Na Wengine Tunafall In Love Na Majina Tu, Yaani Ukiona Jina Unapata Picha Ya Mwenye Jina Kama Hilo Anayekuzuzua Lakini Ameshabebwa #R***C**3Watu wana fall in love na avatars na uandishi wa watu humu ndani
Ila ndo ivooo.mie nampendaga Mshana Jr tu! yan nakufa naozaga nkisoma post zake! mweee...japo mie new humu ila daah nampendaga
Nani tena mkuuNa Wengine Tunafall In Love Na Majina Tu, Yaani Ukiona Jina Unapata Picha Ya Mwenye Jina Kama Hilo Anayekuzuzua Lakini Ameshabebwa #R***C**3
Kama ambavyo una believe in a super natural being that you have never seen[emoji23][emoji23]Haha lolz....like seriously...i have never approved such kinda relationships...like how do you really fall for someone you don't even know...
MigulubajaView attachment 391824
Kama haku kuvutia,
Basi nicheki hata mie mkuu,
Nimeona hakuna ubaya nikitupia na kapicha..[emoji5] [emoji5] [emoji5]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ngoja Nimezee MkuuNani tena mkuu
Yani unanifanya nifikirie mwenye jina lenye hizo herufi sijapata hata mmoja.Ngoja Nimezee Mkuu
HahahahKweli kabisa...JF MMU is a world of its own.
Wakati mwingine unakuta kuna couples humu tena kwa hata miaka...lakini hata kukutana hawajahi.
Vituko vya humu bana...full burudani.
Umenifanya nichekeHaaa, hapana, yuko Tegeta Ununio, karibu na Hotel ya Bahari Beach... nilimkuta mtandao wa Badoo... amekongoroka huyo, macho mekunduuu.. yaani maisha yamempiga, ni kachooka haswa, ni zaidi ya slut, hereni masikio hadi yanataka kuanguka, pua zimetobolewa hadi basi, macho na uso, kapauka, macho hadi yamekuwa kama paka.. kidogo tu nikimbie.. nilijikaza na nguvu ninazo za uhakika mascular with 6.6m.. ila nililegea.. wee.!!
Ila aliniambia kwao Tanga... wee acha, aliniacha hoi alivyoniambia yeye mara nyingi anatembea ucku, mchana hatokagi...!! oohh
Hahahhh naona hutongozi tena PMWee..kuna mmoja, nilimfuata, nika drive hadi Tegeta, Dec 2015... picha kibaoo kanitumia... mtoto tako tako ktk picha, kiuno nyigu... wee nilichokikuta, siri yangu.. sisemi ng'oo... nilibakia kumwagizia Amarula nikabaki najichekesha mwanaume... nguvu zote zimeniishia..
Acheni tu... achaaa
Kutajana sasa yaan nyieTegeta ? Jina lake la ukweli linaanzia na H ?
Maskini dada wa watu [emoji28][emoji28]Umenifanya nimwazie flani anaanzia na Hnaish tegeta[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Hahahhh sasa mkuu badoo si mtandao wa machangudoa [emoji28][emoji28]Haaa, hapana, yuko Tegeta Ununio, karibu na Hotel ya Bahari Beach... nilimkuta mtandao wa Badoo... amekongoroka huyo, macho mekunduuu.. yaani maisha yamempiga, ni kachooka haswa, ni zaidi ya slut, hereni masikio hadi yanataka kuanguka, pua zimetobolewa hadi basi, macho na uso, kapauka, macho hadi yamekuwa kama paka.. kidogo tu nikimbie.. nilijikaza na nguvu ninazo za uhakika mascular with 6.6m.. ila nililegea.. wee.!!
Ila aliniambia kwao Tanga... wee acha, aliniacha hoi alivyoniambia yeye mara nyingi anatembea ucku, mchana hatokagi...!! oohh
Ahhhahh poleeNasema kweli.. nilirudi wakati naendesha naangalia nyuma.. i was scared... yaani..!! Nilijiona mjingaaaaaa... na fala sana.. acha tu.. niliwaza sana, je ningechukua chumba..? Alafu picha totally sio yeye... nguvu ziliniishia..!!
Hahahhh mnaopenda uandishiMi mwenyewe kuna kadhaa humu wananisisimua sana kwa uandishi wao
Nami Lengo Langu Lilikuwa Ufikirie Lakini Usipate Jibu, Haaaahaahaaaa!Yani unanifanya nifikirie mwenye jina lenye hizo herufi sijapata hata mmoja.
[emoji28][emoji28][emoji28]Yaani nimejenga taswira bado kidogo nikimbie na Mimi!