekwaza kuna kumanage anger
Jela huwa ni sehemu ya masikini au wale waliotofautiana na watawala,ni nadra sana kuwakuta matajiri kwenye jela za kiafrica zaid ya masuala ya kisiasa.Watanzania bwana!! Sasa nani mwenye pesa ameshakamatwa na kuonyeshwa mfano kwa hukumu nzito!
au ndio haya haya maigizo ya kutajana kwa media?
Ukiona point yangu huna hoja ya msingi ya ku iquote achana nayo! Naona unaleta chuki zako binafsi badala ya kuja hoja.Mteuzi wa Rais ni nani huyo?
Ina maana Rais wetu ni wa kuteuliwa?
By the way, huyo "mteuzi wa Rais" anayetukana wananchi kuwa ni vichaa unampigia makofi tu siyo?
Acha ungese punda wewe,matajiri tuwabembeleze hata kama biashara zao ni haramu kisa wanalipa kodi mamilioni?Acha kuandika ujinga, waende!!! Je, waliowajiri utawaajiri wewe, kodi wanazolipa hata kama ni kidogo utafidia hilo pengo wewe? Sio ajabu kama unalipa kodi hardly haizidi laki tano Tsh. Hao unaosema waondoke kodi zao ni kuanzia mamilioni ya sh. Matajiri tuwambeleze ili wawe wazalendo na wakuze uchumi wa nchi yetu
I’m from the city where the Muslims even Christians hate it.Ni nature ya waafrika ni inborn character ambayo uwarudi wenyewe sababu ya kukata tamaa ya maisha na laana ya umasikini.sababu ya chuki na roho ya kimasikini matokeo yake tunazid kuwa masikini zaid.
dhana ya uhuru wa kila mhimili inapotoshwa kwa kusema mihimili ni sawa. executive ni muhimili tawala ndio mhimili unaajiri mihimili mingine. unakua na bunge la wapiga dili halafu wanajidai wao ndio wasimamizi wa serikali. unakua na mahakama ambapo haki inauzwa kama njugu halafu wasisemeshwe eti usawa wa mihimili.Mpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, uzani watakusaidia.
kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.
next time jifunze kuwa saivi kuna mhimili umejichimbia sana chini.
Kuwa makini unapoandika.Ukiona point yangu huna hoja ya msingi ya ku iquote achana nayo! Naona unaleta chuki zako binafsi badala ya kuja hoja.
Chuki huziba upeo wa kufikiri.
majivuno yote na vitisho yupo ndani.Mpaka muda huu yupo sero, bongo sio ulaya uende Na lawyer 9, uzani watakusaidia.
kuna Sheria,halafu kuna haki sometimes vinakaa mbalimbali.
next time jifunze kuwa saivi kuna mhimili umejichimbia sana chini.
Kwanini usiseme tutakuzalisha wewe kuwa tajiri.. Roho ya kishetwaniWaende tu, tuzalisha matajiri wengine.
ok tuseme kazuiliwa au kahifadhiwa.Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Kwa akili yako kabisa eti manji yupo ndani. Mnachekesha sana![]()
mpaka sasa mshazalisha wangap ?Waende tu, tuzalisha matajiri wengine.
Me hapo ndo napowazia kodi zetu zingetumika kutusaidia tupate huduma bora zijezitumike kulipa fidia kwa mambo ambayo yamefanyika kiutaalamu na kiushahidi na vidhibitisho kabla ya kuwatangazia umma.Tunaunga mkono sana mapambano hayo ya madawa ikiwemo na viroba vijana wanaangamia Kwa sababu ya tamaa ya watu kupata utajiri,ila zitumike njia ambazo zitakuwa zenye tija pande zote.Akija kudai fidia ya mabilioni ya shilling tuendelee hivi hivi kuisifia serikali huku kodi zetu Zinachezewa.
Tena Manji akitoka hapo na akaamua kufungua kesi fidia yake itakuwa sio ya kitoto, bado Mbowe naye. Kodi ya wanyonge haina kazi.Alidhani anaenda kutaja umli na vyeo ndio maana akaenda siku moja Kabla asipokutwa na hatia Makonda kazi anayo