Mashindano ya netiboli mapaja na ch*pi nje nje

silent lion

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
1,624
Reaction score
2,380
Wadau mimi si mfuatiliaji wa mashindano haya. Ila huwa nayaonaga wakati wa habari na magazetini. Kitu kikubwa ninachokiona ni wanawake wakiwa uchi mapaja wazi basi. Leo naangalia Tbc kaoneshwa mchezaji mmoja kavaa sketi fupi mno hadi ch**pi inaonekana.

Nkikimbuka mashindani haya yalivyopigiwa debe nabaki kinywa wazi. Was it worth?
 
sasa si michezo ndugu wewe kama mawazo yako yapo kwenye makalio utakuwa unawaza mchezo mwingine
 
kama ni hivyo tungekuwa hatuangalii long tenis za akina Serena. Tatizo lako badala ya kuangalia mchezo unaangalia mambo mengine::
 
Wadau mimi si mfuatiliaji wa mashindano haya. Ila huwa nayaonaga wakati wa habari na magazetini. Kitu kikubwa ninachokiona ni wanawake wakiwa uchi mapaja wazi basi. Leo naangalia Tbc kaoneshwa mchezaji mmoja kavaa sketi fupi mno hadi ch**pi inaonekana.

Nkikimbuka mashindani haya yalivyopigiwa debe nabaki kinywa wazi. Was it worth?

wanachezea wapi huo mchezo maana nimechoka kusimuliwa mie
 
kaka kila mchezo una mavazi yake...ushawahi kuangalia "beach volleyball"? au ushawahi kuangalia mashindano ya riadha kwa kina dada ukimuona Veronica Campbell au Sanya Richards walivyojaaliwa vijungu halafu ndio kwanza wamevaa vichupi.
 
Jamaa sio mwanamichezo kabisa! Kuna michezo mingine watu hawavai nguo kabisa...Ungeona hiyo si ungewehuka kabisa?
Huraaaa! Netball...zamani na yale ma skin tight ulikuwa unaboa...
 
Napendaga!!kama kuna taifa stars na netiboli.m ntaangalia netiboli ili nione hiyo kitu
 
Wadau mimi si mfuatiliaji wa mashindano haya. Ila huwa nayaonaga wakati wa habari na magazetini. Kitu kikubwa ninachokiona ni wanawake wakiwa uchi mapaja wazi basi. Leo naangalia Tbc kaoneshwa mchezaji mmoja kavaa sketi fupi mno hadi ch**pi inaonekana.

Nkikimbuka mashindani haya yalivyopigiwa debe nabaki kinywa wazi. Was it worth?

kwa hiyo? wavae baibui!
 
mmmh mie namobilise netball team. Wote watavalia madera wakati wa mechi.
 
ndiyo raha ya michezo dogo...ukipata nafasi nenda ukaone akina dada 'wakisanua' live...utamu wa kunoga...!
 
Mshindwe na mregee nyoote mnaoshabilkia umalaya in the name of sports. Hakuna excuse ya kumweka mwanamke uchi.

Mkuu wewe si salama kichwani mwako au ni mgeni katika nchi hii maana kwa kumbukumbu zangu since i was 8 to 15 netball ilikuwa ikichezwa na hayo ndio mavazi rasmi. Sasa tukuulize ulitaka wavae mashuka? Umalaya upi uliofanyika?umalaya mnaujua mnanyamaza kimya! Hizi fiesta sijui bongo muvi na zile miss miss hizo ndio zina harufu za umalaya na mapimp wanajulikana kwa wajanja wa mjini. Kama uamini tembelea leaders club kuanzia saa nane mchana uone watu gani wanakuwa pande zile wachore tu.usiwashtue halafu njoo uje utupe data sawa?
 
mmmh mie namobilise netball team. Wote watavalia madera wakati wa mechi.

wengine vichupi wala havitushtui ila hayo madera ndio yanaturusha roho hasa yakikwidwa kwenye nguo ya ndani paka hakawii kulia nyau.
 
Wadau mimi si mfuatiliaji wa mashindano haya. Ila huwa nayaonaga wakati wa habari na magazetini. Kitu kikubwa ninachokiona ni wanawake wakiwa uchi mapaja wazi basi. Leo naangalia Tbc kaoneshwa mchezaji mmoja kavaa sketi fupi mno hadi ch**pi inaonekana.

Nkikimbuka mashindani haya yalivyopigiwa debe nabaki kinywa wazi. Was it worth?

Na hapo salma kikwete na mke wa pinda wanayapigia debe kama hawana akili nzuri, endapo ktk wachezaji kungekuwa na watoto wao cjui wangejickiaje? kucheza netball cyo lazima kuvaa vichupi kama vile.
 
Back
Top Bottom