Mapya yaibuka ofisa TRA anayedaiwa kujiua hotelini

Nilishasema kuwa kuna walakini kwenye huu mkasa.

Tanzania inapoteza wataalam wake kirahisi kwa sababu za compliances tu.

Kuwa mwizi mwizi utaishi, ukijifanya unataka ukaongoze malaika wanakutanguliza kabla ya muhula
Kwa mkasa tunaoushuhudia wa DP World tu unatosha kufasiri hii comment yako. Ukienda Rome ishi kama waroma.
 
Yesu alishanukuliwa kwenye biblia akisema hao wanatangulia:

Mt 21:31 SUV​

Je! Katika hao wawili ni yupi aliyefanya mapenzi ya babaye? Wakamwambia, Ni yule wa pili. Basi Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
Mkuu, habari za Asubuhi. Je. Nawe unapenda kutangulia mbele yetu kuingia ufalme wa Mungu?
===
Nimeuliza hivyo, kwa sababu u-kinara wa kulazimisha tumtoze ushuru DPWorld.
 
Back
Top Bottom