Mashoga sasa rukhsa jeshi la Marekani

kivipi sasa? bongo kuna mashoga wangapi wako saluni wanawasuka? au bata akinya kaharisha sio

Mkuu hatari ni kuona wanajeshi mapunga wakiwa vitani,huku mabasha wakiwanyemelea.Kazi kwelikweli!!!
 
Sio ubaguzi kijana usichanganye mada hapa.Issue ni ushoga mbona UNATUTIA WASIWASI au na wewe ni kitafunio nini???
 
......... Nimefarijika ndugu yangu kwa kuyaona haya maandiko, sisi haya hakika tunayafahamu na hukumu yake pia .................. lakini ukitekeleza hiyo hukumu, basi utaitwa hayo majina niliyo taja (extremist, fundamentalist, mujaheedin na kdhlk) cha kushangaza kuna mataifa yenye historia na Ustaarabu wa kumjua mungu, lakini yamengia katika mtego! ( kama Lebanon)
Obama hua anadai ni mshika Dini, mshika Dini haogopi kupambana na ukweli. Wengine waliuliza World Cup itachezwa nchi ya Kiarabu (Qatar 2022) hivyo wao hawata ruhusiwa kwenda, hivyo kwanini wasifutiwe? Utashangaa wapo walio support !

Kweli Ally Kombo,
Obama siyo msafi kama anavyojieleza kuwa yeye ni Mcha Mungu! Aibu na ni hatari kwake na Kizazi chake! hawawezi kwenda Qatar 2022 kama wanafanya uchafu huo! wafutiwe wao kama watakataa! na umesema ukweli kama nilivyohighlight hapo juu, Mtu anayejipambanua kuwa anamwabudu Mungu wa kweli haogopi kusema ukweli! atasimamia ukweli na atakuwa mkweli! wasitudanganye na 'demokrasia na haki za mwanadamu' Nani kasema haki ni kuruhusu Kulawiti! ufiraji! hiyo ni laana na ni kwenda kinyume na Mungu atoaye hiyo HAKI! Mwisho wa yote tutaonana mbele za mwenye Haki,Mbele ya mtoa hukumu!
 
Tigger hapa unajaribu sana kuwaelimisha watu, I admire that. One thing you have to know: wabaguzi ni watu wa kipuuzi sana, anything which is not like them basi sharti wabague, mtu akiwa different kulingana na wao basi lazima abaguliwe. These people are ****** and they can be found all over the world, katika miaka ya nyuma walikuwa wanajifunika vitambaa vyeupe usoni na kuwasha moto nyumba za watu weusi, mwaka 1994 walikuwa wanawafanyizia wananchi wenzao nchini mwao kisa sijui wana pua nyembamba na kabila lao ni hili badala la lile, mwaka huu wanaleta za kuleta eti hawa wana orientation nyingine apart from being straight, kesho watasema aah huyu amekaa miaka mingi sana nje ya nchi even though ni mwenzetu lakini sharti tumbague..., these people are ******. I wish I could meat them ana kwa ana and teach them some lessons.

ndhani na wewe uko huko huko ndo maana mshasahau maadili ya kwenu na kuona ushoga unakubalika..mkikaa sana nje na mkarudi na tabia zenu za kishoga tutawapiga vita na kuwabagua sana tuu no matter what you say...ushoga haukubaliki kwa maana yeyote ile.wengi wenu humu mnalijua hili, kwamba kimaadili ya kiafrika na kidini pia ushoga haukubaliki ila kwa kuwa wamefanya wamarekani na waingereza na kwa kuwa mnadhani kila wafanyacho wao ni bora then mko tayari hata kuuza utu wenu kwa kuwaunga mkono..eti ubaguzi..ofkozi kama huo mtaita ubaguzi basi na tutawabagua..ushoga ni laanakum kabisa...mnadhani mtaishi milelel kwenye hii dunia..acheni kumkasirisha Mungu maake naona mshajisahau..ushoga ni laana na itabaki kuwa laana iwe imefanywa na wamarekani au mtu mwingine yeyote yule..acheni kutuletea hizo..acheni mawazo yenu ya kishoga ...i am and will always say this...am out
 
