Ndoa za kikristo unajua tena wif hataki kusikia wala kuelewa
Kwani nilazima kuishi na mtu!!? tena ukichukulia huyo kaka yako kashaingiwa nahofu ya kifo unadhani kuna mapenzi tena hapo!!? acheni mambo ya ajabu ya kulazimishana kufa! tena kama ni mimi natafuta mwingine chap tunapima alafu nampa kibadamo ya nguvu!