Ndoa sio ndoano kama utafuata Kanuni/formula

Ndoa sio ndoano kama utafuata Kanuni/formula

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
38,566
Reaction score
89,476
Hamjambo!

1. Wengi wanaosema mapenzi na mahusiano hayana formula Kwanza ni waongo. Lakini pili ndio haohao wanaoteseka na mapenzi na ndoa.

2. Mapenzi na ndoa ma mahusiano yoyote unayoyajua Yana kanuni na formula zake.

3. Nitatoa kanuni chache ambazo ukizifuata mahusiano na mapenzi yako yatakuwa matamu hayatakusumbua;
Kama ifuatavyo;

a) Formula ya Mfanano. (Kufanana)
Lazima uoe au kuolewa na mtu unayefanana naye. Hii ndio Kanuni namba Moja Mapenzi, ndoa na mahusiano yoyote.
✓ Mfanano wa maslahi, ndoto na malengo.
✓ Mfanano wa maumbile, sio unakibamia chako unaoa mwanamke mwenye maumbile makubwa. Au vice versa.
N maumbile mengine.

✓ Mfanano WA kiuchumi.
Pasiwe na gap kubwa Sana baina yenu.
✓ mfanano wa kiimani.
Sio huyu anaamini Waganga alafu wewe unaamini malaika. Au atheist

✓ Mfanano WA starehe
Sio wewe chapombe alafu huyu ni Msabato asiyekunywa. Ndoa itakuwa Kero.

Mifanano ipo mingi Sana lakini hakikisha Ile mifanano mikuu angalau mpo kwenye percentage nzuri almost 80% kuendelea

b) Kanuni ya Mvuto.
Hakikisha unaolewa na mwanaume unayevutiwa naye. Na unaoa mwanamke anayekuvutia.
Hii kwenye ndoa itakusaidia kupunguza tamaa za kuchepuka hovyohovyo hasa ukikumbuka home umeacha pini .
Lakini pia Raha ya msosi uvutie.

Iko hivi, moja ya mambo yanayoleta dharau kwenye mahusiano ni mmoja kutoona mvuto kwa mwingine.
Huwezi kuleta nywi nywi nywi kwa mtu ambaye unamuona anamvuto unaovutia.

C) Nguvu Kusimamisha, stamina na kukojoza.
Mwanaume lazima uume wako uwe makodinda kisawasawa. Ngoma ngumu kama maisha ya Sudan.
Mkeo lazima umkojoze.
Mwanamke asipokojozwa ndio mwanzo wa matatizo ndani ya nyumba.

Kuna kanuni isemayo not faster but harder izingatie Sana hiyo wakati wa kunyanduana. Ukiijua hii kumkojoza mwanamke haichukui dakika tatu mpaka tano. Sio unapiga haraka haraka. Bali harder Kwa Sanaa.

d). Nguvu ya Uchumi
Sio lazima uwe na Pesa nyingi lakini lazima mahitaji ya msingi yawepo. Na ufanye juu chini mrahisishe maisha yenu.
Kila Siku jitahidi kurahisisha maisha yenu hapo nyumbani.

Wote mzalishe uchumi. Uchumi unaozalishwa na wote huifanya ndoa iwe thabiti na iwe ndoa halisi tunaita True Marriage. Uchumi unaozalishwa na mhusika mmoja unatengeneza falsa marriage na mmoja kuabudiwa na mwingine kutumikishwa.

e) Mapenzi hayalazimishwi.
Mwanamke au mwanaume hakutaki. Muache.
Mapenzi yanakanuni ya haki ya MTU kuchagua.
Uhuru wa mtu kuamua kuwa na wewe au kutokuwa na wewe.
Kuyalazimisha mapenzi ni kutofuata taratibu.
Kubembeleza mapenzi na kutumia nguvu upendwe ni kuweka maji kwenye petrol.

Mwanamke anataka kukuacha muache. Simple.

Kulazimisha mapenzi ndio kumefanya wengi kuona mapenzi ni mabaya

F) Kanuni ya Uhuru maratatu ufungwa mara moja.
Lazima muwe huru zaidi ya robo tatu ukiwa na mwenza wako. Alafu robo ndio usiwe huru.

Mkeo asipokuwa huru kwako ujue kuna sehemu yupo huru.
Mapenzi yanahitaji Uhuru

Mkeo lazima ajihisi na awe huru kuonyesha ubaya wake na uchafu wake nawe usione shida. Uupokee.
Nawe uwe hivyo kwake.

Mahusiano ya kujimaliza kuyavunja ni kipengelle. Na hata ikitokea yamevunjika bado hawa watu wataendelea kuwasiliana.

Kumbuka Unapoambiwa faragha haimaanishi tendo la ndoa Bali zaidi ya tendo la ndoa ambapo sio Kila MTU utakayefanya Naye ngono utafanya mambo hayo.

Sio ajabu umeoa mwanamke lakini hujawahi kuwa naye faraghani.

Ngono sio Faragha kwani ni tendo ambalo Kila mtu anajua wanandoa wanalifanya. Ila namna linavyofanyika kuna mambo ndio huitwa Faragha.

Mtu yupo na mkewe lakini bado kuna mambo anaona aibu kuyafanya kwa sababu huyo mkewe/mumewe sio mwandani wake. Hamuamini. Hayupo huru naye.

Moja ya kanuni za mapenzi na mahusiano ya ndoa ni Hilo la Uhuru katika Faragha. Kujimaliza.

Mimi kufikia hapo sina la ziada.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Back
Top Bottom