,huwezi ukafananisha ugay na ukeketaji-ukeketaji kuna risk ya kudevelop infections,complications wakati wa kujifungua,na wengi hufanyiwa wakiwa bado under 18,ndio maana serikali inaingilia...ingekuwa ni mtu mzima na akili zako unataka kukeketwa sidhani kama serikali inaweza kuingilia...tofauti na ugay-inabaki kuwa ni CHOICE ya mtu na serikali haina mamlaka ya kuingilia
hahaa afu inaonyesha uko naive,yaani ushoga unafanywa kwa kificho kakwambia nani?mbona wanafanya open-kuna hadi watu maarufu tunawaita 'ma-aunt'..wee vipi?
how kuwa GAY,ni upungufu,kasoro??????useme hapa HOW???...
hii hoja ya wanawake kukosa waume wa kuwaoa sijui watoto kuzaliwa-blah blah haina mashiko...tanga,zanzibar arusha dar ndiko sehemu mashoga wameshamiri..na watu WANAOANA DAILY!
Rubbish!! basi hamna haja ya kuabudu dini kama ujinga huo umekubaliwa na serikaliWhat two consenting adults do in the privacy of their bedroom is none of anybody's business. Not you, not me, not the government.
The number one job of any government is to serve and protect the rights of each of it's citizens and that is what the American government has done with repealing DADT.
The Americans not only talk the talk, they walk it too which is a far cry from us.
Please DELETE HOLY QURAN !I real feel vomiting when i heard and read about the law. these same people they go to worships and read bible and Quran. its rubish to recognize gays.
I am not surprise of what uganda and President Museven were told about gays and lesbian law those were to be passed by parliament
Rubbish!! basi hamna haja ya kuabudu dini kama ujinga huo umekubaliwa na serikali
Kwani Waisrael nao wamo? hebu tujuze kama watoto wa mungu nao sio riziki!Ufanisi wa jeshi utakuwepo pale pale tuu perfect example jeshi la Israel. Ili swala inategemea unaliangalia katika angle gani (kisiasa,kidini,kibinadamu au kisheria).
Kombo wale si wana wa Mungu kama watu wanavyodhani. Walimkataa mwana wa Mungu ambaye ndiyo njia na uzima, yeyote hawezi kwenda kwa Baba yake isipokuwa awe amepitia kwa Yesu.Kwani Waisrael nao wamo? hebu tujuze kama watoto wa mungu nao sio riziki!
Kombo wale si wana wa Mungu kama watu wanavyodhani. Walimkataa mwana wa Mungu ambaye ndiyo njia na uzima, yeyote hawezi kwenda kwa Baba yake isipokuwa awe amepitia kwa Yesu.
Waisraeli katika dini yao ya kiyahudi (na vitabu vyao) hamna mahala utakapoona jina la Yesu. walimkataa kabisa. na ndiyo maana ufalme wakapewa mataifa. katika maana ya kwamba yeyote ana nafasi sawa kupata ufalme wa Mungu, ilhali anamkiri Yesu na fidia yake.
Watakapo ruhusu incest na beastiality, utawaunga mkono pia.Sumu ya ubaguzi ikishaanza haiishi! Sasa muwabague mashoga...baada ya hapo atafuata mwingine na kuendelea hivyo bila tamati..
Jiangalieni.
huko ndiko yalikoanzia .kwani waisrael nao wamo? Hebu tujuze kama watoto wa mungu nao sio riziki!
Watakapo ruhusu incest na beastiality, utawaunga mkono pia.