Mashoga sasa rukhsa jeshi la Marekani

FAB mkuu Unanipa wasiwasi.. :doh: hakuna dini inayoruhusu ushoga ni tabia mbaya tu za kifirauni
 
mbona hakuna sheria ya kuwakataza mashoga kutumikua jeshi tanzania? Ni ujinga uliokithri kuwanyima watu haki zao kwa sababu tu wamechagua kulala na watu waliowachagua wenyewe! Haya maandiko mnayoyatumia ya kuwakadamiza mashoga hayana nafasi kwa wakatitunaoishi sasa hivi..maadiko hayohayo ndo yalihalalisha utumwa... think about it we more civilized now we cant judge people simply by their sexual orientation
 
Sumu ya ubaguzi ikishaanza haiishi! Sasa muwabague mashoga...baada ya hapo atafuata mwingine na kuendelea hivyo bila tamati..

Jiangalieni.
 
,huwezi ukafananisha ugay na ukeketaji-ukeketaji kuna risk ya kudevelop infections,complications wakati wa kujifungua,na wengi hufanyiwa wakiwa bado under 18,ndio maana serikali inaingilia...ingekuwa ni mtu mzima na akili zako unataka kukeketwa sidhani kama serikali inaweza kuingilia...tofauti na ugay-inabaki kuwa ni CHOICE ya mtu na serikali haina mamlaka ya kuingilia

hahaa afu inaonyesha uko naive,yaani ushoga unafanywa kwa kificho kakwambia nani?mbona wanafanya open-kuna hadi watu maarufu tunawaita 'ma-aunt'..wee vipi?

how kuwa GAY,ni upungufu,kasoro??????useme hapa HOW???...

hii hoja ya wanawake kukosa waume wa kuwaoa sijui watoto kuzaliwa-blah blah haina mashiko...tanga,zanzibar arusha dar ndiko sehemu mashoga wameshamiri..na watu WANAOANA DAILY!



FAB....
Nimefuatilia hoja zako, nakiri kuwa sizipendi kwasababu siwapendi hao mashoga (you may think I'm bigot) lakini pia nakubali una POINT.

Inaonekana tatizo la marekani na nchi zingine za magharibi ni pale walipoamua kukubali kuwa watu wa namna hii wapo kwenye jamii na kimsingi, ni BINADAMU. Ni watu ambao nao wanastahili kufurahia uhuru wao. Huo uwazi ndio unaosababisha sisi wengine kuanza ku-debate na kuwa-criticise. Yaani tunawalaumu kwa UWAZI wao japo tunafikiri tunawalaumu kwa kuendekeza ushoga.

Najua hapa nchini kwetu, it is illegal, lakini, sheria labda zimeshindwa kudhibiti, kama sheria za gongo zinavyoshindwa kudhibiti unywaji gongo, Matokeo, ni kuwa sometimes watu wanaweza kufa kwa kunywa gongo kifichoni (Ilitokea Kenya na hata Tarime, miaka fulani). Kuhalalisha kungeweza kuokoa watu waliokufa, kwa sababu labda wangenywea sehemu ambazo ni rahisi kufikiwa na wauguzi, au hata gongo ingeweza kuwa ya kiwango kizuri. Kwa hiyo UWAZI ni kitu kizuri.

Ukifikira kwa makini, hauwezi kuwa scientifically certain kuwa hatuna mashoga Tanzania. Inawezakana kabisa kuwa wapo na wanafanya kwa kificho. Wale wanaonekana inawezekana ni sehemu ndogo tu ya population ya mashoga. This can be supported by the fact that matendo ya ngono kinyume na maumbile tumeyasikia. Pia tumesikia kuwa kwenye magereza ya TZ mambo hayo yapo sana. Mimi nimewahi kuonyeshwa mashoga kadhaa mitaani. Hata hivyo serikali yetu haisemi kitu, haichunguzi wala kufuatilia. Wapo wanawake wamekiri kushughulikiwa upande wa pili, wapo wanaume wamekiri kufanya hivyo, na hata stories za kwenye vitabu vya dini zinaonyesha kuwa hata zamani watu walikuwa wanafanya hivyo.
Kwa haya yote, nafikiri si sahihi kuwashambulia Wamarekani walioamua kutumia busara zao na kuwa transparent kwa kukubali kuwa haya mambo yapo, na watu hao wapo, waruhusiwe kujirusha. Si ajabu mambo kama haya yapo kwenye majeshi yetu, lakini hatuwezi kusema wala kuchunguza, matokeo yake mashoga wataendelea kufanya kwa kificho.

Kama kweli hatupendi, basi zifanyike jitihada za kutosha kuhakikisha kuwa kweli hatuna mashoga hapa, kabla hatujaanza kuwalaumu wenzetu walioamua kuwa wawazi.
 
What two consenting adults do in the privacy of their bedroom is none of anybody's business. Not you, not me, not the government.

The number one job of any government is to serve and protect the rights of each of it's citizens and that is what the American government has done with repealing DADT.

The Americans not only talk the talk, they walk it too which is a far cry from us.
 
I real feel vomiting when i heard and read about the law. these same people they go to worships and read bible and Quran. its rubish to recognize gays.
I am not surprise of what uganda and President Museven were told about gays and lesbian law those were to be passed by parliament
 
What two consenting adults do in the privacy of their bedroom is none of anybody's business. Not you, not me, not the government.

The number one job of any government is to serve and protect the rights of each of it's citizens and that is what the American government has done with repealing DADT.

The Americans not only talk the talk, they walk it too which is a far cry from us.
Rubbish!! basi hamna haja ya kuabudu dini kama ujinga huo umekubaliwa na serikali
 
I real feel vomiting when i heard and read about the law. these same people they go to worships and read bible and Quran. its rubish to recognize gays.
I am not surprise of what uganda and President Museven were told about gays and lesbian law those were to be passed by parliament
Please DELETE HOLY QURAN !
 
Rubbish!! basi hamna haja ya kuabudu dini kama ujinga huo umekubaliwa na serikali

Crap!! Kuna haja gani ya kuabudu wakati makasisi wako mstari wa mbele kulawiti wavulana watumikia kanisa??? Bora ni mpagani tu.
 
Marekani Wanadai ni Nchi Isio na Dini na Kila Mwananchi Ana Haki Sawa Kutokana na Katiba Yao. Sasa Kiboko ni Ukikorofishana na Marekani Ukapigana Nao, Mashoga Ndio Watakupiga Mizinga. Ukweli ni Kwamba Kanisa Sio Serikali na Inaonekana Kufa kwa Imani za Wananchi Wengi Huko Marekani Kumefanya Haya Kutokea, Hii Historia Haikuanza Jana ni Miaka Mingi. Hili Jambo ni Sign ya Bad Things To Come. Kitu cha Kuangalia ni Kwamba Nchi Nyingi Zimejengwa na Maadili ya Neno la Mungu na Kutokana na Sababu za Kuiga Utamaduni na Wengi Hasa Vijana Wanataka Sana Kuiga Western Cultures, Westerners Wengi Hawafuati Neno la Mungu Kama Tunavyofahamu Maisha Yao. Hii Ndio Trend Tanzania na Nchi Nyingi za Africa Tunakwenda, Tusiposimama na Kuwaeleza Hawa Models, Rappers na Hip Pop wa Kuiga. Ukweli Unabaki Pale Pale Tusishangae Haya Majanga Yakawa Mengi Duniani.
 
Biden says gay marriage 'inevitable'



AP – FILE - In this Nov. 19, 2010 file photo, Vice President Joe Biden gestures while speaking at the South …





By LAURIE KELLMAN, Associated Press Laurie Kellman, Associated Press – Sat Dec 25, 4:04 am ET
WASHINGTON – Vice President Joe Biden is predicting that the evolution in thinking that will permit gays to soon serve openly in the military eventually will bring about a national consensus for same-sex marriage.

Changes in attitudes by military leaders, those in the service and the public allowed the repeal by Congress of the "don't ask, don't tell" policy, Biden noted in a nationally broadcast interview on Christmas eve.

"I think the country's evolving," he said on ABC's "Good Morning America." "And I think you're going to see, you know, the next effort is probably going to be to deal with so-called DOMA He said he agreed with Obama that his position in gay marriage is "evolving."

Gay marriage is legal in only a handful of states, mostly in the Northeast, and in Iowa. President Barack Obama recently said his feelings on the were in a state of transition. But he also said he still believes in allowing strong civil unions that provide certain protections and legal rights that married couples have.

Obama said he is still wrestling with whether gay couples should have the right to marry, now that the change in the law will allow them to serve openly in combat.
Presidents in recent years have struggled with this issue. President Bill Clinton developed the "don't ask, don't tell" policy for the military, and Obama promised repeatedly in his

2008 campaign for the presidency that his administration would have a more supportive attitude toward gays. But gay rights groups also have said frequently they have been disappointed with the administration's performance on this issue.
The question about same-sex marriage came at Obama's news conference Wednesday,

just hours after he signed landmark legislation repealing the ban on gays serving openly in the military. The law ends the 17-year-old "don't ask, don't tell" policy that forced gays to hide their . Before that, there was an outright ban on service by gays in the military.

But in letters to the troops after the new bill was signed into law, the four military service chiefs warned that the ban was still in place, and that implementing the policy change in full was still months away.

Recommendations to put the new policy into place were outlined in a report last month, and now these steps must be written into concrete regulations governing the military. Defense officials say that they still don't know how long it will take before the Pentagon completes its implementation plan and certifies the change will not damage combat

readiness. Once certified, the implementation would begin 60 days later.
In his interview with ABC newsman George Stephanopoulos, Biden brought up the Defense of Marriage Act, a law that Congress passed in 1996 that as between a man and a woman.

Obama has repeatedly said he would like to see the law repealed, but the Justice Department has defended its constitutionality, which the agency is required to do.
As recently as October, the department defended DOMA, appealing two rulings in Massachusetts by a judge who called the law unconstitutional for denying federal benefits to gay marriage couples.

In two separate cases, U.S. District Judge in July ruled that DOMA is unconstitutional because it interferes with a state's right to define marriage and denies gay couples an array of federal benefits to heterosexual married couples, including the ability to file

Biden says gay marriage 'inevitable' - Yahoo! News
 
Ufanisi wa jeshi utakuwepo pale pale tuu perfect example jeshi la Israel. Ili swala inategemea unaliangalia katika angle gani (kisiasa,kidini,kibinadamu au kisheria).
 
Ufanisi wa jeshi utakuwepo pale pale tuu perfect example jeshi la Israel. Ili swala inategemea unaliangalia katika angle gani (kisiasa,kidini,kibinadamu au kisheria).
Kwani Waisrael nao wamo? hebu tujuze kama watoto wa mungu nao sio riziki!
 
Kwani Waisrael nao wamo? hebu tujuze kama watoto wa mungu nao sio riziki!
Kombo wale si wana wa Mungu kama watu wanavyodhani. Walimkataa mwana wa Mungu ambaye ndiyo njia na uzima, yeyote hawezi kwenda kwa Baba yake isipokuwa awe amepitia kwa Yesu.
Waislaeli katika dini yao ya kiyahudi (na vitabu vyao) hamna mahala utakapoona jina la Yesu. walimkataa kabisa. na ndiyo maana ufalme wakapewa mataifa. katika maana ya kwamba yeyote ana nafasi sawa kupata ufalme wa Mungu, ilhali anamkiri Yesu na fidia yake.
 
Kombo wale si wana wa Mungu kama watu wanavyodhani. Walimkataa mwana wa Mungu ambaye ndiyo njia na uzima, yeyote hawezi kwenda kwa Baba yake isipokuwa awe amepitia kwa Yesu.
Waisraeli katika dini yao ya kiyahudi (na vitabu vyao) hamna mahala utakapoona jina la Yesu. walimkataa kabisa. na ndiyo maana ufalme wakapewa mataifa. katika maana ya kwamba yeyote ana nafasi sawa kupata ufalme wa Mungu, ilhali anamkiri Yesu na fidia yake.

Hapo tena umeniacha hoi! ndugu humu ilishawahi kuletwa Thread ya kusiffia Jews ya kuwa wao ni bora kuliko watu wote Duniani na ni mfano wa kuigwa na Wakristo, sasa wewe unawatoa kwenye hesabu ............ haya mambo!
 
Napata tu picha askari shoga wa kimarikani katumwa kwenda kumkamata mtu kisha akamchunuku!!! hapo itakuwaje na kisheria ameruhusiwa!??

Heri utumwa wa mwili kuliko utumwa wa akili
 
Hatari inakuja pale sisi binadamu tunapojiona tumeendelea sana and thus the laws should b set according to how we feel and choose. Kuna watu wanapenda kufanya mapenzi na farasi na mbwa. Hawa farasi na mbwa nao wana dalili zote za ku consent,under what principle will u forbid them and allow gays! Both parties consent and do it under the privacy of their bedroom,barns or satan knows where else!
 
Back
Top Bottom