Mashoga sasa rukhsa jeshi la Marekani

Mashoga sasa rukhsa jeshi la Marekani

uarabuni wataomba vita iendelee mapunga wapya kutoka marekani shee vita itaamia saudi

Uarabuni hawana shida na biashara hiyo, vinginevyo hawana sababu ya kusubiri mpaka vita vipiganwe ! wangeunda "genge lao" la watu kumi na mbili kama hapo juu (wanawake 4 na wanaume 8) na mmoja wapo atie signature kama hapo juu, then shughuli ianze ! mwenye kutoa sawa au mwenye kupokea sawa!
 
Nd. Topical ushoga kama ulivyo uasherati, uzinzi, ufisadi na mambo yanayofanana na hayo hauna dini. Ni uchafu unaofanywa na watu wa dini zote na rangi zote. Sielewi kwa nini unahusisha ushoga na JF christian. This is the most myopic thinking I have ever come across today.

Maovu hayo na mengineo, ni wajibu kupingwa na Imani yeyote ya Dini, unless hiyo dini iko nje ya vitabu vinne (4) vitakatifu! tatizo ni pale wanapojisifu kuwa wao ni washika Dini na wakafanya mambo kinyume ! ikiwa dhehebu moja wapo la Kikristo lime tolarate kuwa na "ASKOFU" wa aina hiyo na llikawekwa hadharani Dunia nzima, utawezaje kukataa ukweli huo?
 
Tofauti ya Tanzania na hao jamaa zako ni kuwa, hapa ni kosa na ni uhalifu kufanya kitendo hicho, pitia sheria ya makosa ya kujamiiana ya Jamhuri ya Muungano!
Kasoro, tatizo, mapungufu, au ugonjwa hauwezi kuhalalishwa kwa njia yeyote ile, bali hutafutiwa ufumbuzi wa kumaliza au kutatua! Wewe unafurahia Dada yako kunyimwa haki yake ya kuolewa kwa wanaume wawili (ndoa mbili) kuoana wenyewe kwa wenyewe?

mnh serikali haiwezi kuingilia masuala binafsi kama haya,wapo mashoga kibao tanzania mbona hatujasikia wamekamatwa kama ni uhalifu?hakuna case ya mtu kukamatwa kisa kafanya ushoga tanzania does this mean hakuna mashoga?mbona tunawaona mitaani na wengine ni maarufu kwa ushoga na hawajakamatwa?....serikali/vyombo vya sheria kutowakamata means ni kuwaachia wafanye wapendavyo,huoni this is as good as 'signing kama alivyofanya obama??

kisha nani alikuambia kuwa gay ni upungufu/kasoro??????ni CHOICE ya mtu,lazima kuwe na mipaka/heshima katika kuingilia in what one choose to do with her life!

mnh hio ya haki ya dada ya kuolewa hapo great thinker umeniacha hoi,kuna mahali wadada wamekulalamikia kuwa wamekosa waume wa kuwaoa kisa wanaume wamekuwa magay???which is better?,dada yako asiolewe au aolewe na mwanaume GAY????
 
hivi hawa jamaa waliosaini akiwemo obama...ni dini gani?

Kama hawana dini tujue moja watengwe mara moja kanisani!

watengwe na kanisa lipi ????? Ningalikuwekea hapa lakini nilishafungiwa kwa kuyaanika makanisa labda nipe address yako pembeni nikuletee
 
mnh serikali haiwezi kuingilia masuala binafsi kama haya,wapo mashoga kibao tanzania mbona hatujasikia wamekamatwa kama ni uhalifu?hakuna case ya mtu kukamatwa kisa kafanya ushoga tanzania does this mean hakuna mashoga?mbona tunawaona mitaani na wengine ni maarufu kwa ushoga na hawajakamatwa?....serikali/vyombo vya sheria kutowakamata means ni kuwaachia wafanye wapendavyo,huoni this is as good as 'signing kama alivyofanya obama??

kisha nani alikuambia kuwa gay ni upungufu/kasoro??????ni CHOICE ya mtu,lazima kuwe na mipaka/heshima katika kuingilia in what one choose to do with her life!

mnh hio ya haki ya dada ya kuolewa hapo great thinker umeniacha hoi,kuna mahali wadada wamekulalamikia kuwa wamekosa waume wa kuwaoa kisa wanaume wamekuwa magay???which is better?,dada yako asiolewe au aolewe na mwanaume GAY????

1. Ukeketaji wanawake ni suala binafsi, lakini serikali inaingilia na kunadhabu kwa wahusika ikiwemo kifungo, je hilo sio kuingilia uhuru binafsii!
2. Sheria ipo, na inafanya kazi, na ndio maana inafanywa (hiyo tabia) kama biashara ya madawa ya kulevya (kwa kificho)

3. Yupo mfanyaji na mfanywaji ! mfanyaji kama akioa ******, atakuwa amewanyima fursa wanawake wanne (4) kuolewa ! kila mwanamke mmoja akiwa na watoto watatu (3), watoto kumi na mbili (12) wamenyimwa maisha.
4. Kuwa ******, ni mapungufu, ugonjwa, udhaifu na ni kasoro ! jenga hoja hapo ! (uliza wenye taaluma zao watakusaidia)
Hebu tafakari hili:
" Na wanapoambiwa , msifanye uharibifu Ulimwenguni: wao husema, sisi ni watengenezaji" Hakika wao ndio waharibifu, lakini hawatambui.
Quran: Baqara 11-12
 
