Masikini kaka huyu

Masikini kaka huyu

Amrudishe mke nyumbani kwao kwa usalma wake,asilazimishe upendo kila kitu kinakiasi,mwenzie hana akili atamuua,bahati haiji mara mbili
 
mbaya zaidi kuna wakati hata kumeza dawa hataki anaamini mungu atamponya .. Ushauri please
Jibu lipo hapa ukitumia akili. Umehukumiwa kifo ukapigwa risasi ya moyo ukaangua chini Polisi wameondoka. Hafla ukahisi mapigo ya moyo na kunyanyuka. Jee utaondoka na kuhama mji na kuendelea na maisha yako? au Utawafuata Polisi waimalize kazi yao na kukuuwa?
 
Nitaondoka na kuhama mji
 
Bikira Mariamu aliweza kumpata Yesu kwa uweza wa Roho Mtakatifu...ila kupata hii kitu kwa uweza wa roho hesabu za mlevi zinakataa...anyway! Hizi ndoa zina mambo mengi...
 
Hapo hakuna ndoa. Iyo ingekuwa imenitokea mimi hapo hapo mwanamke angepigwa chini mara moja. Kwanini tangu mwanzo hakusema ameungua? Hakuna ndoa inayofungwa kwa misingi ya uwongo. Ndoa batili
 
Ana bahati sana,amekwepa maji ya moto asije akakajaga moto sasa ajikatae faster.
 
Dah! Aisee kweli mungu na miujiza yake, amueleweshe tu mkewake ataelewa, ingawa itachuku kamuda sana
 
Huyu kijana hana jinsi. Atafute mke mwingine. Wala hakuna cha kutumia condom hapo. Ka msingi aendelee kumhudumia tu.
 
Duuh huyo mwanamke hana hurumaaa........anataka amuue kaka yake miss chaga
 
Ukimwi amna kitu kama icho mm ninge kuwa nimepata kitambo mwambia ampige paka chongo mke wake wacha ubwege kijana
 
Back
Top Bottom