Marekani yashindwa kutungua balloon la China

Marekani yashindwa kutungua balloon la China

Kama mpaka hata tofauti kati ya weakness na weekend haujui ndiyo unataka uwafundishe Marekani jinsi ya ku handle mambo yao?
Tuliza akili zako mkuu..changia hoja acha makasiriko
 
One missile only!

Walikuwa wanasubiri lifike usawa wa bahari lakini pia walikuwa wanalitafiti
View attachment 2506852View attachment 2506853
Yes mkuu F-22 ,kwa kutumia air to air missile, one shot huu uchafu wa kichina umeshushwa, lengo ilikua kuushusha baharini ili kupunguza madhara kwa raia, but guy's tupambanie ya kwetu, ebu fikiria kungekua na highway nzuri kutoka Maputo hadi Mtwara, biashara ingekua level gani?,hili ni tatizo kwa sababu ya kale kakundi kadogo ka ISIS, kanasumbua nchi kibao including our own
 
Washalilipua! Wamelidungua kwa kutumia ndege aina ya F 22 kwa kombira la air to air lenye gharama ya dola 470,000/=

Limepigwa likiwa juu ya bahari!
 
Washalilipua! Wamelidungua kwa kutumia ndege aina ya F 22 kwa kombira la air to air lenye gharama ya dola 470,000/=

Limepigwa likiwa juu ya bahari!
Sasa mbona kuna mtu kahamamaki kwamba haiwezekani kutumika kombora.neno la kijinga HIMARS HAZIKUWEPO.
 
Licha ya kujinadi kwamba Marekani ndiyo nchi inayoongoza kwa silaha za kila namba, Marekani wameonyesha week was Yao dhidi ya balloon la wachina ambalo linaendelea kuvinjari na kukatiza maeneo mbalimbali yakuwemo maeneo nyeti kama kambi za jeshi.

Licha ya kutuma makombora mazito kutungua balloon hizo jitihada zinaonekana kubonga mwamba.

Balloon Hilo linasemekama kutembea umbali wa futi 120,000 kutoka usawa wa bahari.

View attachment 2506365
View attachment 2506381
Hilo ni tego ndoige ,"wanawaza tukitungua likiwa na sumu! au ni nyukilia?,au ni satelite?" Yan wametegwa vibaya hawa jamaa

Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
 
Licha ya kujinadi kwamba Marekani ndiyo nchi inayoongoza kwa silaha za kila namba, Marekani wameonyesha week was Yao dhidi ya balloon la wachina ambalo linaendelea kuvinjari na kukatiza maeneo mbalimbali yakuwemo maeneo nyeti kama kambi za jeshi.

Licha ya kutuma makombora mazito kutungua balloon hizo jitihada zinaonekana kubonga mwamba.

Balloon Hilo linasemekama kutembea umbali wa futi 120,000 kutoka usawa wa bahari.

View attachment 2506365
View attachment 2506381
mbona limeshapasululuiwa mbali??!!?
The United States has shot down a suspected Chinese spy balloon off the coast of the US state of South Carolina, a week after it entered US airspace and triggered a dramatic spying saga that worsened relations between Beijing and Washington.

The military attack on Saturday drew an immediate rebuke from China, which warned of “necessary” responses and insisted the “unmanned civilian airship” was a weather research balloon that had strayed into US airspace “completely accidentally”.
 
Waliomdharau mchina kwenye ishu ya Taiwan angala watamrejeshea heshima yake japo kidogo.Viva vijicho
 
Too shallow minded , poor and fackin Creature Baba bora angejichukulia Sheria mkononi kuliko kukuzaa .soma upate maharifa na sio kuropoka tuu kama umevaa dera la kuazima. Dunia sasa ina a lot of Technologies na isitoshe ujui elimu yangu na nnajua nini na nnauwezo gani katika Tansinia ya ICT ! Sio wote tunashinda kwenye vijiwe vya kahawa
Hujui kitu zaidi ya kukariri madudu
 
Zile panel zina ukubwa wa school bus 3 hawawezi risk kuumiza watu. Na pia hawajui nini kimo ndani.
Hapo wanasubiri litoke nje ya maeneo yenye watu walishushe
Bado hoja hii ni dhaifu kwasababu, kwann wasifanye jitihada kuzuia lisiingie, waangaike namna ya kulitoa?
 
Back
Top Bottom