Mashindano ya netiboli mapaja na ch*pi nje nje

Mashindano ya netiboli mapaja na ch*pi nje nje

Watazamaji wao wengi huwa wanaume na wanashangilia kila timu inapofunga!!!!!!
 
View attachment 54064
Mashindano ya netiboli mapaja na ch*pi nje nje
Hii kitu mimi ninapenda sana wakuu, huwa naagalia toka wachezaji wanaingia uwanjani hadi wanatoka ndiyo nami naondoka. Raha zaidi ni pale wanaporuka na kujiangusha. Nani ana ratiba ya mchezo wowote wa netiboli week end hii anitonye nikakate kiu?
 
Karibu michezo yote ya wanawake mapaja huwa wazi

(Riadha)

pre_w1500-1.JPG


(Kuogelea)
2007_Swimming_Gala_012.sized.jpg

(Tennis)
venus-williams-dubai2.jpg

(Soccer)
Women_Soccer_Wallpaper_JxHy.jpg

(Netball)
_41486400_netball300.jpg

Au wewe ulitaka wavae hivi?
Iran-Malavan-Women-Soccer-Team11.jpg
 
Watanzania we have so long way to go jamani, haya si makosa yako mleta mada bali makosa ya viongozi wako badala kuleta maendeleo wanapoteza muda kupiga vita mavazi eti mara yanaleta hamasa, embu waulizeni waliozoea kuona kama wana muda nayo. Sasa tasnia itatushinda tutaanza wavae sijui skintight, pajama mpaka madela wakati skillz hazipo
 
Kwakuwa mambo mengine ni sehem ya mchezo

Inaweza ikawa sehemu ya mchezo lakini sio huo tulioenda kuangalia. Assume umelipia kuangalie Wrestling alafu wakakuwekea football kweli utaanagalia. Hata hivyo acheni kuwaza ngono sana..
 
Chupi tu inakupa shida sasa control yourself basi hufai kuona mashindano ya kuogelea si utaanguka. Unajua haya mambo ni mind set tu ukiitune vizuri utaona ni kawaida.
 
Back
Top Bottom