Marekani yashindwa kutungua balloon la China

Licha ya kujinadi kwamba Marekani ndiyo nchi inayoongoza kwa silaha za kila namba, Marekani wameonyesha week was Yao dhidi ya balloon la wachina ambalo linaendelea kuvinjari na kukatiza maeneo mbalimbali yakuwemo maeneo nyeti kama kambi za jeshi. Licha ya kutuma makombora mazito kutungua balloon hizo jitihada zinaonekana kubonga mwamba.
Balloon Hilo linasemekama kutembea umbali wa futi 120,000 kutoka usawa wa bahari.
View attachment 2506365
View attachment 2506381
Una hitaji msaada hujuwi intelligence maana yake
 
ulicho post ni sihasa(uwongo)
kwenye video ndicho kinachojiri, maana kapost mwananchi na flashes za missile zinaonekana
Hakuna attempt waliyoifanya ya kulitungua, wanachotaka ni jinsi ya kulikamata zimazima.
Hao kwenye video yako si wanajadili tu kama mnakua mnadiliana pale kibonde maji??
 
Kumbe tumshukuru Putin! Jeshi lake linajitolea kuipa Ukraine zawadi ya silaha nyingi!

Who Is Ukraine’s ‘Biggest Donor’ Of Main Battle Tanks That Is Surpassing NATO Allies Like US, UK & Germany?
In a secret location in Ukraine, inside a massive warehouse, just a few kilometers from the frontlines, Russian Tanks are being rechristened.
Several Western-made tanks like the US-made Abrams, the German-made Leopard 2, the British Challenger 2, and even the French AMX-10 RC, up to some extent, seem to have taken over the news headlines in recent weeks following the announcement of their provision to Ukraine by the US, German and French governments.
However, the biggest donor of tanks to Ukraine is none other than its invader: Russia!

Ukrainians are operating repair shops across the country near frontlines where what were once Russian tanks are now being turned into Ukrainian.
The Ukrainians won these tanks and other armored vehicles currently being repaired at the warehouse as trophies of battlefield successes after pushing out Russian forces from certain regions.
Ukrainian officials acquired most of the advanced Russian armored vehicles during their surprise northern counteroffensive that witnessed tremendous success, forcing a hasty withdrawal of Russian troops from the Kharkiv region.
“It was like walking into a big, big shop where you can walk through and say, ‘I will have this one, and this one,'” said Bohdan Ostapchuk, who is leading tank refurbishment for the Prytula Foundation.
For instance, in September last year, Kyiv’s forces, during their counteroffensive in the Kharkiv region, captured their first T-90M ‘Proryv,’ one of Russia’s most advanced main battle tanks deployed in its special military operation in Ukraine.
Apparently, this T-90 was abandoned by its crew after an attack. Less than two months later, the Ukrainian army reportedly fielded T-90M against the Russian forces.
These tanks and other weapon systems have been sent to some of Ukraine’s deadliest battle zones, including Bakhmut, Kramatorsk, Luhansk, and Svatove.
 
Wamelitungu tayari

USSR
 
Mkuu bila shaka Marekani wanaonekana "Week" (unavyoandika) ila si "weak" maana katika jambo hili mzee Biden anatumia akili.
Puto ya aina hii haiwezi kupiga picha ambazo hazipatikani tayari kutokana na satelaiti za upelelezi zinazopita kila saa kilomita 90 juu zaidi ila nje ya upeo wa kitaifa.
Hivyo hakuna faida kuangusha puto hiyo, isipokuwa unaweza kusababisha hasara ikianguka kwenye nyumba za watu au mali yao au kuharibu watu.
Iende tu, haina madhara.
Wameshalichunguza huko huko liliko halina faida wala hasara kwao. Why should you waste time for nonsense like that? The point is Mchina kaambiwa wewe fala tu!
 
Licha ya kujinadi kwamba Marekani ndiyo nchi inayoongoza kwa silaha za kila namba, Marekani wameonyesha week was Yao dhidi ya balloon la wachina ambalo linaendelea kuvinjari na kukatiza maeneo mbalimbali yakuwemo maeneo nyeti kama kambi za jeshi. Licha ya kutuma makombora mazito kutungua balloon hizo jitihada zinaonekana kubonga mwamba.
Balloon Hilo linasemekama kutembea umbali wa futi 120,000 kutoka usawa wa bahari.
View attachment 2506365
View attachment 2506381
Hivi mnapata faida gani kudanganya ? Au ndo chuki zilowajaa kuhusu usa . Kama walitaka kaliokote maana lilicha pasuliwa zamani
 
Acha upumbavu na upuuzi wa kuanzisha thread ya uwingo, wapi wamesema wamesgindwa kulitungua? Unajua ni kwanini hawajafanya hivyo? Usikurupuke Kabunye wewe!
 
Hakuna jambo la msingi lolote linaloitatiza marekani jinsi ya kulishusha, acheni uwongo!
 
Licha ya kujinadi kwamba Marekani ndiyo nchi inayoongoza kwa silaha za kila namba, Marekani wameonyesha week was Yao dhidi ya balloon la wachina ambalo linaendelea kuvinjari na kukatiza maeneo mbalimbali yakuwemo maeneo nyeti kama kambi za jeshi. Licha ya kutuma makombora mazito kutungua balloon hizo jitihada zinaonekana kubonga mwamba.
Balloon Hilo linasemekama kutembea umbali wa futi 120,000 kutoka usawa wa bahari.
View attachment 2506365
View attachment 2506381
Huoni aibu kudanganya? Uwe unasikiliza habari za kimataifa na si habari za vijiweni Hasa kwenye ghahawa.
 
