Mashoga sasa rukhsa jeshi la Marekani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashoga sasa rukhsa jeshi la Marekani

Discussion in 'International Forum' started by Rutashubanyuma, Dec 22, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,253
  Trophy Points: 280
  With Obama's Signature, ‘Don't Ask' Is Repealed

  [​IMG] Drew Angerer/The New York Times
  President Obama signed the repeal of the "Don't Ask Don't Tell" law during a ceremony at the Interior Department in Washington on Wednesday.

  By SHERYL GAY STOLBERG


  WASHINGTON - The military's longstanding ban on service by gays and lesbians came to a historic and symbolic end on Wednesday, as President Obama signed legislation repealing "don't ask, don't tell," the contentious 17-year old Clinton-era law that sought to allow gays to serve under the terms of an uneasy compromise that required them to keep their sexuality a secret.

  Timeline: The Repeal of ‘Don't Ask, Don't Tell'

  "No longer will tens of thousands of Americans in uniform be asked to live a lie or look over their shoulder," Mr. Obama said during a signing ceremony in a packed auditorium at the Interior Department here. Quoting the chairman of his joint chiefs of staff, Admiral Mike Mullen, Mr. Obama went on, "Our people sacrifice a lot for their country, including their lives. None of them should have to sacrifice their integrity as well."
  The repeal does not immediately put a stop to "don't ask, don't tell." Mr. Obama must still certify that changing the law to allow homosexual and bisexual men and women to serve openly in all branches of the military will not harm readiness, as must Defense Secretary Robert Gates and Admiral Mullen, before the military can implement the new law. But the secretary and the admiral have backed Mr. Obama, who said ending "don't ask, don't tell" was a topic of his first meeting with the men. He praised Mr. Gates for his courage; Admiral Mullen, who was on stage with the president during the signing ceremony here, received a standing ovation.
  While there is still significant resistance within the military to the change in policy, especially within the Marine Corps, at least one proponent - Representative Barney Frank, the openly gay Democrat from Massachusetts - insisted on Wednesday that this latest effort to integrate the armed services will go more smoothly than did racial or gender integration.
  "Reality will very soon make it clear that there is nothing to worry about," Mr. Frank said. He called the signing the biggest civil rights moment in the nation since the signing of voting rights legislation in the 1960s. "If you can fight for your country, you can do anything," he said.
  In the years since President Bill Clinton first enacted "don't ask, don't tell" in 1993, some 17,000 service members have been discharged under the policy. While many gay people in the military are now breathing a sigh of relief, the Servicemembers Legal Defense Network, which represents soldiers facing charges under the policy, is warning its members that they are "still at risk" because the repeal will not take full effect until 60 days after Mr. Obama, the defense secretary and admiral certify readiness.
  "The bottom line is DADT is still in effect and it is not safe to come out," the organization said.
  For Mr. Obama, the ceremony - held at the Interior Department because the White House is tied up with holiday tours - marked yet another in a string of last-minute, bipartisan legislative triumphs, a surprising turnaround in the wake of the self-described "shellacking" his party took at the polls last month. He had already signed a bipartisan tax deal into law, and the Senate appears headed on Wednesday to approve a new nuclear arms pact with Russia, which will give him a significant foreign policy victory as he wraps up the first half of his term. He looked relaxed and upbeat as he soaked up the energy from an enthusiastic crowd.For the gay rights movement, which has been frustrated with the pace of progress under Mr. Obama, Wednesday marked a celebratory turning point. "Thank you, Mr. President," someone shouted, as Mr. Obama took the stage, prompting a round of other shouts: "Chicago's in the house, Mr. President! You rock, Mr. President!" Mr. Obama pronounced himself overwhelmed.
  The audience for the ceremony included a who's who of gay activists, among them Frank Kameny, who was fired from a civilian job as an Army astronomer in 1957 - an act that prompted him to found a gay rights advocacy organization in Washington D.C. and to file a lawsuit which went all the way to the Supreme Court. In 1965 he picketed the White House, in the first ever demonstration there by gays.
  Now white-haired at 85, Mr. Kameny also served as an enlisted Army soldier; he signed up in May 1943, he said, three days before he turned 18, and saw "front line combat" in Germany during World War II. He said he was asked if he had "homosexual tendencies" and denied it. "They asked, and I didn't tell," he said, "and I resented for 67 years that I had to lie."
   