Wote mnaoponda hii ni wapuuzi tu. Ni ile ile tuliyowahi kuonywa, ukianza kumbagua shoga then utaishia wapi kubagua?utambagua mwingine kwa rangi ya ngozi,then wengine kwa upana wa pua, wengine sijui kwa ajili ya nini, mtasema oo huyu sijui muhindi, ooh huyu sijui hatoki Mwanza , ooh sijui huyu ana kipilipili.... Kwa hiyo nyie wote mnaobagubagua tu kwa sababu mnazozijua wote nyie ni wapuuzi tu. Ndio ni wapuuzi bisheni sasa.

acha hizo wewe..mbona nyie mashoga mnakimbilia kusema huo ni ubaguzi?? ushoga haukubaliki, na kama huo mtaita ubaguzi basi na tutawabagua sana...umezaliwa mwanamke unataka kuwa mwanaume..umezaliwa mwanaume unataka kuwa mwanamke ukiambiwa unasema ubaguzi?? acha hizo wee shoga, acheni laana hiyo...na mtuondolee huo upuuzi..yaani nyie kitu akifanya obama tuu basi iyo sawa..acheni ukuda..acheni ukuda kuweni hata na heshima kidogo kwa utu wenu nyie makauzu wenye mawazo ya kishoga...
 
Wengi wenu mna miss kabisa pointi ya ku repeal DADT! Mnawaona wenzenu kaa wendawazimu wakati wanapiga hatua ktk kuhakikisha kile kilichotamkwa ktk azimio lao la uhuru kuwa binadamu wote ni sawa kinatimia.

Wamarekani wako mbele sana kwenye kuhakikisha hakuna ubaguzi wa aina yoyote ile kwa na baina ya raia wao. Mwaka 1964 walitunga sheria ya Civil rights ambayo ili outlaw mambo mengi ya kibaguzi yakiwemo ubaguzi wa rangi na jinsia.

Sasa wamekabiliana na suala la ubaguzi wa mwelekeo wa kijinsia halafu ninyi mnawaona kaa wendawazimu! Yaani mnataka watu wenye mwelekeo tofauti wa kijinsia ambao wako radhi kuweka maisha yao hatarini kulilinda taifa lao wabaguliwe na wasipate fursa ya kulitumikia taifa lao? Come on guys. Hiyo si haki kabisa. Mashoga na wao ni binadamu kama wengine na wanastahili heshima kama wengine.

Halafu kwani kwenye jeshi la Tanzania hakuna mashoga? Nani hapa anayeweza kuja na kuthibitisha hilo? Au kwenye mishe mishe zenu za kila siku mna uhakika gani kuwa hamdili na mashoga? Hivi siku ukiumwa na uko mahututi na ukajua daktari anayekuhudumia ni shoga utakataa huduma yake? Acheni fikra za kibaguzi bana. Ubaguzi hauna nafasi kwenye jamii yoyote ile ilostaarabika.


shoga mwingine huyu..hebu tutoleeni hizi pumba..kitu wakifanya wamarekani eti sawa..civil right gani na wamarekani weusi mpaka kesho wanalia kubaguliwa...au unatafuta jinsi ya kuusapoti ushoga wao..acheni ushoga wewe...civil right ni kwa vitendo kama ilivo hapa bongo..hakuna mtu kubaguana..wao na kusaini kwao civil rights na mpaka kesho watu wanalia ubaguzi saivi unaanza kuchefua kwa kusema ushoga ni civil right..acha pumba zako..sio kila wafanyacho wao ndo right..mshaharibiwa na ushoga nyie..
 
kivipi sasa? bongo kuna mashoga wangapi wako saluni wanawasuka? au bata akinya kaharisha sio

Namaanisha ghadhabu ya Mungu itaongezeka juu yetu wanadamu na kutuangamiza kama ilivyo kuwa Sodoma na Gomora kwa kuendekeza sana dunia na kusahau maadili yake. Ushoga hauruhusiwi popote kwenye imani za dini.
 
