Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,460
Mmmhhhhh shida ni pale kwa harusi " Ntakupenda mpaka kufa"
namna ya kulishinda ndiyo tunaomba msaada rafiki yangu kawa kama chizi ni analalamika maisha yake kaharibu
asante mkuu kwa ushauriCha kumsaidia ni kuwa amrudishe kwa wazazi wake..yaani kwa wakwe zake kama wapo then... atulie peke yake mpk hapo mtt atakapozaliwa ili ajue mstakabali wake utakuwaje!
Ndoa za kikristo unajua tena wif hataki kusikia wala kuelewa
hapo ndo nnaposhangaa, eti ndoa za KIKRISTO....... ndoa ni watu wawili tu.....inapotokea na kudhibitika ni hatari kwa usalama wa mmojawapo.....dhahiri shahiri lazima ndoa ife.....sheria ziko wazi kabisaaa mpendwa.......na mahakamani ndo pake.......afanye maamuzi sahihi,,, kama aliweza kujitunza ajue Mungu ndie anaemlinda mpaka sasa....maamuzi magumu tu...
namna ya kulishinda
ndiyo tunaomba msaada rafiki yangu kawa kama chizi ni analalamika maisha
yake kaharibu
kama huyo mwanamke yupo hivyo,mwambie rafiki yako akimbie tu kuokoa maisha.ipo siku atategea kalala atajichana na wembe kisha atamchana na yeye atagusisha halafu atamwambia nipe tu na wewe unao!mbaya zaidi kuna wakati hata kumeza dawa hataki anaamini mungu atamponya .. Ushauri please
ndoa za kikristo.......nashindwa hata kusema neno. Roman catholic hawakubaliani na matumizi ya condom kwa waumini wake. hata kama situation kama hii imetokea bado condom haitumiki..Ni msimamo wa kiimani zaidi...sote tutakufa na njia ya kwenda kwa baba ni kifo tu... palipo na upendo wa kweli yote yawezekana. kuna watu wanaishi na kushiriki tendo bila hata kinga ktk situation kama hii, ni wachache na ni upendo wa aina yake ,ambao kwa kizazi chetu nina mashaka nao kabisa.... Mungu atusaidie kwa kweli.