 2. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Huu ndio utamaduni wa kimagharibi, watu wasiomuogopa mungu kwa kisingizio cha "Demokrasia na haki za binaadamu" ........... wanasema ukishika dini yako vizuri ili upambane na hii mitihani ................... wanakuita wewe ni "Extremist" au "Fundamentalist"
  Nimeshangaa san hii post ni ya muda, lakini hakuna yeyote kati ya "walee" alieingia humu kuunga mkono au kulani hiki kitendo !
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nimechoka niliposikia hii kitu leo hakyanani dunia kuna mambo na tunapozidi kwenda mbele sijui tunaelekea wapi god forbid tena mtu unaweka sign ya kuhalalisha huku ukicheka kana kwamba hicho kitendo hata kwa mungu kinakubalika dunia hii ina mambo
   
 4. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,847
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Ni maafa mengine kwa dunia
   
 5. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mimi ndio maana nasema tuachane na huu utamaduni wa nje, maana ni mambo ya ajabu lakini sisi tulivyo hatuna akili nzuri yatakuja hadi huku kwetu.

  Msimamo wangu ni kupinga hii kitu, haina maslahi kwa binadamu, maana itafika hata kuna watu watataka amchukue mwanae kama mke wake.

  Hii aibu.
   
 6. Z

  Zamazamani JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Jun 13, 2008
  Messages: 1,624
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  dah.....kweli tumetofautiana sana.....yaani kuna mambo mengi ya msingi wamerekani wanahitaji....lakini ishu ya kishenzi kama hii jamaa anasaini halafu wanafurahia kupita kiasi kama ni kitu cha msingi...nashindwa kuelewa!!!
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  ni zaidi ya maafa unakuwa na wanajeshi mashoga si ajabu ukakuta asilimia karibia 70 ya wanajeshi wa marekani ni mashoga
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hawa jamaa wanaposign na kucheka mimi nashangaa sana si ajabu ukakuta baadhi yao hapo ni mashoga pia
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hawa jamaa wanaposign na kucheka mimi nashangaa sana si ajabu ukakuta baadhi yao hapo ni mashoga pia
   
 10. N

  Ndaga Senior Member

  #10
  Dec 23, 2010
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 164
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ally Kombo
  Tunalaani uchafu huu na ni Machukizo kwa Mungu wetu, Wamestahili adhabu ya Mungu sawasawa na Maandiko,
  Tujikumbushe Kidogo maandiko yanasemaje: Law.18:22 inasema '' Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo,
  Angalia tena; Law.20:13 inasema '' Tena mtu Mume akilala pamoja na mtu mume kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauwawa; damu yao itakuwa juu yao....
  Angalia tena Mwanzo 19;5; hizi ni habari za Sodoma na Gomola, Wale watu wa Sodoma walimulazimisha Lutu awatoe nje wale malaika ili wawajue (yaani walale nao kwa kuwalawiti) maajabu sana haya! Hebu soma hiyo mistari, Mwanzo 19;1-5, Basi wale Malaika wawili wakaja Sodoma jioni na Lutu alikuwa amekaa mlangoni pa Sodoma........akawalaki.....akawaingiza nyumbani mwake..... Mstari wa 4; Hata kabla hawajalaa, watu wa mji, wenyeji wa Sodoma, wakaizunguka nyumba vijana kwa wazee......Mst.wa 5; wakamwita Lutu wakamwambia wa wapi wale watu waliokuja kwako usiku huu? Uwatoe kwetu, tupate kuwajua....!
  Obama amefanya jambo la ajabu sana,Mtangulizi wake Bush alikataa kuweka mambo kama hayo tena kuwa sheria! huu ni ukengeufu usiokubalika mbele ya Utu na hehima na hofu mbele za Mungu hata kwa Mwanadamu,.....
  Ukisoma Rum.1:26-27 nayo inaelezea hivyo hivyo; " Kwamba.. Wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili (tendo la ndoa) wakawakiana tamaa wanaume wakiyatenda yasiyopasa......( Kulawitiana).... hii ni Laana na siku ya mwisho ni hukumu, Soma 1 Kor 6;9 inasema....'' Au hamjui ya kuwa........waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu,....Wazinzi,.....wala wafiraji, wala walawiti....hawataurithi ufalme wa Mungu....Jehanamu ni haki yao....Acha uchafu huo....
   
 11. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #11
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ......... Nimefarijika ndugu yangu kwa kuyaona haya maandiko, sisi haya hakika tunayafahamu na hukumu yake pia .................. lakini ukitekeleza hiyo hukumu, basi utaitwa hayo majina niliyo taja (extremist, fundamentalist, mujaheedin na kdhlk) cha kushangaza kuna mataifa yenye historia na Ustaarabu wa kumjua mungu, lakini yamengia katika mtego! ( kama Lebanon)
  Obama hua anadai ni mshika Dini, mshika Dini haogopi kupambana na ukweli. Wengine waliuliza World Cup itachezwa nchi ya Kiarabu (Qatar 2022) hivyo wao hawata ruhusiwa kwenda, hivyo kwanini wasifutiwe? Utashangaa wapo walio support !
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  West is worse, worse because christian faith is corrupt faith!

