jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,016
Sasa mkuu kama Mariam ametajwa na house girl polisi wafanyeje?Ni kwel hakuhudhuria ila ni baada ya mama mkwe kukutaa akidai kua akimuona atapata presha na anaweza kufa lkn pamoja na kuzuiwa kwenda alitoa wafanyakaz wa hotel yake na rambirambi shs million 3,,hiyo yote inasemekana wakwe na mawifi wanazitaka mali za marehemu ndo mana wanamsumbua mke wa bilionea Erasto,pia ndugu wa Erasto wamekuwa wakimletea watoto wa nje wakidai ni wa marehemu ili awape urithi na huyo dada anatoa tu hapo police wafanye uchunguz wa kina kuna kitu kinatafutwa