Subirini kimbembe wakiwa kwenye un peace mission na watu kutoka mataifa mengine
 
mnh mbona mashoga hata hapa kwetu wapo,mmeusimamia kidedea ushoga wa marekani wakati hata hapa kaka zenu wanafanya mambo ya kishoga nyie vipi???
mashoga ni watu kama nyie...what one does in his bedroom remain none of you-r,mother ****ing bussiness!!!...ni choice ya mtu kuwa gay,kama ilivyo choice ya mtu kuwa na dini fulani kuwa na misimamo fulani katika maisha! just because your straight doesnt give you right to think you are more important than others(gay)!
 
Tuangalie kamusi zetu za Kiswahili kama neno Ushoga lina maana ya kujamiiana kati ya mume na mume. Neno halisi lipo la group hili.
 
DONT ASK DONT TELL BABU WEEEEE HAHAHAHAHAHHAHAHAHH !!!!! abdulhalim upo USTAARABU HUU ?????
 
mnh mbona mashoga hata hapa kwetu wapo,mmeusimamia kidedea ushoga wa marekani wakati hata hapa kaka zenu wanafanya mambo ya kishoga nyie vipi???
mashoga ni watu kama nyie...what one does in his bedroom remain none of you-r,mother ****ing bussiness!!!...ni choice ya mtu kuwa gay,kama ilivyo choice ya mtu kuwa na dini fulani kuwa na misimamo fulani katika maisha! just because your straight doesnt give you right to think you are more important than others(gay)!

Tofauti ya Tanzania na hao jamaa zako ni kuwa, hapa ni kosa na ni uhalifu kufanya kitendo hicho, pitia sheria ya makosa ya kujamiiana ya Jamhuri ya Muungano!
Kasoro, tatizo, mapungufu, au ugonjwa hauwezi kuhalalishwa kwa njia yeyote ile, bali hutafutiwa ufumbuzi wa kumaliza au kutatua! Wewe unafurahia Dada yako kunyimwa haki yake ya kuolewa kwa wanaume wawili (ndoa mbili) kuoana wenyewe kwa wenyewe?
 
Tuangalie kamusi zetu za Kiswahili kama neno Ushoga lina maana ya kujamiiana kati ya mume na mume. Neno halisi lipo la group hili.

Ni USENGE, sijui wankwepa nini? BBC wao hawachakachui wanakupa hivyo hivyo zima zima. Mi naona kukwepa ni njia moja ya kuwapa chati, inafaa liwasilishwe kama lilivyo!
 
uarabuni wataomba vita iendelee mapunga wapya kutoka marekani shee vita itaamia saudi
 
Hivi hawa jamaa waliosaini akiwemo Obama...ni dini gani?

Kama hawana dini tujue moja watengwe mara moja kanisani!
 
Wote mnaoponda hii ni wapuuzi tu. Ni ile ile tuliyowahi kuonywa, ukianza kumbagua shoga then utaishia wapi kubagua?utambagua mwingine kwa rangi ya ngozi,then wengine kwa upana wa pua, wengine sijui kwa ajili ya nini, mtasema oo huyu sijui muhindi, ooh huyu sijui hatoki Mwanza , ooh sijui huyu ana kipilipili.... Kwa hiyo nyie wote mnaobagubagua tu kwa sababu mnazozijua wote nyie ni wapuuzi tu. Ndio ni wapuuzi bisheni sasa.

Wakati wote watenda maovu ukiwauliza sababu zao za msingi kufanya jambo ovu, watatetea kwa nguvu zote kwa visingizio mbali mbali!
Hivi hii Dunia kila jinsia ingeamua kwenda na jinsia mwenzake hii dunia watu wangekkuwepo? kwa maana nyingine hawa wanapinga mpaka ongezeko la watu Duniani!
 
Back
Top Bottom