  How on earth a Christian (Obama) and the entire cabinet christians allow this deadly thing!

  Halafu wanacheka, JF christian wamo kwenye kundi hilo pia.
   
 13. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,928
  Likes Received: 1,032
  Trophy Points: 280
  Kijana angalia kauli zako, usilete jazba bila kutumia akili hapa jf. Vinginevyo siku zako zinahesabika kwenye hili jukwaa la jamii. JF ina taratibu zake, au ulijiunga tu kwa shauku bila kuangalia vigezo, masharti, kanuni na sheria. Hiyo kauli sijaipenda. PLEASE MOD REGISTER MY DISAPPOINTMENT.

  SISI HAPA JF NI WATU NAMBA MOJA KATIKA KUPINGA UCHAFU KAMA HUO. NA NDIYO MAANA WAF,IR,AJ.I NA WA.SA.GAJI HAPA JF HATUWAITI MASHOGA, BALI TUNAWAITA WAS.E.NGE KWA MAANA NENO SHOGA KWA KISWAHILI LINA MAANA YA MARAFIKI WA KIKE AU SIKUHIZI HUITANA MASHOSITI. TUNAONA KUTUMIA NENO MASHOGA NI KAMA VILE KUPUNGUZA UZITO WA UCHAFU WAO WA KULAWITIANA.

  KWA FAIDA YAKO TAFUTA THREAD NA POST ZOTE ZILIZOONGELEA WA.SE.,NGE UONE JINSI WANA JF WANAVYOPINGA U.SEN,GE.

  HALAFU ACHA KUWA MDINI, HAPA JF HATUTAKI UDINI, MAANA MBALI NA SABABU ZINGINE, SISI WAAFRIKA HATUNA DINI. DINI ZETU ZILIKUWA ZA KUABUDU MIZIMU. MUAFRIKA YEYOTE HAWEZI TOKA KIFUA MBELE NA KUSEMA SISI DINI YETU NI UKRISTO AU UISLAMU. KWA HIYO MSIJE MKAPEPERUSHWA SANA HUKO NA HUKO NA HIZI DINI. UMAKINI WAITAJIKA KATIKA KUZIPIMA DINI HIZI.
   
 14. T

  Topical JF-Expert Member

  #14
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Pole mkuu,

  I strongly condemn hawa jamaa waliosaini huu upupu...apologies kama umeumia mkuu
   
 15. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #15
  Dec 23, 2010
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Sera za ushoga wa wamarekani zinawahusu nini nyie watz? Mnaacha kuongelea nchi yetu ilivyo maskini na uchumi mbovu, mnaongelea usenge wa wamarekani....
  Jiulizeni, HIVI INGEKUWA NDIO IMETOKEA KATIKA JESHI LA TZ, JE KUNA WAMAREKANI WANGEANZA KUTUKANANA NA KUJIBIZANA KWA MAMBO YA TZ?
  Sijui akili zetu zikoje kwa kweli!
   
 16. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #16
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ............" Wakiulizwa, wao wanajibu, .............. aah! hakika sie sio miongoni mwao, bali tunawacheza shere tu!"
   
 17. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #17
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Kioja ni wewe ndugu yangu! Malawi waliwafunga Wanaume waliofunga ndoa,Marekani ikawapiga pressure mpaka Rais akatoa msamaha!
  unaona hapa jambo hilo haliwezi kutokea? Muulize Museven alivyohenyeshwa na mambo haya na hao Wamerekani baada ya kupropose adhabu kali juu yao!
   
 18. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,016
  Trophy Points: 280
  Wabongo tutaiga sasa hivi,,,,
   
 19. AIZAK

  AIZAK Member

  #19
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Enyi walimwengu hebu muogopeni mungu sodoma na gomora iliteketezwa sababu hii na sisi leo tuna yarudia makosa yao. watanzania nawapa changamoto kuyaona haya kama kufuru kubwa kwa mwenyezi mungu. mungu awabariki wote.ahsanteni
   
 20. P

  Percival JF-Expert Member

  #20
  Dec 23, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,567
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Ni baadhi makanisa ya huko ndio yameanzisha yote haya. Ikiwa kanisa linaruhusu wazi kuwa padre ana haki ya kujishirikisha na mambo hayo si ajabu kwa askari ambaye labda hana hata baba kudai haki ya kufanya hivyo. Siku za mbele nchi zitawekewa vikwazo ku wawanyima mashoga haki zao - mambo makubwa yanaletwa na wamagharibi au tuseme wakristo ? La siyo wakiristo , Mkirsto wa kweli ni mtu ambaye hakubaliani kamwe na mambo kama ambayo ni kinyume kabisa na maagizo ya biblia.
   
Loading...