Masikini kaka huyu

Masikini kaka huyu

Apige chini mapema maisha yenyewe mafupi, kuna wanawake wauaji.
Afanye umayala wake huko hlf atake safe wote.
Kuna mwingine yeye alikuwa anaenda kumezea dawa kwa mama yake.
Tena awe mwangalifu anaweza kukuta hata hiyo mimba siyo yake.
 
miss chagga, nadhani jitahidi umwambie kakako wa hiari akae chini na mkewe, amueleze kuwa kwa kuwa ni mjamzito na kwa uweza wa Mungu mtoto atazaliwa bila maambukizi basi one of them has to survive ili amletee huyo mtoto akue..so suala la kumlazimisha wafanye mapenzi bila kinga (ingawa hata kwa kinga si-support) ni selfishness ya mwanamke, anataka wafe wote na mtoto akose wazazi..kitu ambacho sio kabisa.

Mwanamke akikataa kuelewa basi itakuwa haina jinsi bali bro amuache na kuendelea na maisha mengine. Maana kutoelewa kwake inaonyesha roho yake ilivyo

After all nani kati yetu anaweza kuendelea kuishi na mtu wakati anajua fika kuwa huyo mwenza kadhamiria kumuua? kwa njia yoyote sio lazima panga au bunduki?
 
Ndoa za kikristo unajua tena wif hataki kusikia wala kuelewa

Nawewe mgeni! ckuhizi hakuna cha ndoa ya kikiristo,inavunjwa vzr tu mahakamani kila mmoja anachukua 50 zake,
It seems binti aliupata mwenyewe huyu.

Ila hili kweli jaribu!!
 
Apige chini mapema maisha yenyewe mafupi, kuna wanawake wauaji.
Afanye umayala wake huko hlf atake safe wote.
Kuna mwingine yeye alikuwa anaenda kumezea dawa kwa mama yake.
Tena awe mwangalifu anaweza kukuta hata hiyo mimba siyo yake.
hatari sana aisee
 
miss chagga, nadhani jitahidi umwambie kakako wa hiari akae chini na mkewe, amueleze kuwa kwa kuwa ni mjamzito na kwa uweza wa Mungu mtoto atazaliwa bila maambukizi basi one of them has to survive ili amletee huyo mtoto akue..so suala la kumlazimisha wafanye mapenzi bila kinga (ingawa hata kwa kinga si-support) ni selfishness ya mwanamke, anataka wafe wote na mtoto akose wazazi..kitu ambacho sio kabisa.

Mwanamke akikataa kuelewa basi itakuwa haina jinsi bali bro amuache na kuendelea na maisha mengine. Maana kutoelewa kwake inaonyesha roho yake ilivyo

After all nani kati yetu anaweza kuendelea kuishi na mtu wakati anajua fika kuwa huyo mwenza kadhamiria kumuua? kwa njia yoyote sio lazima panga au bunduki?
sawa mkuu nimekupata
 
ndiyo ni mlokole ila sasa nimejifunza jambo... Addict pita huku

OK,sasa nimepata picha na jibu.
Huyu binti huenda aliokoka baada ya kuathirika!!hawa WA hivi ni wengi sna.

Binti Ana makosa km alikuwa anajijua.
Maskini kijana wa watu akaona amepata!!!
 
Last edited by a moderator:
Hata na ndom Mkuu inahitaji moyo sana, ile excitement yote ya kugegeda inatoweka kwa wasiwasi kama ndom itapasuka. Mapigo nayo unakuwa na wasiwasi nayo kama hapa nikiongeza maujanja naweza kuhatarisha maisha yangu, na mupenzi naye ndiyo anataka ufanye maunjanja na mapigo ya siku za nyuma kabla hajaathirika, ni ngumu sana kusema kweli.

miss chagga pole sana na jela
Ashikilie msimamo wake bila condom hapana maana hapo mwanamke kashajijua anao anataka amwambukize na mwenzake waupate wote na hiyo ni mbaya sana.

Gubu haliwezi kuisha na wala halitamuua kijana ila akijifanya anafanya bila condom ajue tayari anaupata maana mwanamke inaonekana kadhamiria jamaa aupate na yeye

Asikilize ushauri wa wataalam na akiona yanazidi hapo ni kuwaita wazazi na kuwapa ukweli wa kinachoendelea. Mtoto anaweza kuzaliwa bila kuupata na hapo ajue hata maziwa ya mama hayanyonya

Kama ni mapenzi ampende na kumtimizia kama mke ila kushiriki tendo la ndoa bila mipira asijaribu hata siku moja maana hapo dhamiri ishamtoka huyo mama
 
OK,sasa nimepata picha na jibu.
Huyu binti huenda aliokoka baada ya kuathirika!!hawa WA hivi ni wengi sna.

Binti Ana makosa km alikuwa anajijua.
Maskini kijana wa watu akaona amepata!!!
kuaminiana kwa macho ni tatizo kubwa
 
Kama hajashika for 1yr na 2months. Kitakachomshikisha sasa hivi ni nini sasa? Mwambie afanye vile alivyokuwa anafanya
 
Mwambie jamaa yako akunje suruali vizuri alafu atoke mbio mita mia moja na asiangalie nyuma,la sivyo akicheka na nyani atavuna mabua.Kwanza sidhani kama hata dushe itasimama kwa mawazo.
 
Ndo tatizo jingine vijana wengi **** wanaziona kwe video za whatsp sasa akiiona live ata ndom hakumbuk
 
Hata na ndom Mkuu inahitaji moyo sana, ile excitement yote ya kugegeda inatoweka kwa wasiwasi kama ndom itapasuka. Mapigo nayo unakuwa na wasiwasi nayo kama hapa nikiongeza maujanja naweza kuhatarisha maisha yangu, na mupenzi naye ndiyo anataka ufanye maunjanja na mapigo ya siku za nyuma kabla hajaathirika, ni ngumu sana kusema kweli.

Mkuu BAK umeona eeeh
Hapo mke anataka jama aapply yale maujanja na ameyamiss ndo maana analazimisha na ndo maana anataka kwa nguvu aise
Hapo sijui hata kama hisia zitakuwepo kwa jamaa akifikiria hapa kuna condom kupasuka kuna kutaka kukiss na tena ile french kiss unaogopa naweza kukutana na vitu vingine duh hapana aise yafaa jamaa ajiepushe na aombe tuu Mungu mtoto azaliwe bila maambukizi na kisha atafute ustaraabu mwingine
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom