ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,572
TUNATUBU WATANZANIA WOTE MWENYE ENZI MUNGU ATUREHEMU MILELE YOTE AMENWatanzania wanajua umepata wapi mali , watanzania wanajua huwa unapendelea kufikia hotel au guest gani ukiwa safarini kikazi , watanzania wanajua umekula nin leo , watanzania wanajua gari unalotumia la mkopo umeazima au umenunua kwa mtu na hela hujamalizia, watanzania wanajua una sh ngapi bank ................ yaaani
Watanzania ni shida
Ya mwisho
Watanzania wepesi wa kusikia jambo bila hata kulifanyia uchunguzi na kulisambaza kwa watu huku wa kiapa kuwa ni kweli na wenyewe walikuwepo kwenye tukio. Hao ndoo watanzania
Mtu yuko bussy kufatilia mambo yasiyo yake anayasahau yake, mtu ana mcheka mtu fulani kuwa hana pesa wakati yeye mwenyewe hafiki kiwango cha huyo anaye mcheka.
Mtanzania ana furahia matatizo ya mwenzake.
Asante
Angalizo
Hii coment haihusiani na mada inayoendelea ila nimemjibu mgirik
