The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 3,611
- 9,269
SGR inahujumiwa waje wapewe wakezaji - na safari hii watapewa Warusi si wachina wallahi!
LEO JIONI Treni hii limeharibika RUVU PORINI huko. Abiria wameambiwa Washuke Waanze kutembea na kwamba kuna Treni inakuja kuwachukua. Wataanza na abiria wa VIP—abiria wametembea zaidi ya KILOMITA 6 hakuna Treni.
ABIRIA WAMETEMBEA na wanaendelea kitembea MPAKA USIKU HUU kutafuta usafiri mbadala.
Kama mlikuwa hamjui, hii ndiyo maana ya ule unafiki na uzimbuluku wa Kauli hii👇

♦️♦️SAMIA SISI HATUKUDAI♦️♦️
Acha watembee kwa miguu mpaka akili ziwarudi wajue kudai haki zao
******************************************