Haluna cha baloon wala parachuti wala parachichi kwenye anga la marekani, hebu jiulize, hawana fighter jet za jeshi zikalipitia hilo baloon kama kishada na wavu mkubwa na kulishusha kama mpira wa kikapu? Acheni kuskiliza uwongo wa kimarekani, nia hasa ya uwongo huo ni kukatisha safari ya Blinken wa marekani asiende china kutokana na ratiba ilikuwepo kwaajil ya politico profit kwa marekan kuhusiana na "Taiwan na ukrain war" wameona blinken hatafanikiwa kwenye mazungumzo kama wanavyotaka wao, hivyo wakaona kuikatisha kwa vitisho ni hivyo tuu..watu wana HIMMERS washindwe puto..acheni hizo basi..
 
Hii issue nilitegemea kuiona JF. Mwanzoni nilikuwa siielewi nikajipa muda kuijua na ni kubwa tofauti na nilivyotarajia.

Kwanza Marekani haina active anti aircraft missile systems, huwa inaamini hakuna mtu anaweza fanikiwa kuleta ndege kwenye anga lake. Ila ina layel of ballistic missiles defence system na hizi mifumo miwili ni tofauti kabisa.

Hilo balloon liko kama 60,000ft juu na zile panels zina ukubwa wa mabasi matatu kwa makadirio wanayosema. Kwa kuwa wameshaona halina hatari yoyote kwa raia basi hawana haja kushusha mavyuma makubwa kuhatarisha usalama wakati yalivyo juu hayaleti hatari yoyote. Bado wakitaka kulishusha ni ngumu kwa kuwa F-22 pekee ndio fighter yenye uwezo wa manouvre altitude hiyo na upande ule wa Montana hakukuwa na base yenye F-22. Bado shida nyingine ni kwamba hilo ni balloon lenye vyuma chini na air to air missile zinaweza penya kwenye puto zisiwe activated. Ukitumia cannon inabidi uwe na manouvre nzuri kulenga shabaha ila bado shells hazitagonga kitu kizito kulipuka na zitadondokea makazi ya watu. So mara zote US huwa inaziacha balloons zikiwa urefu mkubwa.

Limeonekana kabla halijaingia anga la Marekani ila Pentagon inavyosemekana ilihitaji kujaribu kunasa mawasiliano linayofanya ipate mwanga kidogo kuhusu China inavyowasiliana na satellites zake.

Na nchi zote hizi zina satellites ambazo hupita anga za adui na kuchunguza kwahiyo hakuna maajabu kwa balloon sanasana linaweza nasa mawasiliano kwa ukaribu zaidi na accuracy kubwa ndio maana security measures zimechukuliwa.

Jambo la msingi linaloiumiza kichwa Marekani ni namna gani ya kulishusha bila kuliharibu ili walisome.

IMG_3322.jpg

IMG_3321.jpg

Kazi ishaisha. Balloon lishatunguliwa
 
Sasa mzee balloon gani halina umeme na halina feedback mechanism na halina namna ya kurudi? Yani hapo cha kushangaza ni nini, hivi hujui haya mambo Ujerumani iliyaunda miaka kibao nyuma, Ferninand Zeppelin aliunda vitu vyote ulivyotaja hapa miaka ya 1800 uko. Sasa cha ajabu nini, kuna makampuni mengi tu yenye balloons za hali ya hewa, surveillance na nyinginezo
Acha kulia lia
 
Hii issue nilitegemea kuiona JF. Mwanzoni nilikuwa siielewi nikajipa muda kuijua na ni kubwa tofauti na nilivyotarajia.

Kwanza Marekani haina active anti aircraft missile systems, huwa inaamini hakuna mtu anaweza fanikiwa kuleta ndege kwenye anga lake. Ila ina layel of ballistic missiles defence system na hizi mifumo miwili ni tofauti kabisa.

Hilo balloon liko kama 60,000ft juu na zile panels zina ukubwa wa mabasi matatu kwa makadirio wanayosema. Kwa kuwa wameshaona halina hatari yoyote kwa raia basi hawana haja kushusha mavyuma makubwa kuhatarisha usalama wakati yalivyo juu hayaleti hatari yoyote. Bado wakitaka kulishusha ni ngumu kwa kuwa F-22 pekee ndio fighter yenye uwezo wa manouvre altitude hiyo na upande ule wa Montana hakukuwa na base yenye F-22. Bado shida nyingine ni kwamba hilo ni balloon lenye vyuma chini na air to air missile zinaweza penya kwenye puto zisiwe activated. Ukitumia cannon inabidi uwe na manouvre nzuri kulenga shabaha ila bado shells hazitagonga kitu kizito kulipuka na zitadondokea makazi ya watu. So mara zote US huwa inaziacha balloons zikiwa urefu mkubwa.

Limeonekana kabla halijaingia anga la Marekani ila Pentagon inavyosemekana ilihitaji kujaribu kunasa mawasiliano linayofanya ipate mwanga kidogo kuhusu China inavyowasiliana na satellites zake.

Na nchi zote hizi zina satellites ambazo hupita anga za adui na kuchunguza kwahiyo hakuna maajabu kwa balloon sanasana linaweza nasa mawasiliano kwa ukaribu zaidi na accuracy kubwa ndio maana security measures zimechukuliwa.

Jambo la msingi linaloiumiza kichwa Marekani ni namna gani ya kulishusha bila kuliharibu ili walisome.
US wana active anti aircraft missile system.
 
Back
Top Bottom