Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
Atakua mlokole huyo binti,ndo huwaga wanaamini eti wataombewa virusi vitoke.mbaya zaidi kuna wakati hata kumeza dawa hataki anaamini mungu atamponya .. Ushauri please
Atakua mlokole huyo binti,ndo huwaga wanaamini eti wataombewa virusi vitoke.mbaya zaidi kuna wakati hata kumeza dawa hataki anaamini mungu atamponya .. Ushauri please
worse enough bint pia hataki kutumia vidonge anasema Mungu atamponya
nitajaribu muuliza rafiki yangu (kaka) kujua kama kuna watu wengine wanajuakwa jinsi nnavyomuona huyo dada amekua frastruated sana kutokana na hiyo hali ndio maana amebadilika inahtajika counseling kubwa sana
ila jarbu kuongea na huyo kaka achukulie kama changamoto nyengne ampeleke huyo dada kwa watu wa karibu
pia swala jengne mtu gan wa familia ambae analijua hilo tatzo lake coz ni muhmu sana wajue lolote linaweza kutokea kwa huyo dada
hapa hatujui ila hawakupima kabla ya ndoa .. imejulikana baada ya kubeba mimba na kuanza kuumwa ndipo hospital kuamua kupima na kugundua kuwa mke mwathirika mume ajaathirika ...ukimwi aliupata kabla ya ndoa au baada?
mmh si rahisi kijana kustickJamaa alimuona Israeli....akapenya kwenye tundu la sindano....kunshauri arudi hapo panahitaji kazi ya ziada!
Inaonekana hawezi kuendelea kuishi naye....inabidi tu hiyo ndoa ivunjwe.
Huyo kijana either ni mpuuzi wa kuamini hovyohovyo au mwanamke alikua anaijua hali yake na alipandikiza hilo wazo la kutokupima. Both ways, huyo mwanaume ni sucker for love.
Sasa kijana umeamua kumuamini, stick with it!! Ndio uanaume....keeping your word hata kama ulikosea.
sawa mkuu
hilo lamsing na wewe kama utaweza kuintervene itakua vizur sana ila mpe polenitajaribu muuliza rafiki yangu (kaka) kujua kama kuna watu wengine wanajua
sawa mkuu ila tupime jamani si dhambihilo lamsing na wewe kama utaweza kuintervene itakua vizur sana ila mpe pole
point taken mkuu asante .. kiukweli kijana nacheza na mdomo wa mamba .. binti akiachwa chumbani anakuja sebuleni ni mitego na vilio anataka njunjakuna mtu mmoja humu alitoa mfano kwenye mada kama hii kuwa 'ukishituka usingizi ukakuta umemlalia nyoka na hajakuuma simama na chukua hatua mungu kakuamsha uchukue hatua...ila ukirudi kulala na ili hali huyo nyoka bado yupo hapo ukiamini Mungu aliyekulinda awali atakulinda tena huko itakuwa kumjaribu Mungu' utang'atwa tu hakuna namna nyingine...
point taken mkuu asante .. kiukweli kijana nacheza na mdomo wa mamba .. binti akiachwa chumbani anakuja sebuleni ni mitego na vilio anataka njunja
mwanume jamnyanyapaa ila kijana hana hisia ya tendo landoa dada anataka afanye tu na hataki kutumia ARV na hataki kutumia condom kwa iman kuwa ataponywa na Mungu ... mwanaume kachanganyikiwa haelewiTatizo ninaloliona hapa ni unyanyapaa...Mume kamnytanyapaa mkewe...Na hilo ndilo litamuathiri zaidi
Baba ampende mke wake...alale nae kitandani...atumie Condom kwa uangalifu mkubwa.....kama anampenda atamtimizia....kabla ya kumuingilia ahakikishe amekuwa tayari haswa....
Wapo watu wengi wanaishi na wenza wenye Maambukizi ...Lakini hawawatupi wenza wao....
Dada anatakiwa kufanyiwa Counselling ya kufa mtu....amechanganyikiwa sana...anatakiwa ajikubali
Tyta kijana ana moyo wa uvumilivu hata kuendelea kuishi naye ila binti kawa mkorofi analazimisha penzi na kilio juu.. mimi naona huruma sana kwa kijana analalamika maisha yake kaingiza doa japo kijana naye kafanya uzembe kuoana bila kupima
bado hatujapima nitakupeleka kupimaSisi tumepima baby? mimi na wewe