Marekani yashindwa kutungua balloon la China

Wakwea madafu bana eti solar,wacheni ujuaji wa kishamba apa
Too shallow minded , poor and fackin Creature Baba bora angejichukulia Sheria mkononi kuliko kukuzaa .soma upate maharifa na sio kuropoka tuu kama umevaa dera la kuazima. Dunia sasa ina a lot of Technologies na isitoshe ujui elimu yangu na nnajua nini na nnauwezo gani katika Tansinia ya ICT ! Sio wote tunashinda kwenye vijiwe vya kahawa
 
Attachments

  • F9F06C50-53F9-4ED0-ABF8-0B5D8A378364.png
    F9F06C50-53F9-4ED0-ABF8-0B5D8A378364.png
    92.9 KB · Views: 7
  • 62E8C57C-6CC4-4737-92D8-F5FE64D89E0D.png
    62E8C57C-6CC4-4737-92D8-F5FE64D89E0D.png
    85.3 KB · Views: 9
  • A965B16A-6928-4AFE-B4BE-7F23FFF92D3E.png
    A965B16A-6928-4AFE-B4BE-7F23FFF92D3E.png
    326.6 KB · Views: 6
ulicho post ni sihasa(uwongo)
kwenye video ndicho kinachojiri, maana kapost mwananchi na flashes za missile zinaonekana
Wewe umejuaje kama huo ni uongo? Kipimo kipi umetumia? Umemwelewa vizuri mtoa taarifa wa hio video? Anatumia lugha ya kutokuwa na uhakika wa kile kinachodhaniwa kimetokea.
 
Hayo makombora mazito yametumwa lini? Mbona sisi wengine hatujasikia kwenye vyombo vya habari?
BBC, CNN hawawezi kuonyesha weekeness ya Marekani..habari zipo no tangu Jana ngoja inavinjari..hiyo Itakuwa ni payback kwa Pelosi aliyejifanya kuingia china bila ruksa
 
Mchina mweusi acha uongo Marekani hawajataka kulitungua kwakua litaumiza watu na mali na Waziri wa mambo ya nje wa Marekani alikua aende China lakini baada ya kuona baloon hilo amehairisha na wamewasiliana na China wamesema hilo halipo kwenye uchunguzi wa kichina
 
Hii issue nilitegemea kuiona JF. Mwanzoni nilikuwa siielewi nikajipa muda kuijua na ni kubwa tofauti na nilivyotarajia.

Kwanza Marekani haina active anti aircraft missile systems, huwa inaamini hakuna mtu anaweza fanikiwa kuleta ndege kwenye anga lake. Ila ina layel of ballistic missiles defence system na hizi mifumo miwili ni tofauti kabisa.

Hilo balloon liko kama 60,000ft juu na zile panels zina ukubwa wa mabasi matatu kwa makadirio wanayosema. Kwa kuwa wameshaona halina hatari yoyote kwa raia basi hawana haja kushusha mavyuma makubwa kuhatarisha usalama wakati yalivyo juu hayaleti hatari yoyote. Bado wakitaka kulishusha ni ngumu kwa kuwa F-22 pekee ndio fighter yenye uwezo wa manouvre altitude hiyo na upande ule wa Montana hakukuwa na base yenye F-22. Bado shida nyingine ni kwamba hilo ni balloon lenye vyuma chini na air to air missile zinaweza penya kwenye puto zisiwe activated. Ukitumia cannon inabidi uwe na manouvre nzuri kulenga shabaha ila bado shells hazitagonga kitu kizito kulipuka na zitadondokea makazi ya watu. So mara zote US huwa inaziacha balloons zikiwa urefu mkubwa.

Limeonekana kabla halijaingia anga la Marekani ila Pentagon inavyosemekana ilihitaji kujaribu kunasa mawasiliano linayofanya ipate mwanga kidogo kuhusu China inavyowasiliana na satellites zake.

Na nchi zote hizi zina satellites ambazo hupita anga za adui na kuchunguza kwahiyo hakuna maajabu kwa balloon sanasana linaweza nasa mawasiliano kwa ukaribu zaidi na accuracy kubwa ndio maana security measures zimechukuliwa.

Jambo la msingi linaloiumiza kichwa Marekani ni namna gani ya kulishusha bila kuliharibu ili walisome.
 
Mkuu Hilo balloon ni humiliation kwa USA, eanaogopa tu kukiri
 
Tatizo sio kulisambaratisha; bali kulishusha bila kuliharibu yaani lishuke zima zima na uzima wake kama lilivyo! Marekani wako na akili nyingi sana.
 
Ni aibu sana mtu anapata huko.. Sasa naona leo Super power wa mchongo ndio anaonekana
 
Soma aya yangu ya mwisho
USA wanachanganyikiwa zaidi kwa kuwa awajui ni namna gani Mchina analicontrol hili baloon- na ukubwa wa hizo pannel za Solar maanake ni kuwa ballon lina tumia umeme mwingi -Ambao unaweza kuwa unatumika na data capturing transmitter pamoja na Comand Unit- So ballon linaweza rudi back to China bila tatizo😁
 
Licha ya kujinadi kwamba Marekani ndiyo nchi inayoongoza kwa silaha za kila namba, Marekani wameonyesha week was Yao dhidi ya balloon la wachina ambalo linaendelea kuvinjari na kukatiza maeneo mbalimbali yakuwemo maeneo nyeti kama kambi za jeshi. Licha ya kutuma makombora mazito kutungua balloon hizo jitihada zinaonekana kubonga mwamba.
Balloon Hilo linasemekama kutembea umbali wa futi 120,000 kutoka usawa wa bahari.
View attachment 2506365
View attachment 2506381
Mkuu bila shaka Marekani wanaonekana "Week" (unavyoandika) ila si "weak" maana katika jambo hili mzee Biden anatumia akili.
Puto ya aina hii haiwezi kupiga picha ambazo hazipatikani tayari kutokana na satelaiti za upelelezi zinazopita kila saa kilomita 90 juu zaidi ila nje ya upeo wa kitaifa.
Hivyo hakuna faida kuangusha puto hiyo, isipokuwa unaweza kusababisha hasara ikianguka kwenye nyumba za watu au mali yao au kuharibu watu.
Iende tu, haina madhara.
 
Back
Top Bottom