Liberia: Rais Boakai ashindwa kumalizia hotuba baada ya kuapishwa

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616

Rais Joseph Boakai, (79) alishindwa kumaliza hotuba yake baada ya Uapisho ambapo aliongea kwa dakika 30 na kupata changamoto iliyomlazimu kupewa msaada kuondoka kwenye jukwaa wakati wa sherehe ya kuapishwa kwake

Rais #Boakai alishindwa mara mbili kuendelea na hotuba yake, na sherehe ikasitishwa. Baadhi ya ripoti zimedai kwamba alipatwa na uchovu wa joto kwani joto lilifikia zaidi ya Nyuzijoto 30

Joseph Boakai ambaye anakuwa Rais mwenye Umri Mkubwa zaidi Liberia, suala la wasiwasi wa Afya yake liliibuliwa mara nyingi wakati wa kampeni ambapo alinukuliwa akisema afya yake ilikuwa nzuri na "umri unapaswa kuwa baraka kwa nchi hii"

........

Liberia's new President Joseph Boakai failed to reach the end of his speech and had to be helped away from the podium during his swearing-in ceremony.

Mr Boakai, 79, had been speaking for around 30 minutes at his inauguration ceremony when it became clear that he was having difficulty continuing.

He failed twice to carry on speaking, and the ceremony was adjourned.

Some reports suggested that he suffered from heat exhaustion as the temperature reached more than 30C.

Video footage showed a man fanning papers near Mr Boakai's face, before he was taken away.

By then, Mr Boakai had already been sworn in as Liberia's oldest-ever president at the ceremony held at the Capitol Building, the seat of parliament in the capital, Monrovia.

After he was taken away, new Vice-President Jeremiah Koung spoke to guests and escorted them to the presidential dinner.

Mr Boakai narrowly defeated the outgoing president, former football star George Weah, in a run-off election in November.

Concern about Mr Boakai's health was a major issue during the election campaign, but he told the BBC that he was in good health and "age should be a blessing to this country".

Source: BBC
 
Afrika
Afrika
Afrika
 
The PSU hawako Smart, wametia aibu hadi kuanza kumpepea ovyo hapo live. Nadhan after this kuna watu watapelekwa shule sasa kuficha aibu kubwa kama hizi kwa Kiongozi wa Nchi wakati ujao.
 
Hakuna kitu kinachotafuna pesa Africa kama uchaguzi halafu hakuna faida yeyote ya kufanya uchaguxi zaidi ya matumizi mabaya TU ya kodi
Halafu utakuja kusikia jike limegawa bandari (BURE) kabsa limeshinda uchaguzi kwa 80%+. Halafu za chini chini unasikia zimetumika bilion 6 kulipa wasanii kina Diamond,Nandy, Harmonize kutumbuiza miezi miwili ya kampeni
 
Back
Top Bottom