Mangimeli
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,151
- 287
Pole sana ndugu,najua khali uliyonayo ni ngumu sana kkwa mtu ambaye hayajamkuta kuelewa uhalisia wa mambo,mimi yalikuta kama hayo ila ,mbaya zaid wa kwangu nilimuonya mara kadhaa na hakuniskia nilichoamua mimi ni kila mmoja achukue tu ustaarabu wake,maanake mwanamke ndani ya nyyumba anakuwa kama mbogo akiyejeruhiwa nikasali nikasema basi.