West is worse, worse because christian faith is corrupt faith!
How on earth a Christian (Obama) and the entire cabinet christians allow this deadly thing!
Halafu wanacheka, JF christian wamo kwenye kundi hilo pia.
Kioja ni wewe ndugu yangu! Malawi waliwafunga Wanaume waliofunga ndoa,Marekani ikawapiga pressure mpaka Rais akatoa msamaha!
unaona hapa jambo hilo haliwezi kutokea? Muulize Museven alivyohenyeshwa na mambo haya na hao Wamerekani baada ya kupropose adhabu kali juu yao!
kivipi sasa? bongo kuna mashoga wangapi wako saluni wanawasuka? au bata akinya kaharisha sioHizi ni dalili za nyakati za mwisho kwa kweli...wandugu maono yanatimia. Leo nimesoma kuwa Usiswi wako mbioni kuruhusu ndoa kati ya ndugu kwa kitaalamu incest....i cant imagine this abomination.
huyo obama wenyewe na yeye inawezekana ni chapati vile vile.
Ha ha ha aha aaaaaaa!!! Kivumbi huko Iraq na Afghanistan.
Wengi wenu mna miss kabisa pointi ya ku repeal DADT! Mnawaona wenzenu kaa wendawazimu wakati wanapiga hatua ktk kuhakikisha kile kilichotamkwa ktk azimio lao la uhuru kuwa binadamu wote ni sawa kinatimia.
Wamarekani wako mbele sana kwenye kuhakikisha hakuna ubaguzi wa aina yoyote ile kwa na baina ya raia wao. Mwaka 1964 walitunga sheria ya Civil rights ambayo ili outlaw mambo mengi ya kibaguzi yakiwemo ubaguzi wa rangi na jinsia.
Sasa wamekabiliana na suala la ubaguzi wa mwelekeo wa kijinsia halafu ninyi mnawaona kaa wendawazimu! Yaani mnataka watu wenye mwelekeo tofauti wa kijinsia ambao wako radhi kuweka maisha yao hatarini kulilinda taifa lao wabaguliwe na wasipate fursa ya kulitumikia taifa lao? Come on guys. Hiyo si haki kabisa. Mashoga na wao ni binadamu kama wengine na wanastahili heshima kama wengine.
Halafu kwani kwenye jeshi la Tanzania hakuna mashoga? Nani hapa anayeweza kuja na kuthibitisha hilo? Au kwenye mishe mishe zenu za kila siku mna uhakika gani kuwa hamdili na mashoga? Hivi siku ukiumwa na uko mahututi na ukajua daktari anayekuhudumia ni shoga utakataa huduma yake? Acheni fikra za kibaguzi bana. Ubaguzi hauna nafasi kwenye jamii yoyote ile ilostaarabika.
West is worse, worse because christian faith is corrupt faith!
How on earth a Christian (Obama) and the entire cabinet christians allow this deadly thing!
Halafu wanacheka, JF christian wamo kwenye kundi hilo pia.
Hizi ni dalili za nyakati za mwisho kwa kweli...wandugu maono yanatimia. Leo nimesoma kuwa Usiswi wako mbioni kuruhusu ndoa kati ya ndugu kwa kitaalamu incest....i cant imagine this abomination.
Nd. Topical ushoga kama ulivyo uasherati, uzinzi, ufisadi na mambo yanayofanana na hayo hauna dini. Ni uchafu unaofanywa na watu wa dini zote na rangi zote. Sielewi kwa nini unahusisha ushoga na JF christian. This is the most myopic thinking I have ever come across today.
afadhali maana nao ni binadamu
Nimechoka niliposikia hii kitu leo hakyanani dunia kuna mambo na tunapozidi kwenda mbele sijui tunaelekea wapi god forbid tena mtu unaweka sign ya kuhalalisha huku ukicheka kana kwamba hicho kitendo hata kwa mungu kinakubalika dunia hii ina mambo