,huwezi ukafananisha ugay na ukeketaji-ukeketaji kuna risk ya kudevelop infections,complications wakati wa kujifungua,na wengi hufanyiwa wakiwa bado under 18,ndio maana serikali inaingilia...ingekuwa ni mtu mzima na akili zako unataka kukeketwa sidhani kama serikali inaweza kuingilia...tofauti na ugay-inabaki kuwa ni CHOICE ya mtu na serikali haina mamlaka ya kuingilia

hahaa afu inaonyesha uko naive,yaani ushoga unafanywa kwa kificho kakwambia nani?mbona wanafanya open-kuna hadi watu maarufu tunawaita 'ma-aunt'..wee vipi?

how kuwa GAY,ni upungufu,kasoro??????useme hapa HOW???...

hii hoja ya wanawake kukosa waume wa kuwaoa sijui watoto kuzaliwa-blah blah haina mashiko...tanga,zanzibar arusha dar ndiko sehemu mashoga wameshamiri..na watu WANAOANA DAILY!

1. Mbona Beberu halipandi Beberu? jenga hoja kivipi hawana kasoro?
2. Nimekuomba utafakari hiyo aya niliyokupa hapo!
3. Tafakari na hii:
" Wala msichanganye haki na batili, mkaficha haki, hali yakuwa mnaijua! Quran: Baqara 42.
 
4. Kuwa ******, ni mapungufu, ugonjwa, udhaifu na ni kasoro ! jenga hoja hapo ! (uliza wenye taaluma zao watakusaidia)

Kuwa shoga inawezekana kabisa kuwa something somewhere went wrong! hili nitalikubali maana mwamaume wa kawaida hawezi tu kwa hiari kuamua eti anaanza kupenda wanaume.

Sasa tukishakubaliana kuwa hawa watu hilo lililowakuta hawakujitakia ni kwamba imewatokea tu lazima tushukuru kwanza haikututokea sisi na tuwa-treat hawa watu kama binadamu wenzetu bila kuwabagua kwa namna yoyote ile.
 
ufumbuzi si kuhalalisha, bali ni kusaidia kuponya haya mapungufu! hoja iko hapo! makosa kumi hayafanyi ukweli mmoja!
 
To the American government this is peanuts.More is still to come.When I said at one time Obama is a signal and is not better than George Bush junior and a signal of worse things to come.I was rebuked.I pity Americans.They will soon be made a third world country and the Russian and Chinese soldiers who are in their country will finish them off.Wake up America.
 
To the American government as I know it, this is peanuts.More is still to come.When I said at one time that Obama is not better than George Bush junior and a signal of worse things to come.I was rebuked.I pity Americans.They will soon be made a third world country.What is happening in America today confirms this assertion. The Russian and Chinese soldiers who are in the country will finish them off.Wake up America.
 
ta030801.gif
 
Naona itafika mahala kama mtu si gay uko Marekani basi utatengwa na jamii.
 
1. Mbona Beberu halipandi Beberu? jenga hoja kivipi hawana kasoro?
2. Nimekuomba utafakari hiyo aya niliyokupa hapo!
3. Tafakari na hii:
" Wala msichanganye haki na batili, mkaficha haki, hali yakuwa mnaijua! Quran: Baqara 42.

mnh kama beberu hapandi beberu,so???... kuna wanyama wengine wanapandana-so hoja yako haina mashiko-uhomosexuality upo hadi kwa wanyama-google that upate majibu.

afu mie ni mpagani,hizo aya hazinihusu..thanks anyway.:teeth:
 
ufumbuzi si kuhalalisha, bali ni kusaidia kuponya haya mapungufu! hoja iko hapo! makosa kumi hayafanyi ukweli mmoja!

hahaa i dont believe kuwa gay ni kasoro,ila kama ni upungufu then wewe mtu una dhambi saana,utaanza KUREKEBISHA watu waliozaliwa na ulemavu/viwete??
 
Hisia za ubaguzi na zenyewe ni kasoro! Watu walizonazo wanahitaji kuponywa hilo pungufu.
 
The next step could be legalized Incest or Bestiality...!
 
mnh kama beberu hapandi beberu,so???... kuna wanyama wengine wanapandana-so hoja yako haina mashiko-uhomosexuality upo hadi kwa wanyama-google that upate majibu.

afu mie ni mpagani,hizo aya hazinihusu..thanks anyway.:teeth:

Ahsante ndugu yangu ila naomba uende na hii:
" Na wanapoambiwa : Aminini kama walivyoamini watu kabla yenu, wao husema: Tuamini kama walivyoamini wale wapumbavu? Hakika wao ndio wapumbavu lakini hawajui" Quran: Baqara 13.
 
mnh haya ya ugay tu yanakushinda ndio itakuwa ya quran????nishakuambia mie hizo aya hazinihusu au unataka kunisilimisha???SIDANGANYIKI!!!
a:teeth::whoo:
 
Mbona aya inajieleza ndugu yangu ! irudie tena ! Utajisalimisha vipi wakati umeshatuona sie "Wapumbavu?'' Ahsante kwa ushirikiano!
 
Back
Top Bottom